CHAMA KIPYA CHA SIASA CKUT CHAPATA USAJILI JIJINI DAR LEO.
Mwenyekiti na Muasisi wa Chama cha Kijamaa na Uzalendo Tanzania (CKUT),Ramadhani Semtawa akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kupata usajili wa muda wa chama hicho uliyofanyika katika viwanja vya ofisi ya msajili wa vyama vya siasa leo jijini Dar es Salaam,Kushoto ni katibu Mkuu wa Chama hicho,Noel Antapa.
Mwenyekiti na Muasisi wa Chama cha Kijamaa na Uzalendo Tanzania (CKUT),Ramadhani Semtawa akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kupata usajili wa muda wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPLCHAMA KIPYA CHA SIASA CHAZINDULIWA DAR
9 years ago
MichuziCHAMA CHA MADEREVA WA SERIKALI TANZANIA CHAPATA USAJILI RASMI
9 years ago
Dewji Blog18 Sep
Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania (CMST) chapata usajili rasmi
Mwenyekiti wa Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania (CMST) wa kwanza kushoto mstari wa mbele Bw. Bahatisha Selemani Mkala akipokea Cheti cha Usajili wa Chama hicho kutoka kwa Afisa usajili Bw. Hashim Mwanga wakati wa. makabidhiano yaliyofanyika katika ofisi za msajili zilizopo Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi.Hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Benjamin Sawe)
Mwenyekiti wa Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania (CMST) aliyeshika cheti cha usajili Bw. Bahatisha...
5 years ago
CCM BlogCHAMA CHA ACT-WAZALENDO CHAPATA MAAFA KIGOMA, MADIWANI WAKE WATANO WANG'OKA NA KUHAMIA CCM, LEO
10 years ago
Mwananchi24 Feb
Chuo Kikuu cha Aga Khan chapata usajili
11 years ago
MichuziUONGOZI WA CHAMA CHA MCHEZO WA BASEBALL WAKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI JIJINI DAR LEO
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-hbNYqeDDwQU/VPieIQWMSzI/AAAAAAAHH58/F5dkcxNFsXU/s72-c/a3.jpg)
JK akutana Na viongozi Wa Chama Cha Albino Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo
![](http://3.bp.blogspot.com/-hbNYqeDDwQU/VPieIQWMSzI/AAAAAAAHH58/F5dkcxNFsXU/s1600/a3.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-s2tOLC1_jU0/VPieM-t8vlI/AAAAAAAHH6M/tQ6A2Oa6tEA/s1600/a2.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-vwaulAw7CSc/Vcdd5-wJj3I/AAAAAAAHviI/hic-u4W7jMQ/s72-c/MMGL0172.jpg)
LOWASSA AHUDHULIA MKUTANO WA BARAZA KUU LA CHAMA CHA WANANCHI CUF, JIJINI DAR LEO
![](http://4.bp.blogspot.com/-vwaulAw7CSc/Vcdd5-wJj3I/AAAAAAAHviI/hic-u4W7jMQ/s640/MMGL0172.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-kKf-PsMDlTY/VcdcDdYkU1I/AAAAAAAHvfA/w4xY93s99zw/s640/MMGL0373.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-1htsB4KygPM/VcOqHDXrMeI/AAAAAAAHuuE/TH_PzWFuxIg/s72-c/Aos1P4V98yiLlV52uH06cG3Nc81GUEg3pB9ikMxSbiDg.jpg)
TAARIFA YA CHAMA CHA CUF KUFUATIA MWENYEKITI WAO KUTANGAZA KUJIUZULU LEO JIJINI DAR
![](http://4.bp.blogspot.com/-1htsB4KygPM/VcOqHDXrMeI/AAAAAAAHuuE/TH_PzWFuxIg/s400/Aos1P4V98yiLlV52uH06cG3Nc81GUEg3pB9ikMxSbiDg.jpg)
Sisi kama Chama tumezipokea taarifa hizo na tunayaheshimu maamuzi yake. Ni haki yake ya kikatiba na haki ya kidemokrasia kufanya maamuzi anayoyaona yana maslahi kwake.
Bila shaka, Profesa Ibrahim Lipumba amekifanyia kazi kubwa Chama chetu katika miaka 16 ambayo...