Bongo DSM: Monalisa Ndani-Dude
Mwigizaji na mwongozaji wa filamu, Kulwa Kikumba ‘Dude’ ambae ni mmiliki na mwigizaji igizo la Bongo Dar-es-salaam ambalo hurushwa kwenye runinga, amemtaja mwigizaji Yvonne-Sheryl Ngatikwa 'Monalisa’ kuwa ni moja kati ya wakali watakaoshiriki kwenye kipindi hicho kwa msimu huu.
Kitendo cha kumuongeza monalisa kwenye timu ya Bongo DSM kimewafurahisha wengi na kuongeza hamasa kubwa miongoni mwa wapenzi wengi wa kipindi hicho ambacho kilijizolea umaarufu mkubwa miaka ya zaidi ya mitatu...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
DUDE AWATOA NISHAI BONGO MUVI
11 years ago
GPL
DUDE ASHINDWA KUJIUNGA BONGO MOVIE
10 years ago
Bongo Movies03 Mar
Bongo Dar-Es-Salaam ya Dude Kurudi Tena Hivi Karibuni!!
Kipindi cha mchezo wa maigizo cha Bongo Dar es Salaam kilichojizolea mashabiki na watazamaji wengi kinalejea tena hivi karibuni baada ya kusimama kwa zaidi ya miaka mitatu.
Mwigizaji Kulwa Kikumba “Dude” ambae ni muigizaji mkuu na mmiliki wa kipindi hicho amewadokeza mashabiki wake mtandaono na kuwa kipindi kitakuwa hewani hivi karibuni na kuweka baadhi ya picha akiwa lokesheni wakifanya kazi huku akimtaja muigizaji Haji Adam kuwa ni moja ya staa atakaefanya nae kazi.
Bila shaka wengi...
10 years ago
Bongo Movies28 Jun
Dude na Davina Ndani ya SHANTA...
Kumecha.....5 effects movies tunakuja tena na tofali lingine la aina yake....naizungumzia SHANTA....hapa namzungumzia HALIMA YAHAYA "DAVINA",KULWA KIKUMBA"DUDE",JENGUA na WILLIAM MTITU ni filamu bomba iliyosheheni visa na mikasa ya aina yake....kutana na Dereva Tax anayetembea na mgoni wake akiwa na mke wa Dereva Tax huyo ndani ya tax siku nzima bila ya mgoni kutambua....unajua hatua anazochukua Dereva Tax dhidi ya mgoni wake?.... Kwa wauzaji wa jumla na rejareja coming soon
William mtitu...
10 years ago
GPL
SIMULIZI YA MPOTO: AANZISHA BONGO DAR ES SALAAM, DUDE ATAKA KUMGEUKA!
10 years ago
GPLDUDE NDANI YA GLOBAL TV ONLINE LEO
11 years ago
Tanzania Daima19 Dec
Mafahari Watatu ndani ya Extra Bongo
BENDI ya muziki wa dansi ya Extra Bongo ‘Next Level’ imewarudisha kinyemela mafahari watatu waliowahi kutamba, Ally Choki, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ na Mwinjuma Muumini katika onesho la mkesha wa...
11 years ago
Tanzania Daima19 Jun
Extra Bongo, Yamoto ndani ya Meeda
BENDI ya muziki wa dansi ya Extra Bongo ‘Next Level Wazee wa Kimbembe’, Jumamosi hii itaungana na kundi la Yamoto linaloongozwa na Saidi Fela ‘Mkubwa Fela’ kuwasha moto wa burudani...