Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TBS yawataka wazalishaji kuthibitishiwa ubora wa bidhaa na shirika hilo

 

Shirika la Viwango Tanzania limewataka wazalishaji wote wa bidhaa ambazo ziko katika viwango vya lazima kuhakikisha wanathibitisha ubora wa bidhaa zao kwa shirika hilo.

Kauli hiyo imekuja baada ya TBS kubaini viwanda vya Kampuni ya Red East Building materials limited cha Tabata Bima na kile cha Snow Leopard cha Tabata Segerea kuzalisha mabati ambayo hayajathibitishwa ubora .

Kabla  ya kuvifungia viwanda hivyo, Afisa masoko wa TBS, Gladnes Kaseka alisema viwanda vyote ambavyo...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Wazalishaji wadogo wahimizwa ubora katika bidhaa zao

DSC01383

Mwakilishi wa mkurungezi wa usala wa chakula (TFDA), Lazaro Mwambole, akitoa taarifa yake muda mfupi kabla hajamkaribisha mgeni rasmi Katibu Tawala mkoa wa Singida,Liana Hassan kufungua mafunzo ya siku mbili yaliyohudhuriwa na wasindikaji wadogo wa chakula mkoa wa Singida.Wa pili kulia (waliokaa) Katibu Tawala mkoa wa Singida Liana Hassan na Mganga Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk, Doroth Gwajima (wa pili kulia).

Na Nathaniel Limu, Singida

KATIBU tawala mkoa wa Singida, Liana Hassan,...

 

11 years ago

Habarileo

‘Zalisheni bidhaa zenye ubora unaotambuliwa TBS’

WAJASIRIAMALI wameaswa kuzalisha bidhaa zenye ubora badala ya kutengeneza na kuziuza kwa wananchi wakati bado hazijapimwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS). Aidha wajasiriamali 258 wamefikiwa na TBS na kupimiwa ubora wa bidhaa zao nchi nzima.

 

10 years ago

Michuzi

TBS NA TFDA WATAKIWA KUDHIBITI BIDHAA ZISIZO NA UBORA ILI KULINDA UCHUMI

 Picha na maktabaNa Woinde Shizza,Arusha 
Mamlaka ya Chakula na dawa(TFDA) na Shirika la Viwango nchini(TBS), wameshauriwa kuwadhibiti zaidi wafanyabiashara wasio waaminini ambao wanaingia nchini bidhaa sizizo na ubora kwani wanaporomosha uchumi.
Meneja masoko wa kampuni ya  Wrigleys (EA) Company Ltd, Emanuel Laswai, alitoa kauli hiyo juzi, katika uzinduzi wa bidhaa mpya za kampuni hiyo ya Doublemint  nchini Tanzania.
Laswai alisema, uingizwaji wa bidhaa feki na zisizo na ubora zina  athari za...

 

9 years ago

Vijimambo

KAMPUNI YA MEGATRADE INVESTMENT LIMITED YAPOKEA CHETI CHA UBORA WA BIDHAA ZAKE KUTOKA TBS


Meneja wa Kanda ya Pwani wa Kampuni ya Megatrade investment limited Godfrey Mkunde kushoto akipokea cheti cha ubora wa bidhaa za kampuni hiyo kutoka kwa mkurugenzi wa kampuni ya viwango nchini TBS Bw. Joseph Masikitiko wakati wa utoaji wa vyeti hivyo uliofanyika katika ofisi za TBS Dar es salaamMeneja wa Kanda ya Pwani wa Kampuni ya Megatrade investment limited Godfrey Mkunde kulia akiwa na Msimamizi mkuu wa mauzo wa Kampuni hiyo Albert Kingu.Meneja wa Kanda ya Pwani wa Kampuni ya Megatrade...

 

11 years ago

Mwananchi

Wazalishaji wa ndani zingatieni ubora

Ijumaa iliyopita Rais Jakaya Kikwete alitoa Tuzo ya ‘Mzalishaji Bora wa Mwaka’ kwa wazalishaji wa ndani. Wawakilishi wa viwanda mbalimbali walikuwapo kabla Jumbo Plastics hajatambulishwa kama washindi wa jumla wa tuzo hizo kwa mwaka 2013.

 

10 years ago

Tanzania Daima

TBS yawataka wafanyabiashara kuudhuria siku ya viwango

SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewataka wajasiriamali na wafanyabiashara waliothibitisha ubora wa bidhaa zao kufika katika maadhimisho ya siku ya viwango yatakayofanyika jijini Dar es Salaam katika viwanja vya Karimjee...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Pipe Industries yawataka Watanzania kuzingatia ubora

KIWANDA cha utengenezaji mabomba ya plastiki, Pipe Industries, kimewataka Watanzania kuangalia ubora wa bidhaa na si kufuata bei nafuu. Akizungumza katika maonyesho ya Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam, Ofisa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

TBS iangalie ubora nguo za dukani

SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limepiga marufuku  matumizi ya nguo za ndani za mitumba kutokana na athari zake kiafya kwa watumaji. Kutokana na hatua hiyo ni ishara kuwa shirika hilo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani