Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PROINS KUSAKA VIPAJI MIKONI

Afisa masoko wa kampuni hiyo, Bw. Evans Steven akizungumza na waandishi wa habari juu ya kampeni hiyo. Kulia ni jaji wa mashindano hayo, Single Mtambalike ‘Richie’ na msemaji mkuu, Joshua Moshi. Richie akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani).…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TIMU NZIMA YA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA YAELEKEA MKOANI MWANZA KWAAJILI YA KUANZA ZOEZI LA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA

Timu nzima ya Tanzania Movie Talents kutoka kampuni ya Proin Promotions Limited wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza safari ya kuelekea Mwanza kwaajili ya shindano la kutafuta Vipaji vya Uigizaji Tanzania ambapo shindano hili litaanzia katika Kanda ya Ziwa katika Mkoa wa Mwanza Kuanzia tarehe 5 April 2014 mahali ni Isamilo Lodge. Mdau Karimu Muhidin Michuzi na Baadhi ya vijana wa kazi katika timu ya kusaka vipaji wakiwa tayari kwa safari ya Mwanza. Mabasi yakiwa tayari kwa...

 

9 years ago

Mtanzania

Fella, Baby J kusaka vipaji visiwani Zanzibar

10735529_787253024649300_80706706_nNA MELCKZEDECK SIMON

MKURUGENZI wa Kundi la Mkubwa na Wanawe na Diwani wa Kata ya Kilungule, Said Fella, ameelekeza nguvu zake Visiwani Zanzibar kwa ajili ya kusaka vipaji vya wasanii wenye uwezo wa kuimba na kucheza lakini wanakosa sehemu ya kuonyesha vipaji vyao.

Katika msako huo wa wasanii, Fella ameongozana na wasanii wawili waliojiunga na kundi lake ambao wana asili ya Zanzibar, Berry Black na mwanadada Baby J, ambao watatumika kama majaji katika kazi hiyo.

“Nashukuru nimepata mapokezi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Miss Dar Indian Ocean kusaka vipaji leo

WAREMBO wa Miss Dar Indian Ocean 2014 wanatarajiwa kuchuana kumsaka mwenye kipaji leo usiku kwenye ukumbi wa hoteli ya Chichi, Kinondoni jijini Dar es Salaam. Akizungumza na Tanzania Daima jijini Dar es...

 

10 years ago

GPL

SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI LA TMT JIJINI DAR LAZIDI KUNOGA

Baadhi ya washiriki wa shindano la (TMT)wakijadili Script waliyopewa .
Baadhi ya wahudumu wa shindano wakiwa katika meza wakati wa usaili unaoendelea.
Jaji wa shindano hilo la TMT, Haji Salum 'Mboto' akifanya mahojiano na mshiriki wa shindano baada ya kutoka katika chumba maalum cha usaili hatua ya pili.…

 

10 years ago

CloudsFM

Paul Makonda kusaka vipaji kupitia Kinondoni Talent Search

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda ameitisha waandishi wa habari na kutangaza kuwa ameanzisha Kinondoni Talent Search ambayo itahusika kusaka vipaji vya watoto wenye vipaji kama; Kucheza, Kuimba, Kuchekesha na vinginevyo.
Akizungumza na waandishi wa leo alisema; “Kinondoni Talent Search ni mpango wenye lengo kuu la kuwatambua vijana waishio kwenye wilaya ya Kinondoni wenye vipaji vya kuimba, Kuchekesha ambao wengi wao wapo katika mazingira magumu ya kiuchumi jambo linalowafanya...

 

11 years ago

GPL

WAKAZI WA MWANZA WAJITOKEZA KATIKA SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA KUIGIZA

Jukwaa la majaji likiwa tayari kwa shindano la kusaka vipaji vya kuigiza Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents ambalo linaanza leo mkoani Mwanza katika Kanda ya Ziwa.  Mafundi mitambo wakiwa tayari kwa kazi.   Kundi la kwanza la vijana waliojitokeza katika usaili wa…

 

11 years ago

GPL

SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI LAENDELEA VYEMA SIKU YA LEO

Baadhi ya washiriki wakielekezwa cha kufanya mara baada ya kupita kwa majaji.  Majaji wa mashindano ya kusaka vipaji vya kuigiza Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents wakiwa makini kutazama kipaji kilichokuwa kikionyeshwa na mmoja wa washiriki (hayupo pichani) wakati alipofika kuonyesha kipaji chake, Kushoto ni Jaji Mkuu Roy Sarungi, akifuatiwa na Ivon Chery (Monalisa) na Single Mtambalike (Rich Rich). ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani