MTITU AMPA MAKAVU JB
![](http://api.ning.com:80/files/CrfMSzuE5d6TLjrEVtyrJrwfo4em*KuB-Yq760DCpkjWw-6wEF39oWIki8y18GaNT1WHYMhwr5UuLneYBOhtuwcutL*virM4/jb.jpg)
Stori: Mwandishi Wetu KATIKA hali ya kushangaza msanii wa filamu na Mkurugenzi wa Five Effect, William Mtitu amemchana live msanii mwenzake, Jacob Stephen ‘JB’ baada ya kutoa mchango mdogo kwenye msiba wa Sheila Haule ‘Recho’. Msanii wa filamu na Mkurugenzi wa Five Effect, William Mtitu (wa tatu kutoka kushoto) akiwa karibu na jeneza la Recho Haule. Akizungumza msanii mmoja wa filamu ambaye hakutaka...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies08 Dec
Dude Ampa Makavu Q-Chillah
MWONGOZAJI na mwigizaji mkongwe katika tasnia ya filamu Swahilihood, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amemtolea uvivu msanii wa muziki wa kizazi kipya na mwigizaji wa filamu, Shabani Katwila ‘Q-Chillah’ kwa kumwambia kuwa katika filamu hakuna ubishoo zaidi ya uhalisia na uhusika kwa filamu husika.
“Napenda kumwambia mdogo wangu Q-Chillah huku siyo kama katika muziki, huku tunavaa kulinga na uhusika, siyo kuvaa tu ilimradi umevaa tu, maskini hawezi kuvaa suti, au mchungaji kuvaa pensi au kuonekana...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-why5eiBTy4I/VOLcxxBXOfI/AAAAAAAAAMg/Bm6xRV4Td0U/s72-c/zz.jpg)
ZARI AMPA MAKAVU SEPETUNGA WEMA
![](http://3.bp.blogspot.com/-why5eiBTy4I/VOLcxxBXOfI/AAAAAAAAAMg/Bm6xRV4Td0U/s640/zz.jpg)
Mbali na watu kadhaa ambao wamejinasibisha mitandao kuwa wao hawayapendi mahusiano ya Zari na Diamond kusambaza mtandaoni picha ya Zari ikiwa na maneno ya kejeli kuhusu mimba aliyonayo, Wema nae alishiriki kuiweka picha hiyo yenye maneno ya kejeli yanayosomeka ‘Mimba My Foot”kama yanavyosomeka kwenye...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vOQMXCMD51*lK8yeUDCt1ueJDcqeTAvp5scvmcVkOLwjcDBapjUgHZCfrGcNimz0uFg3rwOZ0G4O7CxCRwRY6iYyQkpCft3K/lucy1.jpg?width=650)
LUCY KOMBA AMPA BOZI MAKAVU LIVE
10 years ago
Vijimambo03 Jan
JOKATE: DIAMOND HANA AKILI TIMAMU....AMPA MAKAVU LAIVU KWEUPE
![](http://www.bongocelebrity.com/wp-content/uploads/2012/10/Jokate-2.jpg)
9 years ago
Bongo Movies15 Nov
Wastara Ampa Ampa Kichapo Bondi
KAZI ipo! Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma anadaiwa kumpa kichapo kikali aliyekuwa mwandani wake, Bond Suleiman baada ya kupatwa na kile kinachosemwa kuwa ni kupandisha majini.
Kwa mujibu wa chanzo chetu, kupandisha majini hayo kulitokana na jinsi ambavyo mwanaume huyo amekuwa akimtendea mpenziwe huyo, ambaye inadaiwa katika kupandisha huko, alitoa maelekezo ya namna anavyotakiwa kufanya.
“Nakuambia ilikuwa varangati siku hiyo, Wastara alipandisha majini akiwa na Bond, walikuwa...
9 years ago
Bongo Movies14 Sep
Uwoya Awapa Makavu Wasanii Hawa
Staa wa Bongo Movies, Irene Uwoya ambaye ameshapitishwa na hama chake cha CCM kuwania ubunge wa viti maalum amewapa makavu baadhi ya wasanii wenzake wa bongo movies ambao hawakiungio mkono chama cha mapinduzi wakati baadhi yao walikuwa karibu sana na Rais Kikwete anaye maliza muda wake.
Kupitia kurasa wake kwenye mtandao picha wa instagram, Uwoya awachana wa sanii hao kuwa yule wa nao muunga mkono hakuwahi kuwathamini hata siku moja.
"Sasa narudi kwa wasaniii wasio jitambua!katika tasnia...
10 years ago
Bongo Movies04 Apr
Faiza Awapa Makavu Vijana wa Aina Hii
Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Faiza Ally ameonekana kuungwa mkono na wengi baada ya kuwatolea uvivu vijana wanaopenda mtelemko katika maisha na kufikia kufanywa vitendo visivyo faa.
“Vijana wa kiume wadogo wadogo wana danganya na wanaume wenzao - wanageuzwa kwa ajili ya ugumu wa maisha na tamaa - yarab stara kwa watoto wetu .....Habari za mji huu zina sikutisha sana - kumbe ndio maana siku hizi wanaume wanapenda mik*ndu uwiii tunaelekea wapiiiiii wenzangu ? mimi nasikitishwa natamani...
10 years ago
Bongo Movies13 Apr
Riyama Awapa Makavu Waandaaji Hawa wa Filamu
Staa wa Bongo Movies, Riyama Ally amewatupia dongo baadahi ya waandaaji wa filamu ambao huwa wababaishaji kwenye kuwalipa wasanii mara baada ya kumaliza kazi, akijitolea mfano wa yeye kufanyima hivyo mara kadhaa kitendo ambacho anasema kinawarudisha sana nyuma wasanii.
Riyama ametobao hilo mtandao mara baada ya kubandika picha hiyo hapo juu akiwa mzigoni na kuandika haya.
“Kazini najichekesha tu ila nimechoka hoi wallah Dah........ HATARIIIIII
Halafu unamalizia kushuti prodiucer ana...
9 years ago
Bongo Movies31 Dec
Ray Awapa Makavu Wanaofatilia Maisha ya Watu Insta
![Ray](http://www.bongomovies.com/wp-content/uploads/2015/12/RAY32.png)
Ray
Ray ameandika haya kwenye ukurasa wake Instagram.
“Kijana mwenzangu mwaka ndio huo unaisha inama tafakari nini ulichokifanya mwaka huu,je ulichokipanga kimefanikiwa kwa asilimia ngapi au kazi yako ilikuwa nikuangaika na maisha ya watu kwenye insta?
Wenzako wanapiga hatua kumi mbele wewe unapiga hatua kumi nyuma. ujachelewa achana na maisha ya watu pambana na maisha yako ..(life is all about the money.)”
Nadhani Ujumbe umefika.