Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Marekani yazungumzia uchaguzi Burundi

Marekani imesema uchaguzi wa Rais unaofanyika nchini Burundi umekosa uaminifu.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Serikali yazungumzia hatima ya watanzania waliopo Burundi

NA NORA DAMIAN, DAR ES SALAAM
SERIKALI imesema itawaondoa Watanzania walioko Burundi baada ya kupata maombi yao kama wana matatizo kutokana na vurugu ambazo zimekuwa zikiendelea nchini humo kwa wiki kadha sasa.
Machafuko nchini humo yalianza baada ya Rais Pierre Nkurunziza kutangaza kuwa atawania awamu ya tatu katika uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika mwezi ujao.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Mkuu wa Mawasiliano wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mindi Kasiga, alisema...

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani yazungumzia operesheni zake

Marekani imesema hakutakuwa na mabadiliko katika operesheni zake kwa ajili ya kuachiliwa huru raia wake waliokamatwa mateka.

 

5 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi wa Burundi 2020: Vurugu na mauaji yakumba kampeini za uchaguzi Burundi

Polisi nchini Burundi wamesema kuwa wamewakamata watu wapatao 64 kutoka chama kikuu cha siasa cha CNL, kumekuwa na ghasia pamoja na mauaji dhidi ya wanachama wa chama kikuu katika kampeni za kuelekea uchaguzi mkuu wa rais tarehe 20 Mei.

 

9 years ago

Habarileo

UVCCM Z’Bar yazungumzia uchaguzi

UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umewataka vijana Zanzibar kutobabaishwa na kuendelea kwa mjadala au mazungumzo ya viongozi wa kisiasa kuhusu matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu ambao umefutwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC).

 

9 years ago

Michuzi

ZADIA YAZUNGUMZIA HALI YA KUFUTWA KWA MATOKEO YA UCHAGUZI ZANZIBAR

Logo ya ZadiaJumuiya ya Wazanzibari Waishio Nchini Marekani (ZADIA), imekuwa ikifuatilia kwa karibu na makini zaidi zoezi zima la Uchaguzi Mkuu visiwani Zanzibar na Tanzania kwa ujumla. Kwa kiasi kikubwa mchakato wa uchaguzi ulifanyika kwa njia za amani na utulivu. Hata hivyo ZADIA imeshtushwa mno na tamko la Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Mh. Jecha Salim Jecha la kutangaza kuufuta Uchaguzi Mkuu Zanzibar na matokeo yake.

Ama kwa hakika kitendo hicho hakikuwa cha busara na...

 

5 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi wa Burundi 2020: Kwa nini Rwanda na Burundi zimekuwa maadui wakubwa?

Wakati, Burundi ikijiandaa kwa uchaguzi mkuu wiki ijayo, uhusiano kati ya nchi hiyo na jirani yake wa karibu Rwanda ukiwa umevunjika

 

5 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi wa Burundi 2020: Kwanini Burundi imewatimua maafisa wa WHO?

Ujumbe kutoka kwa wizara ya mambo ya nje nchini Burundi, umetumwa mtandaoni ukiwataka wawakilishi wa Shirika la Afya Duniani kuondoka nchini humo ndani ya saa 48.

 

5 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi Burundi: Agathon Rwasa aapa kupinga matokeo ya uchaguzi wa Urais mahakamani

Bwana Rwasa amesema hakubaliani kabisa na matokeo aliyoyapata, akidai uchaguzi ulitawaliwa na vitendo vya wizi wa kura.

 

5 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi Marekani 2020: Trump adaiwa kuomba usaidizi wa rais Xi Jinping kushinda uchaguzi ujao

Msaidizi wa zamani wa Trump John Bolton aandika kitabu kinachomtuhumu Trump katika masuala mbalimbali ya kisera na utendaji.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani