JOKATE: DIAMOND HANA AKILI TIMAMU....AMPA MAKAVU LAIVU KWEUPE
Staa wa urembo, muziki, filamu na ujasiriamali Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ au ‘Jojo’ amemrushia maneno makali aliyewahi kuwa mpenzi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuwa hana akili timamu kufuatia maneno aliyotoa kuwa enzi za uhusiano wao, eti mwanadada huyo alikuwa akichenga kumzalia mtoto.MAHOJIANOKatika mahojiano maalum ya hivi karibuni kupitia Kipindi cha Mtu Kati cha Runinga ya GlobalTV Online chenye makao yake makuu ndani ya Ofisi za Global Publishers zilizopo Bamaga-Mwenge,...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TuH-vYM0DCyEd8qd3xBObjwlGiFMQVzuB8P4a6fDS72RLlWHEA3WblPmhhcIKeOVniAsLpHBjDLlLlDttzgotyyCeh2cZGc9/FRONT.jpg?width=650)
JOKATE: DIAMOND HANA AKILI TIMAMU
10 years ago
Vijimambo08 Jan
DAVIDO WAPEANA MAKAVU LAIVU LAIVU KWENYE MITANDAO
![](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/01/Davido-ttt.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/CrfMSzuE5d6TLjrEVtyrJrwfo4em*KuB-Yq760DCpkjWw-6wEF39oWIki8y18GaNT1WHYMhwr5UuLneYBOhtuwcutL*virM4/jb.jpg)
MTITU AMPA MAKAVU JB
10 years ago
Bongo Movies08 Dec
Dude Ampa Makavu Q-Chillah
MWONGOZAJI na mwigizaji mkongwe katika tasnia ya filamu Swahilihood, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amemtolea uvivu msanii wa muziki wa kizazi kipya na mwigizaji wa filamu, Shabani Katwila ‘Q-Chillah’ kwa kumwambia kuwa katika filamu hakuna ubishoo zaidi ya uhalisia na uhusika kwa filamu husika.
“Napenda kumwambia mdogo wangu Q-Chillah huku siyo kama katika muziki, huku tunavaa kulinga na uhusika, siyo kuvaa tu ilimradi umevaa tu, maskini hawezi kuvaa suti, au mchungaji kuvaa pensi au kuonekana...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-XO38fqQ5MPY/VnMqe3N75GI/AAAAAAAINMI/nRAFxkRrhPc/s72-c/1.1774256.jpg)
MAKALA YA SHERIA: JE KULEWA, KUTOKUWA NA AKILI TIMAMU NI KINGA BAADA YA KUTENDA JINAI
![](http://4.bp.blogspot.com/-XO38fqQ5MPY/VnMqe3N75GI/AAAAAAAINMI/nRAFxkRrhPc/s320/1.1774256.jpg)
Wote tunajua kuwa kila atendaye kosa sharti aadhibiwe. Na kuadhibiwa huko lazima kuwe kwa mujibu wa sheria. Pamoja na kuwa mtenda kosa hustahili adhabu bado watenda kosa hutofautiana hadhi. Hadhi hapa sio kuwa fulani ni mkuu wa mkoa au mkurugenzi na fulani ni mkulima wa kawaida kijijini Katanakya.
Hadhi ndio kama hizo zilizotajwa katika kichwa cha makala. Wapo watenda makosa lakini wakiwa na umri mdogo, wapo...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-why5eiBTy4I/VOLcxxBXOfI/AAAAAAAAAMg/Bm6xRV4Td0U/s72-c/zz.jpg)
ZARI AMPA MAKAVU SEPETUNGA WEMA
![](http://3.bp.blogspot.com/-why5eiBTy4I/VOLcxxBXOfI/AAAAAAAAAMg/Bm6xRV4Td0U/s640/zz.jpg)
Mbali na watu kadhaa ambao wamejinasibisha mitandao kuwa wao hawayapendi mahusiano ya Zari na Diamond kusambaza mtandaoni picha ya Zari ikiwa na maneno ya kejeli kuhusu mimba aliyonayo, Wema nae alishiriki kuiweka picha hiyo yenye maneno ya kejeli yanayosomeka ‘Mimba My Foot”kama yanavyosomeka kwenye...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-ELyj1FnTsdE/VYxwiALSUBI/AAAAAAAHkIA/7gffGSIjsh0/s72-c/images.jpg)
MAKALA YA SHERIA: MIRATHI ZA WATOTO WADOGO NA WASIO NA AKILI TIMAMU HUSIMAMIWA NA NANI KISHERIA ?
![](http://1.bp.blogspot.com/-ELyj1FnTsdE/VYxwiALSUBI/AAAAAAAHkIA/7gffGSIjsh0/s1600/images.jpg)
Hata hivyo suala la mirathi huibua hisia zaidi hasa panapokwa hamna wosia. Marehemu asipoacha wosia lakini akaacha mali mambo huwa sio mepesi sana labda iwe vinginevyo....
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-F7M58gkVDLI/VYxR7bKhtPI/AAAAAAAHkHA/uT257_SNmPM/s72-c/law_5.jpg)
MAKALA YA SHERIA: MIRATHI ZA WATOTO WADOGO NA WASIO NA AKILI TIMAMU HUSIMAMIWA NA NANI KISHERIA?
![](http://1.bp.blogspot.com/-F7M58gkVDLI/VYxR7bKhtPI/AAAAAAAHkHA/uT257_SNmPM/s320/law_5.jpg)
Suala la mirathi popote linapotokea hutokea iwapo kuna mtu amekufa na ameacha mali . Mtu akishakufa akaacha mali hata kama hakuna ndugu wa kurithi suala la mirathi lazima liibuke. Huibuka kwakuwa lazima zile mali ziende pahali iwe kwa mtu au kwa mamlaka. Hata hivyo suala la mirathi huibua hisia zaidi hasa panapokwa hamna wosia. Marehemu asipoacha wosia lakini akaacha mali mambo huwa sio mepesi sana labda iwe...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vOQMXCMD51*lK8yeUDCt1ueJDcqeTAvp5scvmcVkOLwjcDBapjUgHZCfrGcNimz0uFg3rwOZ0G4O7CxCRwRY6iYyQkpCft3K/lucy1.jpg?width=650)
LUCY KOMBA AMPA BOZI MAKAVU LIVE