DUDE ATOA SOMO LA MCHEPUKO

Na Gladness Mallya STAA wa Mchezo wa Bongo Dar es Salaam, Kulwa Kikumba ‘Dude’ ameibuka na kuwataka wasanii wenzake kuepuka michepuko akidai wengi wao wanaiendekeza. Msanii Kulwa Kikumba 'Dude' akiwa ndani ya ofisi za Global Tv Online. Akizungumza na paparazi wetu, Dude alisema michepuko ndiyo chanzo cha magonjwa na tasnia nzima ya filamu kuonekana haina maana hivyo ni vyema wasanii wakabadilika kwa kuiga...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies22 Apr
Waridi, Dude, Dino Kuja na “MCHEPUKO”
Staa wa Bongo Movies, Anna Constantino ‘Waridi’ anashuka na mzigo mkali wa filamu mpya ya Mchepuko iliyoshehena mastaa kibao kwa ajili ya kutoa burudani kwa wapenzi wa filamu Bongo filamu hiyo inasambazwa na Proin Promotions ya Jijini Dar.
Mmoja kati ya wasanii washiriki wa filamu hiyo Kulwa Kikumba ‘Dude’ amedai kuwa sinema yao inaonyesha uwezo wa wakongwe katika tasnia ya filamu Swahilihood huku akijivunia aina ya uigizaji wa Waridi pamoja na wasanii wengine walioshiriki kutengeneza...
10 years ago
Bongo Movies08 Apr
Ester Kiama: Nammeneji Tu Dude Wala Si Mchepuko Wake
Baada minong’ono kuzagaa kila kona kuwa kuna uhusiano wa kimapenzi kati ya mwigizaji wa kike Ester Kiama na muongozaji na mwigizaji Kulwa Kikumba, mwanadada huyo amekanusha na kudai kuwa yeye ni meneja tu wa msanii huyo na anamsimamia kurudisha Bongo Dar es salaam.
Kweli nipo karibu sana na Dude kikazi na si kimapenzi kama wengine wanavyofikiria, nammeneji tu katika uwezeshaji wa kurudisha kipindi chake cha Bongo Dar es Salaam na masuala ya filamu, tumerekodi sinema yangu ya Ngoma...
11 years ago
Mtanzania08 Aug
JK atoa somo la maendeleo Afrika

Rais Jakaya Kikwete
NA MWANDISHI MAALUMU, WASHINGTON
RAIS Jakaya Kikwete amesema sababu kubwa inayokwamisha maendeleo ya haraka kwa Afrika ni uzalishaji pamoja na matumizi madogo ya umeme.
Alisema hayo juzi kwenye mkutano wa kwanza wa wakuu wa nchi za Bara la Afrika uliofanyika chini ya uenyekiti wa Rais wa Marekani, Barack Obama, ambaye ni mwenyeji wa mkutano huo.
Rais Kikwete alisema bila kuwapo ongezeko kubwa la uzalishaji na matumizi ya umeme, Bara la Afrika halitatoka kwenye uduni.
“Kwa...
10 years ago
Habarileo07 Dec
Mgombea CCM atoa somo
WAGOMBEA wa nafasi ya uenyekiti wa mtaa katika maeneo mbalimbali, wametakiwa kutumia vizuri majukwaa yao kutangaza sera za vyama vyao na vile wanavyoweza kutatua matatizo ya wananchi, badala ya kutoa kashfa.
11 years ago
Mwananchi12 Apr
Lipumba atoa somo bungeni
11 years ago
GPL
JOHARI ATOA SOMO LA UZAZI
10 years ago
Habarileo20 Jun
Mwenyekiti mstaafu UVCCM atoa somo
MWENYEKITI mstaafu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Dodoma Mjini, Robert Mwinje, amewahamasisha vijana kuwahoji wagombea wa nafasi mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu ujao kama wana sera zitakazowasaidia vijana.
11 years ago
Tanzania Daima18 Oct
Mengi atoa somo kwa wanahabari
MWENYEKITI wa Kampuni za IPP Reginald Mengi amewataka waandishi wa habari wa Afrika kuandika habari zinazohusu jamii hasa zile zinazogusa maisha yao halisi. Akizungumza jana jijini Dar es Salaam na...
11 years ago
Habarileo18 Aug
Atoa somo kuhusu polisi jamii
KAMISHNA wa Polisi Jamii nchini, Mussa Alli Mussa, amewataka wadau wa ulinzi na usalama, maofisa wa polisi na askari kote nchini, kuhakikisha wanaielewa dhana ya polisi jamii kwa ufasaha.