Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR YAZUNGUMZIA HALI YA KISIASA VISIWANI HUMO


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

CHADEMA Blog

TAMKO LA ASASI ZA KIRAIA TANZANIA (AZAKI) KUHUSU HALI YA KISIASA VISIWANI ZANZIBAR 20/11/2015

TAMKO LA ASASI ZA KIRAIA TANZANIA (AZAKI) KUHUSU HALI YA KISIASA VISIWANI ZANZIBAR 20/11/2015 Sisi Wanaasasi za Kiraia nchini - AZAKI, tumekutana tarehe 17 Novemba 2015, ambapo ni zaidi ya wiki tatu baada ya uchaguzi mkuu kumalizika na kutathimini mwenendo wa uchaguzi mkuu na hali ya kisisasa vizisiwani Zanzibar. Awali ya yote tunapenda kuwapongeza watanzania kwa kujitokeza kwa wingi kupiga

 

9 years ago

Mwananchi

Mgogoro wa Zanzibar kuhatarisha soka visiwani humo

Hali ya baadaye ya soka la Zanzibar ipo katika giza kubwa baada ya kushindikana kufuta kesi iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu wa Rais wa Chama Cha Soka Zanzibar (ZFA), Haji Ameir dhidi ya viongozi wenzake.

 

10 years ago

GPL

SIMBA SC WALIVYOSHEREHEKEA UBINGWA WA MAPINDUZI VISIWANI ZANZIBAR

Simba SC wakipozi na Kombe lao la Mapinduzi baada ya kuifunga Mtibwa Sugar kwa penalti 4-3, jana. Simba SC wakiwa katika picha ya pamoja na Mgeni Rasmi katika fainali za jana, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.…

 

9 years ago

Michuzi

ZADIA YAZUNGUMZIA HALI YA KUFUTWA KWA MATOKEO YA UCHAGUZI ZANZIBAR

Logo ya ZadiaJumuiya ya Wazanzibari Waishio Nchini Marekani (ZADIA), imekuwa ikifuatilia kwa karibu na makini zaidi zoezi zima la Uchaguzi Mkuu visiwani Zanzibar na Tanzania kwa ujumla. Kwa kiasi kikubwa mchakato wa uchaguzi ulifanyika kwa njia za amani na utulivu. Hata hivyo ZADIA imeshtushwa mno na tamko la Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Mh. Jecha Salim Jecha la kutangaza kuufuta Uchaguzi Mkuu Zanzibar na matokeo yake.

Ama kwa hakika kitendo hicho hakikuwa cha busara na...

 

9 years ago

Mwananchi

Miaka 52 ya Mapinduzi Zanzibar, hatima ya mkwamo wa kisiasa

Juma lililopita makala haya yaliishia ‘Rais wa kwanza wa Zanzibar, Abeid Karume kuuawa. Mwalimu Nyerere alimweka kizuizini mmoja wa watu waliotuhumiwa kupanga Mapinduzi, Abdulrahman Babu’. Endelea.

 

9 years ago

Mwananchi

Miaka 52 ya Mapinduzi Zanzibar, hatma ya mkwamo wa kisiasa

Zanzibar iliyogubikwa na mtafaruku wa kisiasa kufuatia kufutwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, mwaka huu inaadhimisha miaka 52 tangu kufanyika mapinduzi, Januari 12, 1964.

 

9 years ago

Mwananchi

Ni aibu kusherehekea miaka 52 ya mapinduzi ya zanzibar na mpasuko wa kisiasa

Zanzibar imo katika Sherehe za Mapinduzi na Januari 12 itatimiza miaka 52 tangu kufanyika kwa mapinduzi hayo yaliyoiondoa madarakani Serikali ya Zanzibar iliyokaa madarakani kwa siku chache. Mapinduzi yalifanyika Januari 12,1964.

 

9 years ago

Dewji Blog

SMZ yaipongeza UN kwa kuwezesha fursa za kupunguza umaskini na kuinua maendeleo visiwani humo

IMG_9022

Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) nchini, Awa Dabo (kulia) na Mkuu wa ofisi ndogo ya Umoja wa Mataifa Zanzibar, Anna Senga (katikati) wakimkaribisha mmoja wa wageni waalikwa katika sherehe za kutimiza miaka 70 tangu kuanzishwa kwa Umoja wa Mataifa iliyofanyika katika Hoteli ya Serena Shangani Mjini Zanzibar mwishoni mwa wiki.(Picha na Zainul Mzige wa Modewjiblog).

Na Mwandishi wetu, Zanzibar

SERIKALI ya mapinduzi Zanzibar imesema kuwa itaendelea kuthamini...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR YAWAONYA WATENDAJI WA SERIKALI NA TAASISI ZAKE

Na Mwandishi wetu.Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeonya kwamba haitamvumilia mtendaji ye yote wa Serikali  au Taasisi zake za Umma atakayebainika anazorotesha ufanisi wa kazi pamoja na kuendeleza makundi katika sehemu za kazi.
Onyo hilo limetolewa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali wakati akizungumza na Wafanyakazi wa Idara ya upigaji chapa na Mpiga chapa Mkuu wa Serikali baada ya kuangalia utendaji kazi wa fanyakazi hao katika sehemu mbali mbali za Kiwandi hicho hapo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani