Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK atoa somo la maendeleo Afrika

Rais Jakaya Kikwete

Rais Jakaya Kikwete

NA MWANDISHI MAALUMU, WASHINGTON

RAIS Jakaya Kikwete amesema sababu kubwa inayokwamisha maendeleo ya haraka kwa Afrika ni uzalishaji pamoja na matumizi madogo ya umeme.

Alisema hayo juzi kwenye mkutano wa kwanza wa wakuu wa nchi za Bara la Afrika uliofanyika chini ya uenyekiti wa Rais wa Marekani, Barack Obama, ambaye ni mwenyeji wa mkutano huo.

Rais Kikwete alisema bila kuwapo ongezeko kubwa la uzalishaji na matumizi ya umeme, Bara la Afrika halitatoka kwenye uduni.

“Kwa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Maendeleo ya wanawake majuu na ushindi wa Wajerumani ni somo gani kwetu Afrika?

Mstuko usingizini, jijini London. Siyo makombora yanayomwagwa Gaza na Wayahudi kuua watoto na wanawake wa Kipalestina. Hapana. Hizi ni radi za Mwenyezi Mungu. Miti na madirisha yanatingisika na kutetereka.

 

9 years ago

Bongo5

Rapper AKA atoa somo kwa wanaodhani collabo ya kimataifa ni mpaka awe msanii wa nje ya Afrika

Wapo baadhi ya wasanii wa Tanzania ambao wameshafanya collabo na wasanii wa nchi za jirani kama Kenya na Uganda, lakini bado huwa wanakutana na maswali ya lini wataanza kufanya collabo za Kimataifa.

AKA-South-Africa-Rapper-740x431

Hali hiyo imemkuta pia rapper wa Afrika Kusini, Kiernan Jarryd Forbes, maarufu kama AKA, ambaye licha ya kufanya kazi na wasanii wa Afrika lakini bado amekuwa akiulizwa na mashabiki ni lini atafanya kazi na msanii wa ‘KIMATAIFA’.

Kinachoonekana ni kwamba tafsiri ya mashabiki wengi kuhusu...

 

10 years ago

GPL

JOHARI ATOA SOMO LA UZAZI

Stori: Mayasa Mariwata SOMO! Staa wa filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’, ametoa somo kwa baadhi ya wasanii wa kike ambao wamekuwa wakijibweteka na kushindwa kudumisha upendo kwa wapenzi wao baada ya kujifungua. Staa wa filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’. Akipiga stori na paparazi wetu, Johari alisema miongoni mwa vitu ambavyo huwashushia upendo wanawake wengi ni uchafu baada ya kuzaa na...

 

10 years ago

GPL

DUDE ATOA SOMO LA MCHEPUKO

Na Gladness Mallya
STAA wa Mchezo wa Bongo Dar es Salaam, Kulwa Kikumba ‘Dude’ ameibuka na kuwataka wasanii wenzake kuepuka michepuko akidai wengi wao wanaiendekeza. Msanii Kulwa Kikumba 'Dude' akiwa ndani ya ofisi za Global Tv Online.
Akizungumza na paparazi wetu, Dude alisema michepuko ndiyo chanzo cha magonjwa na tasnia nzima ya filamu kuonekana haina maana hivyo ni vyema wasanii wakabadilika kwa kuiga...

 

10 years ago

Habarileo

Mgombea CCM atoa somo

WAGOMBEA wa nafasi ya uenyekiti wa mtaa katika maeneo mbalimbali, wametakiwa kutumia vizuri majukwaa yao kutangaza sera za vyama vyao na vile wanavyoweza kutatua matatizo ya wananchi, badala ya kutoa kashfa.

 

11 years ago

Mwananchi

Lipumba atoa somo bungeni

Mchumi aliyebobea Profesa Ibrahimu Lipumba, amepinga kauli za kuwa Serikali tatu ina gharama na badala yake akasema wanaopendekeza hizo hawana nia njema na Tanzania.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sumaye atoa somo kukabili maradhi

WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, amesema mwili wa mazoezi ni vigumu kukumbwa na magonjwa ya mara kwa mara hata yale makubwa kama kisukari, shinikizo la damu, kiharusi na maradhi mbalimbali...

 

10 years ago

Habarileo

JK atoa somo kwa jumuiya ya kimataifa

USHIRIKI wa pamoja wa mataifa mbalimbali katika utatuzi wa matatizo yanayozikumba nchi hizo, ndiyo njia kuu na ya kipekee katika karne ya leo ya kukabiliana na changamoto za maendeleo. Hayo yalisemwa na Rais Jakaya Kikwete juzi katika Chuo Kikuu cha Rutgers, katika mji wa New Jersey, nchini Marekani.

 

10 years ago

Habarileo

Atoa somo kuhusu polisi jamii

KAMISHNA wa Polisi Jamii nchini, Mussa Alli Mussa, amewataka wadau wa ulinzi na usalama, maofisa wa polisi na askari kote nchini, kuhakikisha wanaielewa dhana ya polisi jamii kwa ufasaha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani