MKUTANO MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI TAWI LA UINGEREZA MWAKA 2014
CHAMA CHA MAPINDUZI TAWI LA UINGEREZA KINAPENDA KUWATANGAZIA WANACHAMA NA WAPENZI WOTE WA CCM KUTOKA PANDE ZOTE ZA UINGEREZA KWAMBA KUTAKUWA NA MKUTANO MKUU WA TAWI TAREHE 30.08.2014.
KATIKA MKUTANO HUO PIA KUTAFANYIKA UCHAGUZI WA MWENYEKITI MPYA WA TAWI LA CCM UINGEREZA ILI KUJAZA NAFASI ILIYOACHWA WAZI NA ALIYEKUWA MWENYEKITI WA TAWI HILI TOKA KUANZISHWA KWAKE NDUGU MAINA OWINO ANAYENG’ATUKA KATIKA NAFASI HIYO.
WANACHAMA WOTE WENYE SIFA MNAKARIBISHWA KUCHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA NAFASI HIYO YA...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi12 Aug
MKUTANO MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI UINGEREZA KUFANYIKA AGOSTI 30, 2014.
KATIKA MKUTANO HUO PIA KUTAFANYIKA UCHAGUZI WA MWENYEKITI WA TAWI LA CCM UINGEREZA ILI KUJAZA NAFASI INAYOACHWA WAZI NA ALIYEKUWA MWENYEKITI WA TAWI HILI TOKA KUANZISHWA KWAKE NDUGU...
10 years ago
Michuzi27 Feb
11 years ago
GPLSALAMU ZA PASAKA 2014 TOKA CHAMA CHA MAPINDUZI UINGEREZA
9 years ago
VijimamboCHAMA CHA MAPINDUZI TAWI LA DMV MAREKANI
9 years ago
Vijimambo30 Oct
PONGEZI KUTOKA CHAMA CHA MAPINDUZI- TAWI LA CALIFORNIA
9 years ago
MichuziMKUTANO MKUU WA 15 WA MWAKA WA CHAMA CHA MAJAJI NA MAHAKIMU WA AFRIKA MASHARIKI
MKUTANO UTAHUDHURIWA NA MAJAJI NA MAHAKIMU KUTOKA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI.RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,MHE. DR. JAKAYA MRISHO KIKWETENDIYE MGENI RASMI ATAKAYEFUNGUA MKUTANO HUO.KAULIMBIU YA MKUTANO NI:KUIMARISHA IMANI YA UMMA KWA MAHAKAMAWAKATI WA MKUTANO KUTAKUWA NA MAONYESHO JUU YA HUDUMA MBALIMBALI ZINAZOTOLEWA NA MAHAKAMA YA TANZANIA. WOTE MNAKARIBISHWAAIDHA MKUTANO HUO UTAFUATIWA NA MKUTANO MKUU WA CHAMA CHA MAJAJI NA MAHAKIMU WA TANZANIA(JMAT) UTAKAOFANYIKA TAREHE 29 AGOSTI...
10 years ago
MichuziCHAMA CHA MAPINDUZI UINGEREZA CHAPATA MWENYEKITI MPYA
Aanza kwa kuunda timu itakayounda upya Jumuiya ya Watanzania UK na kuhusisha wadau wote;Azungumzia suala la uraia pacha na Rais Ajaye katika uchaguzi 2015;Kuunda Saccoss ya watanzania UK na Jumuiya ya Wanawake.Na Abraham Sangiwa Itikadi Siasa na Uenezi - CCM – UNITED KINGDOM. Mwenyekiti Mpya wa CCM UK Ndugu Kapinga Kangoma akitoa nasaha na shukrani zake. Mwenyekiti Mstaafu wa CCM UK Ndugu...
11 years ago
Michuzi24 Apr
5 years ago
CCM BlogRATIBA YA MCHAKATO WA KUWAPATA WAGOMBEA WA CHAMA CHA MAPINDUZI WA NAFASI YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA RAIS WA ZANZIBAR KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2020
RATIBA YA MCHAKATO WA KUWAPATA WAGOMBEA WA CHAMA CHA MAPINDUZI WA NAFASI YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA RAIS WA ZANZIBAR KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2020
1.0. URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA TAREHE SHUGHULI/MAELEZO 1 15 – 30/06/2020 Kuchukua na kurejesha fomu. Mwisho wakurudisha fomu ni tarehe 30/6/2020 Saa 10:00 jioni. 2 15 – 30/06/2020 Kutafuta wadhamini Mikoani. VIKAO VYA UCHUJAJI 3 06 – 07/07/2020 ...