FORODHANI : Fukwe ya mapochopocho visiwani Zanzibar
Kwa wale wanaopenda kula vyakula vya baharini au vile vyenye mahadhi ya Kizanzibari, Forodhani ndiyo mahali pake, ni sehemu tulivu iliyo kwenye ufukwe wa Bahari ya Hindi, lakini iliyotengenezwa kwa mandhali ya bustani kwa watu kustarehe na kupata vyakula.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog19 Jul
Welcome 20th July at floating restaurant forodhani Zanzibar
Ticket za Karibu Fashion Festival zinapatikana sehemu zifuatavyo Waiz Fashion Shagahani Stree, Adam Fashion Vuga Street na Tatu Restaurant..
Kwa mawasiliano zaidi unaweza kutupigia kupitia 0764 228 855
Karibu sana.
Baadhi ya mavazi ya Waiz Fashion yanayopatikana Shagahani Stree Zanzibar,
10 years ago
Dewji Blog21 Jul
Karibu Zanzibar Fashion Festival 2015 ilivyofana Visiwani Zanzibar
Mmoja wa waanzilishi wa Karibu Zanzibar Fashion, Joseph Alban (mwenye suti nyeusi) akiongea machache kwa niaba ya wenzake wakati wa kuhitimisha tukio hilo usiku wa jana…(Picha zote na Andrew Chale wa modewjiblog.com)
Na Andrew Chale, modewjiblog
(Zanzibar) Usiku wa Julai 20 ulikuwa ni wa kipekee kwa viunga vya Unguja Kisiwani Zanzibar kutokana na tukio moja tu la kipekee la onesho la mavazi lijulikanalo kama KARIBU ZANZIBAR FASHION FESTIVAL 2015 lililoteka umati wa wadau wa fani hiyo na...
10 years ago
StarTV21 Aug
Mbio za urais visiwani Zanzibar

Hamad ametamba kuwa anatarajia kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi na kuanzisha shirika jipya la ndege la Zanzibar iwapo wananchi watampigia kura kuwa Rais mpya katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Hamad alitoa msimamo huo jana mara baada ya kukabidhiwa fomu ya kuwania urais na Mwenyekiti wa Tume ya Uchguzi...
10 years ago
Mwananchi02 Nov
Kikwete asaka suluhu visiwani Zanzibar
9 years ago
Mwananchi14 Nov
Mgogoro wa Zanzibar kuhatarisha soka visiwani humo
10 years ago
GPL
TASWIRA ZA ZARI NA DIAMOND WALIVYOJIACHIA VISIWANI ZANZIBAR
10 years ago
GPLSIMBA SC WALIVYOSHEREHEKEA UBINGWA WA MAPINDUZI VISIWANI ZANZIBAR
9 years ago
Mtanzania25 Nov
Fella, Baby J kusaka vipaji visiwani Zanzibar
NA MELCKZEDECK SIMON
MKURUGENZI wa Kundi la Mkubwa na Wanawe na Diwani wa Kata ya Kilungule, Said Fella, ameelekeza nguvu zake Visiwani Zanzibar kwa ajili ya kusaka vipaji vya wasanii wenye uwezo wa kuimba na kucheza lakini wanakosa sehemu ya kuonyesha vipaji vyao.
Katika msako huo wa wasanii, Fella ameongozana na wasanii wawili waliojiunga na kundi lake ambao wana asili ya Zanzibar, Berry Black na mwanadada Baby J, ambao watatumika kama majaji katika kazi hiyo.
“Nashukuru nimepata mapokezi...
11 years ago
Michuzi.jpg)
shirika la ndege la flydubai lakaribishwa rasmi visiwani Zanzibar