TBS yawataka wafanyabiashara kuudhuria siku ya viwango
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewataka wajasiriamali na wafanyabiashara waliothibitisha ubora wa bidhaa zao kufika katika maadhimisho ya siku ya viwango yatakayofanyika jijini Dar es Salaam katika viwanja vya Karimjee...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-387nXVcgDjk/Xs_ahlGIlfI/AAAAAAALr68/yxNvmCcn66EP9d3g5QFxzoMBVa1CjyIrgCLcBGAsYHQ/s72-c/c91071f6-1e83-4b07-9f9c-fb19f2c9a868.jpg)
TBS YAWASHAURI WANANCHI, WAFANYABIASHARA KUTOA TAARIFA ZITAKAZOSAIDA KUBAINI WALISHAJI NYAYA ZA UMEME ZISIZOKUWA NA VIWANGO, UBORA
![](https://1.bp.blogspot.com/-387nXVcgDjk/Xs_ahlGIlfI/AAAAAAALr68/yxNvmCcn66EP9d3g5QFxzoMBVa1CjyIrgCLcBGAsYHQ/s320/c91071f6-1e83-4b07-9f9c-fb19f2c9a868.jpg)
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS)limewashauri wananchi na wafanyabiashara wote nchini kutoa taarifa zitakazosaidia kuwabaini wazalishaji wa bidhaa za umeme hususani nyaya, zisizo na viwango ili waweze kuchukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria.
Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa upimaji na ugezi wa Bidhaa kutoka TBS Johanes Maganga alipokuwa akizungumza jijini Dar es Salaam baada ya kuibuka kwa malalamiko ya baadhi ya wafanyabiashara kuhusu uwepo wa baadhi ya...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Tv5wAJKQN8g/UvpsNE6BTUI/AAAAAAAFMas/turaE_MrroA/s72-c/unnamed+(95).jpg)
TAASISI YA VIWANGO ZANZIBAR (ZBS) NA TASISI YA VIWANGO TANZANIA (TBS) ZAKUBALIANA KUFANYA KAZI PAMOJA
![](http://2.bp.blogspot.com/-Tv5wAJKQN8g/UvpsNE6BTUI/AAAAAAAFMas/turaE_MrroA/s1600/unnamed+(95).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-tkefdNWm5i0/UvpsONNv4nI/AAAAAAAFMaw/Isb_oe0Cqok/s1600/unnamed+(96).jpg)
10 years ago
Habarileo12 Feb
TBS wateketeza juisi isiyo na viwango
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeteketeza tani saba za juisi ya U-Fresh inayozalishwa na Kiwanda cha U-Fresh Food Limited ya Tegeta, Dar es Salaam kwa sababu ya kukosa viwango vya ubora vinavyotakiwa.
9 years ago
StarTV20 Nov
TBS yawataka wazalishaji kuthibitishiwa ubora wa bidhaa na shirika hilo
Shirika la Viwango Tanzania limewataka wazalishaji wote wa bidhaa ambazo ziko katika viwango vya lazima kuhakikisha wanathibitisha ubora wa bidhaa zao kwa shirika hilo.
Kauli hiyo imekuja baada ya TBS kubaini viwanda vya Kampuni ya Red East Building materials limited cha Tabata Bima na kile cha Snow Leopard cha Tabata Segerea kuzalisha mabati ambayo hayajathibitishwa ubora .
Kabla ya kuvifungia viwanda hivyo, Afisa masoko wa TBS, Gladnes Kaseka alisema viwanda vyote ambavyo...
9 years ago
Mwananchi22 Oct
TBS yataka uzalishaji wa bidhaa zinazokidhi viwango
10 years ago
Bongo Movies29 Jul
Picha: Ubora na Viwango Vyangu, TBS Nimeshindikana-Lulu
Staa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amejifangilia kwa kusema kuwa viwango vyake katkaia maswala mazima za kijipodoa ni ya kiwango cha juu.
Lulu ameandika haya kwenye ukurasa wake wa instagram mara baada ya kuweka picha hizo hapo juu.
“Diana Elizabeth Michael...! Miss Balozi katika Ubora na Viwango vyangu (TBS nimeshindikana)
Unaweza kuniita Mkali Wa Hizi Kazi pia.Pale Make up Artist wako anapotaka Kukugeuza Mzungu na Nusu…"
Akaandika tena
"Ubora na Viwango...
10 years ago
Habarileo08 Mar
TBS kupanua elimu wigo wa viwango vya ubora
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS), limeongeza kasi ya utoaji wa elimu ya viwango kwa wanawake wajasiriamali na watu wengine nchini ili kuwawezesha kupata nembo ya ubora wa bidhaa ambazo zitaweza kuingia katika soko la ushindani la ndani na nje nchi.
9 years ago
Habarileo23 Oct
TBS: Viwango vya ubora iwe lugha ya mawasiliano
MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Joseph Masikitiko, amewaomba Watanzania watumie viwango vya ubora vilivyopitishwa na shirika hilo kuwa lugha ya mawasiliano katika biashara na maisha yao kwa ujumla.