Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Profesa mbele na timu yake wajiandaa kwa Tamasha la Afrifest Agosti 2, 2014

Na Profesa MbeleKila mwaka, tangu mwaka 2007, nahudhuria tamasha la Afrifest, ambalo hufanyika hapa Minnesota, Marekani. Imewahi kutokea kwamba nilikuwa Tanzania wakati wa tamasha hilo. Binti zangu wananiwakilisha.Wanafahamu vizuri shughuli zangu, na wanawaeleza watu wanaoulizia kuhusu shughuli zangu na vitabu vyangu.
Hapa naonekana nikiwa na mama mmoja aliyekuja kwenye meza yangu. Nilimweleza yale aliyoulizia. Hata hivi, kwa kumwangalia usoni, hakuonekana anavutiwa na yale niliyokuwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Vitabu Nitakavyoonesha Katika Tamasha la Afrifest, Agosti 2, 2014

Na Profesa  Joseph Mbele

Kila mwaka wakati wa tamasha Afrifest, ninakuwa na meza ambapo naonesha vitabu vyangu na machapisho mengine. Meza ya vitabu huwavuta watu waje hapo. Kwa kawaida, mbali ya kutaka kunifahamu na kufahamu shughuli zangu, watu wanaofika hapo huwa na hamu ya kujua vitabu vinahusu nini. Wengi huvishika wao wenyewe na kuangalia ndani.
Kwa mawazo yangu, hiyo si fursa ya kuvipigia debe vitabu hivyo. Ninachofanya ni kujibu masuali niulizwayo. Kama suali linahusu kitabu au vitabu...

 

11 years ago

Mwananchi

Bunge Maalum la Katiba na kazi pevu iliyo mbele yake Agosti

>Siku 67 za Bunge Maalumu la Katiba zimekwisha na wajumbe hao kurejea makwao huku kukiwa hakuna hata ibara moja kati ya zaidi ya 200 iliyopitishwa.

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA MATUMAINI 2014 MASHALI, MAUGO KUMALIZA UBISHI AGOSTI

Mabondia Mada Maugo na Thomas Mashali ‘Simba Asiyefugika’, wakitunishiana misuli. Na Nassor Gallu SIKU zinazidi kukatika huku maandalizi yakipamba moto kuelekea katika tamasha babkubwa linalojulikana kama Usiku wa Matumaini 2014 (Night of Hope) linalotarajiwa kufanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar, Agosti 8, mwaka huu. Katika tamasha… ...

 

10 years ago

Michuzi

bendera ya tanzania yatamba katika tamasha la afrifest marekani

Na Profesa Mbele
Jana, tarehe 1 Agosti, tamasha la Afrifest lilifanyika mjini Brooklyn Park, Minnesota. 
Hili ni tamasha ambalo huandaliwa mara moja kwa mwaka na bodi ya Afrifest Foundation ambayo mimi ni mwenyekiti wake. ili kuwakutanisha wa-Afrika, watu wenye asili ya Afrika waishio Marekani ya Kaskazini, Kati, na Kusini, pamoja na Caribbean, na pia watu wa mataifa mengine. Lengo kubwa ni kufahamiana, kuelimisha, na kuuenzi mchango wa watu weusi duniani kote, katika nyanja mbali mbali. 

Hiyo...

 

11 years ago

Michuzi

ROSE MUHANDO KUZINDUA ALBAMU YAKE YA FACEBOOK AGOSTI 3/2014 JIJINI DAR

Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari kwenye viwanja vya Karimjee leo wakati alipokua akitangaza Uzinduzi mkubwa wa Albam ya Shikilia Pindo maarufu ka FACEBOOK ya mwimbaji wa muziki wa injili anayevuma, Rose Muhando utakaofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee Agosti 3 /2014 jijini Dar es salaam, ambapo amesema baadhi ya mapato yatakwenda kuviwezesha mitaji zaidi ya vituo 10 vya watoto yatima jijini Dar es salaam.   Mkurugenzi wa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Masanja Awa Mbele ya Jaydee na Profesa Jay Kwa Utajiri Tanzania

<span 1.6em;"="">Utajili wa komediani maarufu Bongo, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ ni kufuru! Tena unatisha na sasa anaonekana kuwa miongoni mwa wasanii wanaomiliki fedha na mali nyingi Bongo gazeti la Risasi Mchanganyiko limeripoti.

Awali, habari kuhusu utajiri wa Masanja ilitua mezani mwa gazeti hilo kama kidokezo, hapo mwandishi wao akaingia mzigoni na kuanza kuchunguza kwa kina mali anazomiliki msanii huyo na kugundua kuwa ni kati ya mastaa mabilionea Bongo.

“Masanja sio yule...

 

11 years ago

GPL

MADEE AMTAFUTA ALIYEMWAGA POMBE YAKE NDANI YA TAMASHA LA MATUMAINI 2014

Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya kutoka Kundi la Tip Top Connection, Ahmad Ally 'Madee' akiwapagawisha mashabiki waliofurika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014. Madee akisema na mashabiki wake.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani