SERIKALI YAZUNGUMZIA VOCHA ZA PEMBEJEO ZA KILIMO
Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa Pembejeo za Kilimo, Shenal S. Nyonni, Mkurugenzi wa Mazao, Twahir Nzalawahe na afisa habari wa wizara hiyo (anayezungumza kulia), Richard Kasuga. Viongozi hao wakisikiliza maswali yaliyokuwa yakiulizwa na wanahabari (hawapo pichani).…
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziSERIKALI YAANZA UTEKELEZAJI WA RUZUKU YA PEMBEJEO ZA KILIMO KWA NJIA YA VOCHA.
10 years ago
Habarileo24 May
Vocha za pembejeo zaondolewa benki
SERIKALI imerudisha mfumo wa vocha za pembejeo ya ruzuku za kilimo kwa baadhi ya mazao kwa wakulima kuanzia mwaka 2015/16, ili kuwawezesha wakulima wengi kupata zana hizo, kutokana na mfumo wa awali wa kutoa ruzuku hizo kupitia benki, kushindwa kuwafikia wakulima wote.
11 years ago
Habarileo11 May
Ruzuku ya pembejeo kwa vocha yafutwa
SERIKALI imetangaza rasmi kuondoa utaratibu wa ruzuku kwa kutumia vocha za pembejeo. Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Mhandisi Christopher Chiza alisema hayo jana katika hotuba ya makadirio ya matumizi ya fedha ya Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika kwa mwaka 2014/2015.
10 years ago
Tanzania Daima22 Nov
Serikali yakiri ufisadi utoaji ruzuku za pembejeo za kilimo
WIZARA ya Kilimo, Chakula na Ushirika, imekiri kuwepo kwa changamoto nyingi katika mfumo wa utoaji ruzuku za pembejeo za kilimo kwa wakulima kwa mfumo wa vocha. Baadhi ya changamoto hizo...
9 years ago
Dewji Blog16 Nov
Wakulima nchini kunufaika na ruzuku ya vocha za pembejeo yenye thamani ya Bilioni 78!
Baaadhi ya wakulima wadogowadogo nchini wakiwa katika shughuli za kila siku za Kilimo kwa kutumia jembe la mkono. (Picha na Maktba yetu).
Na Rabi Hume, Modewjiblog
[DAR ES SALAAM] Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika imetangaza kuanza kutoa vocha za pembejeo ambazo serikali imezipatia ruzuku.
Akizungumza na waandishi wa habari, jijini hapa, Msemaji wa Wizara hiyo, Richard Kasuga amebainisha kuwa, Serikali imetumia shilingi bilioni 78, kwa ajili ya kununua...
11 years ago
Habarileo29 Jan
CAG kukagua bil. 574/- za vocha za kilimo
KAMATI za Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeitaka ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kufanya ukaguzi maalumu wa fedha Sh bilioni 574 zilizotumika kwa miaka sita kwenye vocha za pembejeo za kilimo.
10 years ago
Mwananchi25 Dec
Wakulima hatarini kukosa pembejeo za kilimo
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-hfupb6b0LE4/Vkrgz8gSmDI/AAAAAAAIGU8/ha-i8rRjHTI/s72-c/001.MTAMA.jpg)
MATUMIZI SAHIHI YA PEMBEJEO KUINUA SEKTA YA KILIMO NCHINI
![](http://4.bp.blogspot.com/-hfupb6b0LE4/Vkrgz8gSmDI/AAAAAAAIGU8/ha-i8rRjHTI/s400/001.MTAMA.jpg)
Wito huo umetolewa jijini Dar-Es-Salaam na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Wizara ya Kilimo, Chakula na Viwanda Richard Kasuga alipokuwa akitoa taarifa ya ruzuku ya pembejeo za kilimo kwa njia ya vocha nchini.
Kasuga aliendelea kusema kuwa matumizi sahihi ya mbegu bora...
11 years ago
Dewji Blog08 Aug
Wakulima Dodoma, wasifu Ufanisi wa TPA katika kuwezesha Usafirishaji wa Mazao na Uagizaji wa Pembejeo za Kilimo
Mwenyekiti wa ALAT Mkoa wa Dodoma na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa, Bw. Hamis Abdallah Mwenda (kushoto) akipata maelezo katika Banda la TPA lililopo viwanja vya nanenane Nzuguni, Dodoma kutoka kwa Afisa Mawasiliano, Bw. Focus Mauki (kulia). Katikati ni Afisa Mkuu wa TPA, Bi. Lydia Mallya.
Afisa Mawasiliano, Bw. Focus Mauki (wapili kushoto) akifafanua jambo kwa Mwenyekiti wa ALAT Mkoa wa Dodoma na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa, Bw. Hamis Abdallah Mwenda...