Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHAMA CHA MAPINDUZI UINGEREZA CHAPATA MWENYEKITI MPYA

KAPINGA KANGOMA MWENYEKITI MPYA CCM UK - AIBUKA NA USHINDI WA KISHINDO  WA ASILIMIA 94.6% YA KURA ZOTE HALALI.
Aanza kwa kuunda timu itakayounda upya Jumuiya ya Watanzania UK na kuhusisha wadau wote;Azungumzia suala la uraia pacha na Rais Ajaye katika uchaguzi 2015;Kuunda Saccoss ya watanzania UK na Jumuiya ya Wanawake.Na Abraham Sangiwa Itikadi Siasa na Uenezi - CCM – UNITED KINGDOM. Mwenyekiti Mpya wa CCM UK Ndugu Kapinga Kangoma akitoa nasaha na shukrani zake. Mwenyekiti Mstaafu wa CCM UK Ndugu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM RAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM JIJINI DODOMA


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiendesha Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 10 Juni 2020.Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akicheza Wimbo wa Hamasa ya maendeleo pamoja na Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 10 Juni 2020 kabla ya kuanza kwa...

 

9 years ago

StarTV

Chama cha Mapinduzi chapata ushindi Uchaguzi Mdogo Jimbo La Ulanga

Mbunge wa jimbo la Ulanga mkoani Morogoro amepatikana  mara baada ya matokeo ya uchaguzi mdogo wa ubunge uliofanyika jimboni humo kukamilika na msimamizi wa jimbo hilo kumtangaza  Goodluck Mlinga kuwa ndiye mshindi.

Katika uchaguzi huo uliofanyika Novemba 22 na kushirikisha vyama vitatu vya CCM, CHADEMA na ACT Wazalendo, Goodluck Mlinga ameshinda kwa kupata kura 25902 sawa na asilimia 69.78, mgombea wa CHADEMA akipata kura 10592 sawa na asilimia 28.53 na mgombea kupitia ACT wazalendo akipata...

 

5 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR DKT SHEIN JIJINI DODOMA


 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM upande wa Zanzibar Rais wa Zanzibar Ali Mohamed Shein muda mfupi kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Chamwino mkoani Dodoma.

 

11 years ago

GPL

SALAMU ZA PASAKA 2014 TOKA CHAMA CHA MAPINDUZI UINGEREZA

Chama  Cha Mapinduzi- London – Uingereza  kinaridhia Salaam za CCM Makao Makuu kuungana na Wakristo- Watanzania na Ulimwenguni kote  kuwatakia kila la kheri na fanaka katika kusherehekea Sikuu Kuu ya PASAKA 2014. Aidha CCM UK  inayo imani kubwa kuwa Sherehe hii ya Pasaka itakuwa kigezo cha kuwakaribisha Watanzania wa Imani zote kujitazama kwa wongufu na kuridhia misingi mikuu ya Uhuru, Muungano wetu na Umoja wa...

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI TAWI LA UINGEREZA MWAKA 2014

CHAMA CHA MAPINDUZI TAWI LA UINGEREZA KINAPENDA KUWATANGAZIA WANACHAMA NA WAPENZI WOTE WA CCM KUTOKA PANDE ZOTE ZA UINGEREZA KWAMBA KUTAKUWA NA MKUTANO MKUU WA TAWI TAREHE 30.08.2014.
KATIKA MKUTANO HUO PIA KUTAFANYIKA UCHAGUZI WA MWENYEKITI MPYA WA TAWI LA CCM UINGEREZA ILI KUJAZA NAFASI ILIYOACHWA WAZI NA ALIYEKUWA MWENYEKITI WA TAWI HILI TOKA KUANZISHWA KWAKE NDUGU MAINA OWINO ANAYENG’ATUKA KATIKA NAFASI HIYO.
WANACHAMA WOTE WENYE SIFA MNAKARIBISHWA KUCHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA NAFASI HIYO YA...

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI UINGEREZA KUFANYIKA AGOSTI 30, 2014.

CHAMA CHA MAPINDUZI TAWI LA UINGEREZA LINAPENDA KUWATANGAZIA WANACHAMA NA WAPENZI WOTE WA CCM KUTOKA PANDE ZOTE ZA UINGEREZA KWAMBA KUTAKUWA NA MKUTANO MKUU WA TAWI TAREHE 30.08.2014 UTAKAOFANYIKA KATIKA JIJI LA READING KATIKA ANUANI IFUATAYO;THE PAVILION (FORMERLY RILEYS CLUB)143 – 145 OXFORD ROAD READINGRG1 7UP
KATIKA MKUTANO HUO PIA KUTAFANYIKA UCHAGUZI WA MWENYEKITI WA TAWI LA CCM UINGEREZA ILI KUJAZA NAFASI INAYOACHWA WAZI NA ALIYEKUWA MWENYEKITI WA TAWI HILI TOKA KUANZISHWA KWAKE NDUGU...

 

10 years ago

Africanjam.Com

PICHA: UKUMBI MPYA WA MIKUTANO WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)

Huu ndo ukumbi mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ulioko mjini Dodoma. Ni ukumbi uliogharimu mamilioni ya fedha mpaka kukamilika na kua na mwonekano wa kisasa zaidi. Ukumbi huu utakua ukitumiwa na chama hicho katika mikutano yake ya kitaifa. Chini ni baadhi tu ya picha za ukuimbi huo katika pembe tofauti



 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani