CHAMA CHA ACT-WAZALENDO CHAPATA MAAFA KIGOMA, MADIWANI WAKE WATANO WANG'OKA NA KUHAMIA CCM, LEO
Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Kagera katika Manispaa ya Kigoma-Ujiji kwa tiketi ya chama cha ACT-Wazalendo kinachoongozwa na Zitto Kabwe, Ismail Mahamudu akizungumza mbele ya waandishi wa habari, baada ya yeye na madiwani wengine wanne wa chama hicho, kutangaza kung'oka ACT-Wazalendo.na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika mkutano na waandishi hao uliofanyika leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally na...
CCM Blog