Sarumagaoni wajiandaa kuandamana
Mgogoro wa wakazi wa Sarumagaoni Halmashauri ya Jiji la Tanga, wanaodai kutokana na kuhamishwa katika eneo hilo umeingia katika sura mpya baada wakazi hao kutishia kuandamana hadi ofisi za mkuu wa mkoa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania21 Dec
CCM Mufindi wajiandaa kufukuzana
NA GUSTAPHU HAULE, IRINGA
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Mufindi, Mkoa wa Iringa, kinaendelea kufanya uchunguzi dhidi ya wanachama waliofanya usaliti wakati wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu.
Baada ya uchunguzi huo kukamilika, wasaliti wote watatimuliwa ili kubaki na wanachama wenye nia njema na chama hicho.
Taarifa hiyo ilitolewa jana na Katibu wa CCM Wilaya ya Mufindi, Jimson Mhagama, alipokuwa akizungumza na MTANZANIA ofisini kwake kuhusu mwenendo wa chama wilayani...
9 years ago
Global Publishers06 Jan
Q Chillah, MB Dog wajiandaa na kolabo
Mkongwe katika muziki wa Kizazi Kipya Bongo, Aboubakar Katwila ‘Q Chillah’.
Said Ally, Dar es Salaam
WAKONGWE katika muziki wa Kizazi Kipya Bongo, Aboubakar Katwila ‘Q Chillah’ na Mbwana Mohamed ‘MB Dog’ kwa sasa waumeungana kuhakikisha wanarudi kukonga nyoyo za mashabiki wao ambao wamewamisi kwa muda mrefu.
Q Chillah na MB Dog kwa vipindi tofauti waliwahi kubamba kwenye tasnia hiyo kabla ya kupotea na sasa wanarejea tena.
MB Dog.
Akizungumza na Mikito Jumatano, Q Chillah alisema kuwa...
10 years ago
Tanzania Daima18 Sep
KGA wajiandaa kwa maandamano, mgomo
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Chama cha waongoza watalii mkoa wa Kilimanjaro (KGA), wameazimia kufanya mgomo na maandamano ili kuishinikiza serikali kusimamia sheria ya kuwataka mawakala wa utalii wawalipe waongoza...
9 years ago
BBCSwahili26 Oct
Maafisa wajiandaa kuhesabu kura Mwanza
10 years ago
Habarileo20 Apr
Ubalozi wajiandaa kuondoa Watanzania Afrika Kusini
UBALOZI wa Tanzania nchini Afrika Kusini umesema umeanza utambuzi wa Watanzania waishio katika maeneo ya hatari nchini humo kabla ya kuanza hatua za kuwaondoa na kuwarejesha nyumbani.
10 years ago
Mwananchi30 Sep
Wajiandaa kulinganisha mitalaa ya vyuo Afrika Mashariki
9 years ago
StarTV30 Nov
Wakazi Handeni wajiandaa kushiriki uchaguzi mdogo wa mbunge
Baadhi ya wakazi wa jimbo jipya la Handeni mjini mkoani Tanga wamesema wamejiandaa vyema kushiriki uchaguzi wa mbunge utakaofanyika Desemba 12 mwaka huu ambapo uchaguzi ulihairishwa baada ya mgombea wa CCM Abdalah Kigoda kufariki dunia.
Wakazi hao wameahidi kumchagua kiongozi ambaye pamoja na mambo mengine atashughulikia tatizo la maji ambalo limekuwa la kudumu katika jimbo hilo.
Uchaguzi wa jimbo hilo uliahirishwa baada ya mgombea kupitia CCM Dokta Abdalah Kigoda kufariki dunia.
Jimbo...
10 years ago
MichuziTABATA KISIWANI WAJIANDAA NA SHEREHE ZA UBINGWA WA YANGA JUNI 16 MWAKA HUU.
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-yDmN_lbPFLc/U8uaiIDQxHI/AAAAAAAF39s/YQJMeH68wtI/s72-c/162732_479432362548_2318153_n%5B1%5D.jpg)
Profesa mbele na timu yake wajiandaa kwa Tamasha la Afrifest Agosti 2, 2014
![](http://2.bp.blogspot.com/-yDmN_lbPFLc/U8uaiIDQxHI/AAAAAAAF39s/YQJMeH68wtI/s1600/162732_479432362548_2318153_n%5B1%5D.jpg)
Hapa naonekana nikiwa na mama mmoja aliyekuja kwenye meza yangu. Nilimweleza yale aliyoulizia. Hata hivi, kwa kumwangalia usoni, hakuonekana anavutiwa na yale niliyokuwa...