Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikwete asaka suluhu visiwani Zanzibar

Wakati sintofahamu juu ya hatima ya uchaguzi visiwani Zanzibar ikiendelea, Rais Jakaya Kikwete ameiamuru ofisi yake kusaidia kufanikisha mazungumzo baina ya mgombea wa urais wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad na Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama, Jenerali Davis Mwamnyange.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Karibu Zanzibar Fashion Festival 2015 ilivyofana Visiwani Zanzibar

DSC_0633Mmoja wa waanzilishi wa Karibu Zanzibar Fashion, Joseph Alban (mwenye suti nyeusi) akiongea machache kwa niaba ya wenzake wakati wa kuhitimisha tukio hilo usiku wa jana…(Picha zote na Andrew Chale wa modewjiblog.com)

Na Andrew Chale, modewjiblog 

(Zanzibar) Usiku wa Julai 20 ulikuwa ni wa kipekee kwa  viunga vya Unguja Kisiwani Zanzibar   kutokana na tukio moja tu la kipekee la onesho la mavazi  lijulikanalo kama KARIBU ZANZIBAR FASHION FESTIVAL 2015 lililoteka umati wa wadau wa fani hiyo na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Nyalandu asaka wadhimini Zanzibar azungumzia umuhimu wa Muungano

DSC_0484

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazro Nyalandu akiongea na waandishi mjini Zanzibar leo wakati wa kutafuta wadhamini ili aweze kugombea Urais kwa tiketi ya CCM, Pembeni kulia ni mkewe Faraja Nyalandu na kushoto Bi.Khadija.

DSC_0495

 

9 years ago

StarTV

Mbio za urais visiwani Zanzibar

hamad JOTO la kuwania urais wa Zanzibar limezidi kupanda huku mgombe wa nafasi hiyo kupitia Chama cha ADC, Hamad Rashid Mohamesd akijitosa kuchukua fomu ya kuwania nafasi hiyo.

Hamad ametamba kuwa anatarajia kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi na kuanzisha shirika jipya la ndege la Zanzibar iwapo wananchi watampigia kura kuwa Rais mpya katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.

Hamad alitoa msimamo huo jana mara baada ya kukabidhiwa fomu ya kuwania urais na Mwenyekiti wa Tume ya Uchguzi...

 

10 years ago

Mwananchi

FORODHANI : Fukwe ya mapochopocho visiwani Zanzibar

Kwa wale wanaopenda kula vyakula vya baharini au vile vyenye mahadhi ya Kizanzibari, Forodhani ndiyo mahali pake, ni sehemu tulivu iliyo kwenye ufukwe wa Bahari ya Hindi, lakini iliyotengenezwa kwa mandhali ya bustani kwa watu kustarehe na kupata vyakula.

 

10 years ago

GPL

TASWIRA ZA ZARI NA DIAMOND WALIVYOJIACHIA VISIWANI ZANZIBAR

Mwanamuziki Nasibu Abdul 'Diamond' akijiachia na mpenzi wake Zarinah Hassan 'The Boss Lady' Visiwani Zanzibar. Diamond akilibusu tumbo la mpenzi wake Zari ambaye ni mjamzito.…

 

9 years ago

Mwananchi

Mgogoro wa Zanzibar kuhatarisha soka visiwani humo

Hali ya baadaye ya soka la Zanzibar ipo katika giza kubwa baada ya kushindikana kufuta kesi iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu wa Rais wa Chama Cha Soka Zanzibar (ZFA), Haji Ameir dhidi ya viongozi wenzake.

 

9 years ago

Mtanzania

Fella, Baby J kusaka vipaji visiwani Zanzibar

10735529_787253024649300_80706706_nNA MELCKZEDECK SIMON

MKURUGENZI wa Kundi la Mkubwa na Wanawe na Diwani wa Kata ya Kilungule, Said Fella, ameelekeza nguvu zake Visiwani Zanzibar kwa ajili ya kusaka vipaji vya wasanii wenye uwezo wa kuimba na kucheza lakini wanakosa sehemu ya kuonyesha vipaji vyao.

Katika msako huo wa wasanii, Fella ameongozana na wasanii wawili waliojiunga na kundi lake ambao wana asili ya Zanzibar, Berry Black na mwanadada Baby J, ambao watatumika kama majaji katika kazi hiyo.

“Nashukuru nimepata mapokezi...

 

10 years ago

GPL

SIMBA SC WALIVYOSHEREHEKEA UBINGWA WA MAPINDUZI VISIWANI ZANZIBAR

Simba SC wakipozi na Kombe lao la Mapinduzi baada ya kuifunga Mtibwa Sugar kwa penalti 4-3, jana. Simba SC wakiwa katika picha ya pamoja na Mgeni Rasmi katika fainali za jana, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.…

 

10 years ago

Michuzi

shirika la ndege la flydubai lakaribishwa rasmi visiwani Zanzibar

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema kwamba mafungamano yaliyopo ya Kibiashara baina ya Zanzibar na Mataifa ya Ghuba na Mashariki ya mbali yatazidi kuimarika kufuatia kuongezeka kwa mawasiliano ya safari za anga kati ya pande hizo mbili. Balozi Seif alisema hayo wakati akizindua safari za anga kati ya Dubai na Zanzibar zilizoanzishwa rasmi na Kampuni ya Kimataifa ya usafiri wa ndege ya Flydubai hafla iliyofanyika katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Amani Abeid...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani