Ushindi mkubwa kwa upinzani Venezuela
Upinzani nchini Venezuela umeshinda wingi wa viti bungeni kwa mara ya kwanza tangu chama cha kisoshiolisti kiingie madarakani chini ya uongozi wa Hugo Chavez.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili26 Oct
Upinzani wapata ushindi mkubwa Poland
9 years ago
BBCSwahili09 Dec
Upinzani washinda uchaguzi Venezuela
9 years ago
BBCSwahili06 Dec
Upinzani wapigiwa upatu Venezuela
9 years ago
BBCSwahili30 Dec
Ushindi mkubwa kwa niaba ya paka Uturuki
10 years ago
Dewji Blog06 Jan
Kinana ahutubia mkutano mkubwa Tanga, awashukuru watanzania kuipatia CCM ushindi mkubwa uchaguzi serikali za mitaa
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutubia katika mkutano wa hadhara ulioandaliwa maalumu kwa ajili ya kuwapongeza wananchi kuwachagua viongozi wa CCM katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyka nchini kote Desemba 14 mwaka jana. CCM imepata ushindi wa asilimia 81 nchi nzima.
Kinana amesema maeneo yote ambayo upinzania wameshinda na ushindi uliosababishwa na baadhi ya wana CCM NA ENDAPO WATAGUNDULIKA WAMEFANYA KUSUDI KUKIKOSESHA USHINDI CHAMA WATAWAJIBISHWA.
Katibu Mkuu wa...
5 years ago
BBCSwahili27 Jun
Je ushindi wa upinzani Malawi una maana gani kwa demokrasia Afrika?
11 years ago
Dewji Blog02 May
Mhe. Kombani awapongeza wanamichezo OR-MUU kwa ushindi mkubwa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh. Celina O. Kombani (Mb) akikabidhiwa kombe la ubingwa wa Mpira wa Pete la Mei Mosi 2014 kutoka kwa Kapteni wa timu Elizabeth Fusi katika hafla fupi aliyoiandaa kuwapongeza mabingwa hao mapema leo ukumbi wa Utumishi. (Picha Na. Happiness Shayo).
Na Mary Mwakapenda
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma (OR MUU), Mhe. Celina O. Kombani amesema michezo ni sehemu ya maisha na hujenga afya bora hivyo kuleta...
10 years ago
MichuziDKT. MAGUFULI AWAPONGEZA CCM CHATO KWA USHINDI MKUBWA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
11 years ago
BBCSwahili11 May
Chama cha ANC chapata ushindi mkubwa