Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Je ushindi wa upinzani Malawi una maana gani kwa demokrasia Afrika?

Uchaguzi huu wa Malawi unairejesha tena nchi hiyo katika njia ya matumaini panapohusika suala zima la demokrasia na utawala bora.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Uhuru una maana gani?

Thailand ndio nchi ya tatu duniani inayoongoza kwa kusafirisha nje mazao ya baharini.Je unajua kama mabaharia wengi ni watumwa?

 

11 years ago

BBCSwahili

Uhuru una maana gani kwako?

Ikiwa ni msimu maaalum ambapo BBC inaangazia maswala ya uhuru tuliwaomba wasomaji wa habari kwenye mtandao kutuma picha zinazoonyesha maoni yao ya uhuru.

 

11 years ago

Mwananchi

Uvivu una madhara gani kwa watoto?

Natumaini wajukuu zangu ni wazima wa afya, mkiwa bado baadhi yenu mnaendelea na mfungo wa Ramadhan. Leo wajukuu zangu nina mada nyepesi ambayo naamini inawagusa wengi.Kabla ya kuanza mada yetu ya leo ni vizuri tukafahamu maana ya uvivu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Magoti kwa Manji yana maana gani?

GUMZO kubwa katika medani ya soka ndani ya wiki iliyopita ni hatua ya baadhi ya wanachama wa klabu ya Yanga, wakiongozwa na Bakili Makele, kumwomba Mwenyekiti wao, Yusuf Manji abatilishe...

 

11 years ago

Mwananchi

Maendeleo ya wanawake majuu na ushindi wa Wajerumani ni somo gani kwetu Afrika?

Mstuko usingizini, jijini London. Siyo makombora yanayomwagwa Gaza na Wayahudi kuua watoto na wanawake wa Kipalestina. Hapana. Hizi ni radi za Mwenyezi Mungu. Miti na madirisha yanatingisika na kutetereka.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je msaada wa Jack Ma Afrika una umuhimu gani katika kupambana na janga la corona?

Huku mlipuko wa virusi vya corona ukiendelea kuathiri sekta zote duniani mataifa mengi yameshindwa kupata jibu la kukabiliana na janga hilo.

 

11 years ago

Mwananchi

Kuna maana gani kupoteza mabilioni haya kwa Katiba?

Bado najiuliza na sipati majibu kwamba, inakuwaje tuteketeze Sh100 bilioni kutengeneza Katiba Mpya ya wananchi inayotokana na maoni ya wananchi wakati watawala walishaweka msimamo wao?

 

5 years ago

BBCSwahili

Kukamatwa kwa wanamfalme wa ngazi ya juu watatu wa Saudia kuna maana gani?

Kuondolewa mamlakani kwa ndugu wa karibu wa mwanamfalme wa Saudi Arabia kumechochea tetesi na uvumi mwingi

 

9 years ago

BBCSwahili

Ushindi mkubwa kwa upinzani Venezuela

Upinzani nchini Venezuela umeshinda wingi wa viti bungeni kwa mara ya kwanza tangu chama cha kisoshiolisti kiingie madarakani chini ya uongozi wa Hugo Chavez.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani