Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATANZANIA WALIOPO WUHAN WAPO SALAMA-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema vijana wa Tanzania wapatao 497 wanaosoma katika vyuo mbalimbali vilivyoko kwenye mji wa Wuhan nchini China wote wapo salama.Kwa sasa Mji wa Wuhan umewekewa zuio hakuna mtu anayeruhusiwa kutoka wala kuingia, lengo likiwa ni kuzuia kuenea kwa maambukizi ya virusi hivyo. Mlipuko wa virusi vya corona ulianzia katika mji wa Wuhan.
Ametoa kauli hiyo leo (Jumapili, Februari 16, 2020) kwenye Kumbukumbu ya Mazazi ya Mtume Muhammad Swalla Allahu Alayh...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Kenya yabadili msimamo wake wa kuwarudisha nyumbani wanafunzi waliopo Wuhan China

Serikali ya Kenya imesema kwamba haitawarudisha nyumbani wanafunzi 75 wa Kenya walio mjini Wuhan China kufuatia mlipuko wa virusi vya Corona

 

10 years ago

Mwananchi

Bakwata: Mahujaji wapo salama

Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limesema mahujaji wote wa Tanzania waliokwenda Saudi Arabia kwa ajili ya Hijja wako salama.

 

5 years ago

CCM Blog

WATU 27 WALIOCHUKULIWA SAMPULI VIRUSI VYA CORONA WAPO SALAMA

Watu 27 waliochukuliwa sampuli ya vipimo vya Corona Tanzania, wako salama
Watu 27 ambao waliliochukuliwa sampuli za vipimo vyao vya afya ili kuwachunguza iwapo wameambukizwa virusi vya Corona Covid-19, wapo salama.

Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Kitengo cha ufuatiliaji wa magonjwa ya mlipuko katika Wizara ya Afya, Dk Janeth Mghamba akiwa na mtaalam wa majanga wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Dk Faraja Msemwa. Wakizungumza na waandishi wa habari mjini Arusha, maafisa hao wa Wizara ya Afya nchini Tanzania, wamesema watu hao 27 walichukuliwa sampuli baada...

 

10 years ago

Vijimambo

SERIKALI KUWARUDISHA NCHINI WATANZANIA WALIOPO YEMEN

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA

 



Simu: 255-22-2114615, 211906-12 Barua pepe: nje@nje.go.tzBarua pepe: gcu@nje.go.tzTovuti : www.foreign.go.tzNukushi: 255-22-2116600              

 

 

                20 KIVUKONI FRONT,                           P.O. BOX 9000,                  11466 DAR ES SALAAM,                                      Tanzania.

 


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI


Serikali kuwarudisha nchini Watanzania waliopo Yemen


Mhe....

 

10 years ago

Mtanzania

Serikali yazungumzia hatima ya watanzania waliopo Burundi

NA NORA DAMIAN, DAR ES SALAAM
SERIKALI imesema itawaondoa Watanzania walioko Burundi baada ya kupata maombi yao kama wana matatizo kutokana na vurugu ambazo zimekuwa zikiendelea nchini humo kwa wiki kadha sasa.
Machafuko nchini humo yalianza baada ya Rais Pierre Nkurunziza kutangaza kuwa atawania awamu ya tatu katika uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika mwezi ujao.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Mkuu wa Mawasiliano wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mindi Kasiga, alisema...

 

10 years ago

Mwananchi

Chadema yaitaka Serikali kuangalia Watanzania waliopo Afrika Kusini

>Chama cha Chadema, kimeitaka Serikali kuchukua hatua za dharura kuwarudisha nyumbani Watanzania wanaoishi Afrika Kusini kutokana na kuwepo kwa machafuko nchini humo.

 

10 years ago

Michuzi

sherehe ya kuwakaribisha wanafuzi wapya Watanzania huko Wuhan, China

 Baadhi ya wanafunzi wapya waliohudhuria sherehe hiyo wakiwa kwenye picha ya pamoja.  Baadhi ya wadau wa China University of Geosciences (DIDA). Kutoaka kushoto ni Bwana Saiboko, Yazidi, Masanja na Baraka. Baadhi ya wadau wakiwa kwenye picha ya pamoja na mwenyekiti wa WUTASA bwana Thomas Mtaki (wa tatu kutoka kushoto). Katibu wa WUTASA bwana Mkoko akijaziwa mapochopocho.
 Baadhi ya wadau waliohudhuria. Mambo ya mduara.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Jinsi wuhan wanavyosalimiana 'wuhan shake'

Watu wengi duniani wanaepuka kusalimiana kwa kushikana mikono ili kuzuia maambukizi ya virusi vya corona.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani