NMB yatia fora Saba Saba
Mabanda ya Benki ya NMB katika maonyesho ya saba saba mwaka huu yametia fora kwa kuwa kivutio kikubwa kwa watu wengi kutembelea na kujipatia huduma mbali mbali ikiwemo huduma ya wateja kujaza fomu maalum za kubadirisha kadi zao za ATM kuwa za MasterCard, kuweka na kutoa fedha kupitia gari maalumu pamoja na huduma za NMB Wakala.
Ndani ya viwanja vya saba saba, banda la NMB lipo mtaa wa Mabalozi mkabala na banda la Sido, pia kuna gari maalumu lenye ATM moja na madisisha mawili ya wahudumu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL‘MR UWAZI’ AGAWA ZAWADI SABA SABA KWA WASOMAJI
10 years ago
MichuziBENKI YA DCB YAWAPA KIPAUMBELE WA WAJASIRIMALI KATIKA MAONESHO YA SABA SABA
11 years ago
Michuzi
SHIRIKA LA POSTA TANZANIA LATOA HUDUMA MBALIMBALI MAONESHO YA SABA SABA


11 years ago
MichuziWIZARA YA NISHATI NA MADINI YANG’ARA KWENYE MAONESHO YA SABA SABA
11 years ago
GPL
PSPF YAPATA MWANACHAMA MPYA NDANI YA MAENESHO YA SABA SABA
11 years ago
Michuzi
BENKI YA EXIM KATIKA MAONYESHO YA 38 YA BIASHARA YA KIMATAIFA YA SABA SABA


10 years ago
MichuziMFUKO WA PENSHENI WA LAPF WASHIRIKI MAONESHO YA SABA SABA 2015
11 years ago
Michuzi
10 years ago
Michuzi
KATIBU MKUU TAMISEMI ATEMBELEA BANDA LA LAPF MAONYESHO YA 39 YA BIASHARA YA KIMATAIFA SABA SABA

