Maendeleo ya wanawake majuu na ushindi wa Wajerumani ni somo gani kwetu Afrika?
Mstuko usingizini, jijini London. Siyo makombora yanayomwagwa Gaza na Wayahudi kuua watoto na wanawake wa Kipalestina. Hapana. Hizi ni radi za Mwenyezi Mungu. Miti na madirisha yanatingisika na kutetereka.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili27 Jun
Je ushindi wa upinzani Malawi una maana gani kwa demokrasia Afrika?
11 years ago
Mtanzania08 Aug
JK atoa somo la maendeleo Afrika
Rais Jakaya Kikwete
NA MWANDISHI MAALUMU, WASHINGTON
RAIS Jakaya Kikwete amesema sababu kubwa inayokwamisha maendeleo ya haraka kwa Afrika ni uzalishaji pamoja na matumizi madogo ya umeme.
Alisema hayo juzi kwenye mkutano wa kwanza wa wakuu wa nchi za Bara la Afrika uliofanyika chini ya uenyekiti wa Rais wa Marekani, Barack Obama, ambaye ni mwenyeji wa mkutano huo.
Rais Kikwete alisema bila kuwapo ongezeko kubwa la uzalishaji na matumizi ya umeme, Bara la Afrika halitatoka kwenye uduni.
“Kwa...
10 years ago
Habarileo13 Jan
‘Wanawake Afrika fuatilieni maendeleo ya wasichana’
MKE wa Balozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) nchini, Celine Mpango amewataka wanawake wa Afrika kutambua kuwa jukumu la kuwafuatilia wasichana katika maendeleo ya nchi ni la kwao na kamwe wasikubali kuwaacha nyuma.
10 years ago
Mwananchi27 Aug
Aibu ya samaki wa Magufuli iwe funzo gani kwetu
10 years ago
VijimamboMkutano wa Wafanyabiashara na Wawekezaji wa Afrika na Wajerumani wafanyika Berlin
10 years ago
MichuziSHIRIKA LA WANAWAKE KATIKA SHERIA NA MAENDELEO AFRIKA (WiLDAF) LAADHIMISHA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA JIJINI DAR
10 years ago
VijimamboSHIRIKA LA WANAWAKE KATIKA SHERIA NA MAENDELEO AFRIKA (WiLDAF) LAADHIMISHA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA JIJINI DSM
5 years ago
MichuziWANAWAKE TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA (TCDC) WAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Picha ya Pamoja ya Wanawake wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika wakiwa tayari kwa ajili ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Jijini Dodoma
Picha ya Pamoja ya Wanawake wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika wakiwa tayari kwa ajili ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Jijini Dodoma
Wanawake wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika wakiwa na Bango la maandamano lenye Kauli mbiu ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani
Wanawake wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika wakiwa katika maandamano...