Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chama cha ANC chapata ushindi mkubwa

Tume ya uchaguzi nchini Afrika kusini imetangaza matokeo rasmi ya uchaguzi mkuu uliofanyika siku ya jumatano.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Chama cha Mapinduzi chapata ushindi Uchaguzi Mdogo Jimbo La Ulanga

Mbunge wa jimbo la Ulanga mkoani Morogoro amepatikana  mara baada ya matokeo ya uchaguzi mdogo wa ubunge uliofanyika jimboni humo kukamilika na msimamizi wa jimbo hilo kumtangaza  Goodluck Mlinga kuwa ndiye mshindi.

Katika uchaguzi huo uliofanyika Novemba 22 na kushirikisha vyama vitatu vya CCM, CHADEMA na ACT Wazalendo, Goodluck Mlinga ameshinda kwa kupata kura 25902 sawa na asilimia 69.78, mgombea wa CHADEMA akipata kura 10592 sawa na asilimia 28.53 na mgombea kupitia ACT wazalendo akipata...

 

10 years ago

Michuzi

CHAMA CHA MAPINDUZI UINGEREZA CHAPATA MWENYEKITI MPYA

KAPINGA KANGOMA MWENYEKITI MPYA CCM UK - AIBUKA NA USHINDI WA KISHINDO  WA ASILIMIA 94.6% YA KURA ZOTE HALALI.
Aanza kwa kuunda timu itakayounda upya Jumuiya ya Watanzania UK na kuhusisha wadau wote;Azungumzia suala la uraia pacha na Rais Ajaye katika uchaguzi 2015;Kuunda Saccoss ya watanzania UK na Jumuiya ya Wanawake.Na Abraham Sangiwa Itikadi Siasa na Uenezi - CCM – UNITED KINGDOM. Mwenyekiti Mpya wa CCM UK Ndugu Kapinga Kangoma akitoa nasaha na shukrani zake. Mwenyekiti Mstaafu wa CCM UK Ndugu...

 

9 years ago

Michuzi

CHAMA CHA MADEREVA WA SERIKALI TANZANIA CHAPATA USAJILI RASMI

 Mwenyekiti wa Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania (CMST) wa kwanza kushoto mstari wa mbele Bw. Bahatisha Selemani  Mkala  akipokea  Cheti cha Usajili wa Chama hicho  kutoka kwa Afisa usajili Bw. Hashim Mwanga wakati wa. makabidhiano yaliyofanyika katika ofisi za msajili zilizopo Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi.Hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam leo (jana). Mwenyekiti wa Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania (CMST) aliyeshika cheti cha usajili Bw. Bahatisha Selemani Mkala  ...

 

9 years ago

Dewji Blog

Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania (CMST) chapata usajili rasmi

der 1Mwenyekiti wa Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania (CMST) wa kwanza kushoto mstari wa mbele Bw. Bahatisha Selemani  Mkala  akipokea  Cheti cha Usajili wa Chama hicho  kutoka kwa Afisa usajili Bw. Hashim Mwanga wakati wa. makabidhiano yaliyofanyika katika ofisi za msajili zilizopo Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi.Hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Benjamin Sawe)

bujokkMwenyekiti wa Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania (CMST) aliyeshika cheti cha usajili Bw. Bahatisha...

 

10 years ago

Michuzi

CHAMA KIPYA CHA SIASA CKUT CHAPATA USAJILI JIJINI DAR LEO.

 Mwenyekiti  na Muasisi wa Chama cha  Kijamaa na Uzalendo Tanzania (CKUT),Ramadhani  Semtawa  akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kupata usajili wa muda wa chama hicho uliyofanyika katika viwanja vya ofisi ya msajili wa vyama vya siasa leo jijini Dar es Salaam,Kushoto ni katibu Mkuu wa Chama hicho,Noel  Antapa.  Mwenyekiti  na Muasisi wa Chama cha  Kijamaa na Uzalendo Tanzania (CKUT),Ramadhani  Semtawa  akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kupata usajili wa muda wa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Chama cha ANC mbele kwa kura

Chama tawala cha ANC kinaongoza kwa zaidi ya asilimia 63%, huku kile cha Democratic Alliance kikiwa na asilimia 23% katika uchaguzi mkuu wa urais.

 

5 years ago

CCM Blog

CHAMA CHA ACT-WAZALENDO CHAPATA MAAFA KIGOMA, MADIWANI WAKE WATANO WANG'OKA NA KUHAMIA CCM, LEO

Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Kagera katika Manispaa ya Kigoma-Ujiji kwa tiketi ya chama cha ACT-Wazalendo kinachoongozwa na Zitto Kabwe, Ismail Mahamudu  akizungumza mbele ya waandishi wa habari, baada ya yeye na madiwani wengine wanne wa chama hicho, kutangaza kung'oka ACT-Wazalendo.na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika mkutano na waandishi hao uliofanyika leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally na...

 

9 years ago

BBCSwahili

Ushindi wa chama cha Suu Kyi wathibitishwa

Chama cha upinzani nchini Myanmar kimepata ushindi mkubwa kwenye uchaguzi mkuu uliofanyika Jumapili, maafisa wa uchaguzi wamesema.

 

10 years ago

BBCSwahili

Chama cha Nieto kupata ushindi Mexico

Huku kura zikiendelea kuhesabiwa nchini Mexico chama cha mapinduzi cha rais Enrique Pena Nieto, kinaelekea kupata ushindi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani