TAASISI YA VIWANGO ZANZIBAR (ZBS) NA TASISI YA VIWANGO TANZANIA (TBS) ZAKUBALIANA KUFANYA KAZI PAMOJA
![](http://2.bp.blogspot.com/-Tv5wAJKQN8g/UvpsNE6BTUI/AAAAAAAFMas/turaE_MrroA/s72-c/unnamed+(95).jpg)
Mwenyekiti wa kamati ya pamoja ya mashirikiano kati ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) na la Zanzibar (ZBS) Bwa. Suleiman Masoud Makame akiitambulisha kamati ya watalamu yenye wajumbe nane wanne kutoka Bara na wane Zanzibar kwa Naibu Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko Mhe. Thuwaiba Edington Kisasi katika Mkutano uliofanyika Amani Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko Rashid Ali Salum akimkabidhi ripoti ya Kamati ya pamoja ya mashirikiano Mhe. Naibu Waziri...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo12 Feb
TBS wateketeza juisi isiyo na viwango
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeteketeza tani saba za juisi ya U-Fresh inayozalishwa na Kiwanda cha U-Fresh Food Limited ya Tegeta, Dar es Salaam kwa sababu ya kukosa viwango vya ubora vinavyotakiwa.
9 years ago
Mwananchi22 Oct
TBS yataka uzalishaji wa bidhaa zinazokidhi viwango
10 years ago
Tanzania Daima26 Oct
TBS yawataka wafanyabiashara kuudhuria siku ya viwango
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewataka wajasiriamali na wafanyabiashara waliothibitisha ubora wa bidhaa zao kufika katika maadhimisho ya siku ya viwango yatakayofanyika jijini Dar es Salaam katika viwanja vya Karimjee...
10 years ago
Habarileo08 Mar
TBS kupanua elimu wigo wa viwango vya ubora
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS), limeongeza kasi ya utoaji wa elimu ya viwango kwa wanawake wajasiriamali na watu wengine nchini ili kuwawezesha kupata nembo ya ubora wa bidhaa ambazo zitaweza kuingia katika soko la ushindani la ndani na nje nchi.
10 years ago
Bongo Movies29 Jul
Picha: Ubora na Viwango Vyangu, TBS Nimeshindikana-Lulu
Staa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amejifangilia kwa kusema kuwa viwango vyake katkaia maswala mazima za kijipodoa ni ya kiwango cha juu.
Lulu ameandika haya kwenye ukurasa wake wa instagram mara baada ya kuweka picha hizo hapo juu.
“Diana Elizabeth Michael...! Miss Balozi katika Ubora na Viwango vyangu (TBS nimeshindikana)
Unaweza kuniita Mkali Wa Hizi Kazi pia.Pale Make up Artist wako anapotaka Kukugeuza Mzungu na Nusu…"
Akaandika tena
"Ubora na Viwango...
9 years ago
Habarileo23 Oct
TBS: Viwango vya ubora iwe lugha ya mawasiliano
MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Joseph Masikitiko, amewaomba Watanzania watumie viwango vya ubora vilivyopitishwa na shirika hilo kuwa lugha ya mawasiliano katika biashara na maisha yao kwa ujumla.
11 years ago
Habarileo15 Mar
Taasisi za usafiri zatakiwa kuweka viwango kudhibiti ajali
MAMLAKA zinazosimamia usafiri wa majini na nchi kavu nchini zimetakiwa kudhibiti vyombo vya majini na kuweka viwango kwa ajili ya kupunguza ajali za baharini.