Serikali yazungumzia hatima ya watanzania waliopo Burundi
NA NORA DAMIAN, DAR ES SALAAM
SERIKALI imesema itawaondoa Watanzania walioko Burundi baada ya kupata maombi yao kama wana matatizo kutokana na vurugu ambazo zimekuwa zikiendelea nchini humo kwa wiki kadha sasa.
Machafuko nchini humo yalianza baada ya Rais Pierre Nkurunziza kutangaza kuwa atawania awamu ya tatu katika uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika mwezi ujao.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Mkuu wa Mawasiliano wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mindi Kasiga, alisema...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo17 Apr
SERIKALI KUWARUDISHA NCHINI WATANZANIA WALIOPO YEMEN
Simu: 255-22-2114615, 211906-12 Barua pepe: nje@nje.go.tzBarua pepe: gcu@nje.go.tzTovuti : www.foreign.go.tzNukushi: 255-22-2116600
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/c/c2/Coat_of_arms_of_Tanzania.svg/2000px-Coat_of_arms_of_Tanzania.svg.png)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Serikali kuwarudisha nchini Watanzania waliopo Yemen
Mhe....
10 years ago
Michuzi17 Apr
10 years ago
Mwananchi19 Apr
Chadema yaitaka Serikali kuangalia Watanzania waliopo Afrika Kusini
10 years ago
BBCSwahili21 Jul
Marekani yazungumzia uchaguzi Burundi
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-IXaqdStwolQ/XklxlLsc5SI/AAAAAAALdms/pG6b_TER8BgxaJCdsZBMtVpQuXqFfE9TACLcBGAsYHQ/s72-c/maxresdefault-3.jpg)
WATANZANIA WALIOPO WUHAN WAPO SALAMA-MAJALIWA
![](https://1.bp.blogspot.com/-IXaqdStwolQ/XklxlLsc5SI/AAAAAAALdms/pG6b_TER8BgxaJCdsZBMtVpQuXqFfE9TACLcBGAsYHQ/s640/maxresdefault-3.jpg)
Ametoa kauli hiyo leo (Jumapili, Februari 16, 2020) kwenye Kumbukumbu ya Mazazi ya Mtume Muhammad Swalla Allahu Alayh...
9 years ago
GPLSERIKALI YAZUNGUMZIA VOCHA ZA PEMBEJEO ZA KILIMO
9 years ago
StarTV30 Dec
Serikali, UNHCR kuendelea kuwahifadhi Wakimbizi Waliopo Tanzania
Serikali ya Tanzania imesema itashirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia wakimbizi UNHCR kuhakikisha inalinda na kuwahifadhi wakimbizi waliopo hapa nchini hadi watakapokuwa tayari kurejea kwa hiari katika nchi zao.
Katika ziara ya kiserikali mkoani Kigoma, Waziri mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa ametembelea baadhi ya kambi zinazohifadhi wakimbizi wa Burundi na Jamhuri ya watu wa Kongo akisema Serikali inatambua maridhiano ya umoja wa mataifa katika kuwahifadhi...
9 years ago
Michuzi26 Nov
10 years ago
Mtanzania17 Nov
Hatima madeni ya Serikali kutikisa Bunge
![Bunge](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Bunge.jpg)
Bunge
Na Bakari Kimwanga, Dodoma
MJADALA kuhusu azimio la kuliomba liidhinishe kufutwa au kusamehe hasara na madeni yaliyotokana na upotevu wa mali na fedha, yenye thamani ya Sh bilioni 10.8, unatarajiwa kulitikisa Bunge leo.
Hatua hiyo inatokana na mvutano ulioibuka mwishoni mwa wiki iliyopita miongoni mwa wabunge, kundi moja likitaka azimio hilo lipite na wengine wakipinga hatua hiyo wakisema ni sawa na ufisadi.
Hasara hiyo imetokana na sababu mbalimbali ikiwamo wizi na udokozi uliofanywa...