Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mgogoro wa Zanzibar kuhatarisha soka visiwani humo

Hali ya baadaye ya soka la Zanzibar ipo katika giza kubwa baada ya kushindikana kufuta kesi iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu wa Rais wa Chama Cha Soka Zanzibar (ZFA), Haji Ameir dhidi ya viongozi wenzake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

SMZ yaipongeza UN kwa kuwezesha fursa za kupunguza umaskini na kuinua maendeleo visiwani humo

IMG_9022

Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) nchini, Awa Dabo (kulia) na Mkuu wa ofisi ndogo ya Umoja wa Mataifa Zanzibar, Anna Senga (katikati) wakimkaribisha mmoja wa wageni waalikwa katika sherehe za kutimiza miaka 70 tangu kuanzishwa kwa Umoja wa Mataifa iliyofanyika katika Hoteli ya Serena Shangani Mjini Zanzibar mwishoni mwa wiki.(Picha na Zainul Mzige wa Modewjiblog).

Na Mwandishi wetu, Zanzibar

SERIKALI ya mapinduzi Zanzibar imesema kuwa itaendelea kuthamini...

 

10 years ago

Dewji Blog

Karibu Zanzibar Fashion Festival 2015 ilivyofana Visiwani Zanzibar

DSC_0633Mmoja wa waanzilishi wa Karibu Zanzibar Fashion, Joseph Alban (mwenye suti nyeusi) akiongea machache kwa niaba ya wenzake wakati wa kuhitimisha tukio hilo usiku wa jana…(Picha zote na Andrew Chale wa modewjiblog.com)

Na Andrew Chale, modewjiblog 

(Zanzibar) Usiku wa Julai 20 ulikuwa ni wa kipekee kwa  viunga vya Unguja Kisiwani Zanzibar   kutokana na tukio moja tu la kipekee la onesho la mavazi  lijulikanalo kama KARIBU ZANZIBAR FASHION FESTIVAL 2015 lililoteka umati wa wadau wa fani hiyo na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Ratiba ya mapinduzi Cup 2016 hii hapa, vigogo vya soka Azam Fc, Yanga watia timu Visiwani!!

IMG_6010

Uwanja wa Amaan Zanzibar ambao utakuwa moja ya viwanja vitakavyotimua vumbi katika Michuano ya Mapinduzi Cup 2016 yanayotarajia kuanza jioni ya leo na kesho..

Ratiba-ya-mapinduzi-cup-bongosoka

 

9 years ago

StarTV

Mbio za urais visiwani Zanzibar

hamad JOTO la kuwania urais wa Zanzibar limezidi kupanda huku mgombe wa nafasi hiyo kupitia Chama cha ADC, Hamad Rashid Mohamesd akijitosa kuchukua fomu ya kuwania nafasi hiyo.

Hamad ametamba kuwa anatarajia kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi na kuanzisha shirika jipya la ndege la Zanzibar iwapo wananchi watampigia kura kuwa Rais mpya katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.

Hamad alitoa msimamo huo jana mara baada ya kukabidhiwa fomu ya kuwania urais na Mwenyekiti wa Tume ya Uchguzi...

 

9 years ago

Mwananchi

Kikwete asaka suluhu visiwani Zanzibar

Wakati sintofahamu juu ya hatima ya uchaguzi visiwani Zanzibar ikiendelea, Rais Jakaya Kikwete ameiamuru ofisi yake kusaidia kufanikisha mazungumzo baina ya mgombea wa urais wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad na Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama, Jenerali Davis Mwamnyange.

 

10 years ago

Mwananchi

FORODHANI : Fukwe ya mapochopocho visiwani Zanzibar

Kwa wale wanaopenda kula vyakula vya baharini au vile vyenye mahadhi ya Kizanzibari, Forodhani ndiyo mahali pake, ni sehemu tulivu iliyo kwenye ufukwe wa Bahari ya Hindi, lakini iliyotengenezwa kwa mandhali ya bustani kwa watu kustarehe na kupata vyakula.

 

9 years ago

Mtanzania

Fella, Baby J kusaka vipaji visiwani Zanzibar

10735529_787253024649300_80706706_nNA MELCKZEDECK SIMON

MKURUGENZI wa Kundi la Mkubwa na Wanawe na Diwani wa Kata ya Kilungule, Said Fella, ameelekeza nguvu zake Visiwani Zanzibar kwa ajili ya kusaka vipaji vya wasanii wenye uwezo wa kuimba na kucheza lakini wanakosa sehemu ya kuonyesha vipaji vyao.

Katika msako huo wa wasanii, Fella ameongozana na wasanii wawili waliojiunga na kundi lake ambao wana asili ya Zanzibar, Berry Black na mwanadada Baby J, ambao watatumika kama majaji katika kazi hiyo.

“Nashukuru nimepata mapokezi...

 

10 years ago

GPL

SIMBA SC WALIVYOSHEREHEKEA UBINGWA WA MAPINDUZI VISIWANI ZANZIBAR

Simba SC wakipozi na Kombe lao la Mapinduzi baada ya kuifunga Mtibwa Sugar kwa penalti 4-3, jana. Simba SC wakiwa katika picha ya pamoja na Mgeni Rasmi katika fainali za jana, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani