Q CHILLAH: JINA LANGU LINANIFANYA NIJITUME
![](http://api.ning.com:80/files/13SlHjEdb8NPcZD6EX5cfXKACgVNfW9Tc8X0*rL8NiwYRF0p5M39KhT6ara9c7NbUcdjVYM2l4rWl1RwqBLCG6kbp1SODkda/qchillah.jpg?width=650)
Mkongwe wa Bongo Fleva anayetamba na ngoma yake ya For You, Abubakari Katwila ‘Q Chillah’. Mkongwe wa Bongo Fleva anayetamba na ngoma yake ya For You, Abubakari Katwila ‘Q Chillah’ amefunguka kuwa ukubwa wa jina lake ndiyo umemrudisha kwenye gemu kwa kasi na kumfanya ajitume sana kufanya muziki wake. kizungumza na paparazi wetu, Q Chillah alisema kuwa katika kipindi alichokuwa kimya aligundua kuwa watu wengi walikuwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies14 Dec
Rose Ndauka:Jina langu Jipya ni Bakita
Kwasasa akiwa katika utengenezaji wa filamu mpya ambayo inafanyika chini ya kampuni ya Bulls Entertainment, Mwigizaji Rose Ndauka aliandika mtandaaoni kwa kifupi kuwa jina lake jipya ni Bakita.
“My new name it's Bakita#new”
Swala liliowaacha mashabiki wengi kubaki na maswali mengi juu nini hasa kimemfanya awe na jina jipya.
Rose Ndauka hivi karibuni alionekana akiwa Location na mwigizaji na muongozaji wa filamu Richie, na kuahidi kazi mpya na kali inafanyika na hivyo mashabiki wakae...
10 years ago
Bongo Movies14 Dec
Rose Ndauka:Jina langu Jipwa ni Bakita
Kwasasa akiwa katika utengenezaji wa filamu mpya ambayo inafanyika chini ya kampuni ya Bulls Entertainment, Mwigizaji Rose Ndauka aliandika mtandaaoni kwa kifupi kuwa jina lake jipya ni Bakita.
“My new name it's Bakita#new”
Swala liliowaacha mashabiki wengi kubaki na maswali mengi juu nini hasa kimemfanya awe na jina jipya.
Rose Ndauka hivi karibuni alionekana akiwa Location na mwigizaji na muongozaji wa filamu Richie, na kuahidi kazi mpya na kali inafanyika na hivyo mashabiki wakae...
11 years ago
Tanzania Daima12 May
Tupa: Sililii safari, bali jina langu kutumika
KOCHA maarufu wa riadha nchini, Samwel Tupa kutoka Arusha, amefafanua kwamba anacholilalamikia Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), ni jinsi jina lake lilivyotumika kama kocha aliyeondoka na wachezaji waliokwenda New Zealand...
11 years ago
Tanzania Daima20 Mar
Q-Chillah kuipua ‘Always Be Around’
MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Abubakar Shaaban ‘Q-Chillah’ anatarajiwa kuachia kazi yake mpya hivi karibuni inayokwenda kwa jina la ‘Always Be Around’ ambayo ameshirikiana na wakali kibao wanaotamba...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vYFBfoh8eSqx**pNFreaMwWpNn5Q3aG8W2BO9ZEF2zG9J-AqlriX82XYKSQByZxzQkUTb1RzNLDcqU9gmP7lRbk5Y3LKoo3W/jbmzigompya.jpg?width=650)
JB: JIONEE ALINICHONIFANYA Q-CHILLAH!
10 years ago
GPLQ-CHILLAH ALAMBA MKATABA MNONO
9 years ago
Global Publishers06 Jan
Q Chillah, MB Dog wajiandaa na kolabo
Mkongwe katika muziki wa Kizazi Kipya Bongo, Aboubakar Katwila ‘Q Chillah’.
Said Ally, Dar es Salaam
WAKONGWE katika muziki wa Kizazi Kipya Bongo, Aboubakar Katwila ‘Q Chillah’ na Mbwana Mohamed ‘MB Dog’ kwa sasa waumeungana kuhakikisha wanarudi kukonga nyoyo za mashabiki wao ambao wamewamisi kwa muda mrefu.
Q Chillah na MB Dog kwa vipindi tofauti waliwahi kubamba kwenye tasnia hiyo kabla ya kupotea na sasa wanarejea tena.
MB Dog.
Akizungumza na Mikito Jumatano, Q Chillah alisema kuwa...
10 years ago
Bongo Movies08 Dec
Dude Ampa Makavu Q-Chillah
MWONGOZAJI na mwigizaji mkongwe katika tasnia ya filamu Swahilihood, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amemtolea uvivu msanii wa muziki wa kizazi kipya na mwigizaji wa filamu, Shabani Katwila ‘Q-Chillah’ kwa kumwambia kuwa katika filamu hakuna ubishoo zaidi ya uhalisia na uhusika kwa filamu husika.
“Napenda kumwambia mdogo wangu Q-Chillah huku siyo kama katika muziki, huku tunavaa kulinga na uhusika, siyo kuvaa tu ilimradi umevaa tu, maskini hawezi kuvaa suti, au mchungaji kuvaa pensi au kuonekana...
10 years ago
GPLQ-CHILLAH AAHIDI MAKUBWA UJIO WAKE MPYA!