Ushindi wa chama cha Suu Kyi wathibitishwa
Chama cha upinzani nchini Myanmar kimepata ushindi mkubwa kwenye uchaguzi mkuu uliofanyika Jumapili, maafisa wa uchaguzi wamesema.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili11 Nov
Rais wa Myanmar ampongeza bi.Suu Kyi
Rais wa Myanmar Thein Sein amekipongeza chama cha upinzani cha Aung San Suu Kyi kwa kushinda uchaguzi mkuu ,msemaji wake ameiambia BBC.
10 years ago
BBCSwahili19 Jun
Aung Suu Kyi ataka uchaguzi wa haki
Aliyekuwa mfungwa wa kisiasa na ambaye sasa ni kiongozi wa upinzani nchini Myanmar, Aung San Suu Kyi, ametoa wito kuwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu ufanywe kwa njia ya haki na ukweli.
9 years ago
BBCSwahili06 Dec
Jenerali Shwe 'amuunga mkono' Suu Kyi
Kiongozi wa zamani wa kijeshi wa Myanmar, Jenerali Than Shwe, 'amemuunga mkono' kinara wa upinzani Bi Aung San Suu Kyi katika mkutano wa siri
9 years ago
BBCSwahili10 Nov
Suu Kyi asema uchaguzi ulikuwa wa haki
Kiongozi wa upinzani Myanmar Aung San Suu Kyi amesema uchaguzi mkuu uliofanyika Jumapili nchini humo haukuwa huru lakini ulikuwa wa haki.
9 years ago
BBCSwahili13 Dec
Aung San Suu Kyi, aiga mfano wa Magufuli
Kiongozi wa upinzani wa Myanmar, Aung San Suu Kyi, leo alivaa glavu na kuokota taka katika tarafa yake kama alivyofanya rais wa Tanzania Magufuli
9 years ago
BBCSwahili05 Nov
Suu Kyi ahidi kuwa juu ya rais Myanmar
Kiongozi wa upinzani nchini Myanmar,Aung San Suu Kyi ameahidi kuwa ataongoza serikali ikiwa chama chake cha National League for Democracy kitashinda uchaguzi mkuu
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-s-CS71cY_uc/VN4_6dNMRiI/AAAAAAAHDng/yKzzY3GUp4g/s72-c/1-728471.jpg)
USHINDI WA TOTO, MAJIMAJI WATHIBITISHWA FDL
![](http://1.bp.blogspot.com/-s-CS71cY_uc/VN4_6dNMRiI/AAAAAAAHDng/yKzzY3GUp4g/s1600/1-728471.jpg)
Toto Africans imepewa ushindi huo kwa mujibu wa Kanuni ya 41(3) ya FDL baada ya vurugu za washabiki wa Geita Gold kusababisha mechi hiyo iliyochezwa Februari 10 mwaka huu kwenye Uwanja wa Nyankumbu mkoani Geita kuvunjika dakika ya 12.
Pia...
10 years ago
BBCSwahili08 Jun
Chama cha Nieto kupata ushindi Mexico
Huku kura zikiendelea kuhesabiwa nchini Mexico chama cha mapinduzi cha rais Enrique Pena Nieto, kinaelekea kupata ushindi
11 years ago
BBCSwahili11 May
Chama cha ANC chapata ushindi mkubwa
Tume ya uchaguzi nchini Afrika kusini imetangaza matokeo rasmi ya uchaguzi mkuu uliofanyika siku ya jumatano.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania