Fella, Baby J kusaka vipaji visiwani Zanzibar
NA MELCKZEDECK SIMON
MKURUGENZI wa Kundi la Mkubwa na Wanawe na Diwani wa Kata ya Kilungule, Said Fella, ameelekeza nguvu zake Visiwani Zanzibar kwa ajili ya kusaka vipaji vya wasanii wenye uwezo wa kuimba na kucheza lakini wanakosa sehemu ya kuonyesha vipaji vyao.
Katika msako huo wa wasanii, Fella ameongozana na wasanii wawili waliojiunga na kundi lake ambao wana asili ya Zanzibar, Berry Black na mwanadada Baby J, ambao watatumika kama majaji katika kazi hiyo.
“Nashukuru nimepata mapokezi...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziTIMU NZIMA YA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA YAELEKEA MKOANI MWANZA KWAAJILI YA KUANZA ZOEZI LA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA
10 years ago
Bongo501 Oct
Said Fella amvuta Baby J Mkubwa na Wanawe
9 years ago
Bongo506 Jan
Said Fella anawapoteza Baby J na Berry Black – AT

Msanii wa muziki wa mduara AT, amezikandia jitihada za mkurugenzi wa Mkubwa na Wanawe Said Fella za kuwachukua na kuwasimamia wasanii kutoka visiwani Zanzibar, Baby J na Berry Black kwa madai amechukua ili kuwapotezea muda.
AT ambaye ameonesha dhahiri kutofurahishwa na mfumo wa muziki hapa Tanzania ambao kwa upande wake anaona unabana wasanii wa muziki kutoka Zanzibar, amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio kuwa ni kuwanyonya na si kuwasaidia.
“Mtu anawachukua wasanii wa...
11 years ago
GPLPROINS KUSAKA VIPAJI MIKONI
10 years ago
GPL
9 years ago
Bongo523 Nov
Baby Jay aeleza matarajio yake akiwa chini ya uongozi mpya wa Fella na Tale

Mwimbaji mahiri, Baby Jay amesema ana matarajio ya kupiga hatua katika muziki wake baada uongozi mpya wa Mkubwa Fella pamoja na Babu Tale kumchukua na kusimamia kazi zake za muziki.
Baby Jay ameiambia Bongo5 kuwa, ilikuwa ni ndoto yake ya muda mrefu kufanya kazi na uongozi mkubwa ambao utaweza kupeleka mbele muziki wake.
“Kwanza kuja kwa Tale na Fella ni wakati sahihi kwangu. Niwakati ambao nilikuwa naitaji watu ambao nitafanyanao kazi ya uhakika, wamekuja wakati ambao nimekuwa na...
11 years ago
Tanzania Daima23 May
Miss Dar Indian Ocean kusaka vipaji leo
WAREMBO wa Miss Dar Indian Ocean 2014 wanatarajiwa kuchuana kumsaka mwenye kipaji leo usiku kwenye ukumbi wa hoteli ya Chichi, Kinondoni jijini Dar es Salaam. Akizungumza na Tanzania Daima jijini Dar es...
10 years ago
GPLSHINDANO LA KUSAKA VIPAJI LA TMT JIJINI DAR LAZIDI KUNOGA