Dude na Davina Ndani ya SHANTA...
Kumecha.....5 effects movies tunakuja tena na tofali lingine la aina yake....naizungumzia SHANTA....hapa namzungumzia HALIMA YAHAYA "DAVINA",KULWA KIKUMBA"DUDE",JENGUA na WILLIAM MTITU ni filamu bomba iliyosheheni visa na mikasa ya aina yake....kutana na Dereva Tax anayetembea na mgoni wake akiwa na mke wa Dereva Tax huyo ndani ya tax siku nzima bila ya mgoni kutambua....unajua hatua anazochukua Dereva Tax dhidi ya mgoni wake?.... Kwa wauzaji wa jumla na rejareja coming soon
William mtitu...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies12 Mar
Bongo DSM: Monalisa Ndani-Dude
Mwigizaji na mwongozaji wa filamu, Kulwa Kikumba ‘Dude’ ambae ni mmiliki na mwigizaji igizo la Bongo Dar-es-salaam ambalo hurushwa kwenye runinga, amemtaja mwigizaji Yvonne-Sheryl Ngatikwa 'Monalisa’ kuwa ni moja kati ya wakali watakaoshiriki kwenye kipindi hicho kwa msimu huu.
Kitendo cha kumuongeza monalisa kwenye timu ya Bongo DSM kimewafurahisha wengi na kuongeza hamasa kubwa miongoni mwa wapenzi wengi wa kipindi hicho ambacho kilijizolea umaarufu mkubwa miaka ya zaidi ya mitatu...
10 years ago
GPLDUDE NDANI YA GLOBAL TV ONLINE LEO
10 years ago
Bongo Movies20 Apr
Davina Akanusha Habari “Davina Amchokonoa Wema” Adai ni Uchonganishi
Staa wa bongo movies, Halima Yahaya ‘Davina’ ameonyesha kushitushwa na habari zilizoripotiwa leo nagezeti moja la udaku limeripoti habari yenye kishwa cha habari “Davina Amchokokoa Wema” kitu ambacho Davina amedai ni uchanganishi kati yake na Staa mwenzake Wema Sepetu.
Gazeti hilo limedai kuwa Davina alisema kuwa anamshukuru Mungu kwa mawanae kutimiza miaka miwili kwani kuna watu wanatafuta watoto mpaka sasa hawajapata.
Davina aliyaongea hayo katika birthday ya mwanae iliyofanyika ...
9 years ago
Bongo522 Dec
Video: Shanta Neggo Ft Moriento – Freemason

Rapper Shanta Neggo ameachia video yake mpya wimbo unaitwa “Freemason”, Amemshirikisha Moriento, Video imeongozwa Nick Dizzo.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Habarileo06 Jan
Shanta Mining waagizwa kukamilisha fidia
SERIKALI imeiagiza Kampuni ya Shanta Mining ya Singida kukamilisha shughuli ya ulipaji fidia kwa wananchi wanaotakiwa kuhama kwenye eneo wanalolimiki katika kijiji cha Sambaru, wilayani Ikungi.
10 years ago
StarTV20 Aug
Shanta Mining yarejesha serikalini zaidi ya km. 70
Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Shanta Mining imerejesha serikalini leseni yake moja ya eneo lenye ukubwa wa zaidi ya kilomita za mraba 70 ili liweze kugawiwa kwa wachimbaji wadogo.Eneo hilo la machimbo ya dhahabu lililopo Kijiji cha Muhintiri wilayani Ikungi mkoani Singida litapimwa na kutoa leseni ndogo zaidi ya 700 ambazo zitagawiwa kwa wachimbaji wadogo mmoja-mmoja na vikundi ili waweze kuendesha shughuli zao kisheria badala ya kuvamia wawekezaji.
Ni katika machimbo ya dhahabu ya...
10 years ago
Dewji Blog12 Apr
Serikali yatoa onyo kali dhidi ya wananchi watakaovamia mgodi wa dhahabu wa Shanta Ikungi

5 years ago
Proactive Investors UK28 Feb
Proactive news snapshot: Avation, United Oil & Gas, Shanta Gold, AFC Energy …
9 years ago
Dewji Blog05 Jan
Serikali yataka kampuni ya madini ya Shanta na wanakijiji cha Ikungi kumaliza tofauti zao waendelee na kazi za uchimbaji
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dk.Medard Kalemani (mwenye koti kulia) akibadilishana mawazo na aliyewahi kuwa Mbunge wa jimbo la Manyoni magharibi na mchimbaji madini ya Gypsum kijijini Itigi, Ismael Ivata (kushoto).Viongozi hao walikuwa kwenye shimo linalochimbwa gypsum.
Afisa Mwanadamizi wa kampuni ya uchimbaji madini ya Shanta kijiji cha Sambaru wilaya ya Ikungi, Octavian Ndazi, akitoa taarifa yake kwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dk.Medard Kalemani (hayupo kwenye picha). Hata...