Dude Alaumu Viwango 0
Dude alaumu wasanii wenzake kwa kutoa utitiri wa filamu zisizo na viwango na kusema anataka kuleta mabadiliko katika filamu yake mpya, baada ya kukaa muda mrefu bila kutoa sinema.
Dude alisema wasanii wengi wa filamu nchini wana vipaji lakini wanashindwa kuvitumia ipasavyo kutokana na kuandika miswada ya filamu ambazo hazina elimu yoyote kwa jamii.
Mbali na miswada mibovu , Dude amesema pia wasanii wengi wana tatizo la kuingiza mambo binafsi ambayo hayaendani na hadithi yenyewe...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Tv5wAJKQN8g/UvpsNE6BTUI/AAAAAAAFMas/turaE_MrroA/s72-c/unnamed+(95).jpg)
TAASISI YA VIWANGO ZANZIBAR (ZBS) NA TASISI YA VIWANGO TANZANIA (TBS) ZAKUBALIANA KUFANYA KAZI PAMOJA
![](http://2.bp.blogspot.com/-Tv5wAJKQN8g/UvpsNE6BTUI/AAAAAAAFMas/turaE_MrroA/s1600/unnamed+(95).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-tkefdNWm5i0/UvpsONNv4nI/AAAAAAAFMaw/Isb_oe0Cqok/s1600/unnamed+(96).jpg)
10 years ago
BBCSwahili05 Jul
Blatter alaumu Ufaransa na Ujerumani
10 years ago
BBCSwahili23 Nov
Wenger alaumu walinzi wa Arsenal
11 years ago
BBCSwahili31 Jul
Ban Ki alaumu mashambulizi ya shule
10 years ago
BBCSwahili29 Dec
Mourinho alaumu vyombo vya habari na waamuzi
10 years ago
BBCSwahili16 Mar
Rwasa alaumu serikali kwa kutaka kumuua mkewe
5 years ago
BBCSwahili25 Feb
Deontay Wilder: Bondia wa Marekani alaumu vazi aliloingia nalo ulingoni kama sababu ya kushindwa na Tyson Fury
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/agg6MtdmQC2MYEJXe1yARBywn3BlfZIPG9UuEHEbrCaEASQ52tm2hJINX2but0rw6Bl18TSuaKNIyVYXUT59tj9EWFHdDIiH/DUDE.jpg)
DUDE