Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wazalishaji wa ndani zingatieni ubora

Ijumaa iliyopita Rais Jakaya Kikwete alitoa Tuzo ya ‘Mzalishaji Bora wa Mwaka’ kwa wazalishaji wa ndani. Wawakilishi wa viwanda mbalimbali walikuwapo kabla Jumbo Plastics hajatambulishwa kama washindi wa jumla wa tuzo hizo kwa mwaka 2013.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Wazalishaji wadogo wahimizwa ubora katika bidhaa zao

DSC01383

Mwakilishi wa mkurungezi wa usala wa chakula (TFDA), Lazaro Mwambole, akitoa taarifa yake muda mfupi kabla hajamkaribisha mgeni rasmi Katibu Tawala mkoa wa Singida,Liana Hassan kufungua mafunzo ya siku mbili yaliyohudhuriwa na wasindikaji wadogo wa chakula mkoa wa Singida.Wa pili kulia (waliokaa) Katibu Tawala mkoa wa Singida Liana Hassan na Mganga Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk, Doroth Gwajima (wa pili kulia).

Na Nathaniel Limu, Singida

KATIBU tawala mkoa wa Singida, Liana Hassan,...

 

9 years ago

StarTV

TBS yawataka wazalishaji kuthibitishiwa ubora wa bidhaa na shirika hilo

 

Shirika la Viwango Tanzania limewataka wazalishaji wote wa bidhaa ambazo ziko katika viwango vya lazima kuhakikisha wanathibitisha ubora wa bidhaa zao kwa shirika hilo.

Kauli hiyo imekuja baada ya TBS kubaini viwanda vya Kampuni ya Red East Building materials limited cha Tabata Bima na kile cha Snow Leopard cha Tabata Segerea kuzalisha mabati ambayo hayajathibitishwa ubora .

Kabla  ya kuvifungia viwanda hivyo, Afisa masoko wa TBS, Gladnes Kaseka alisema viwanda vyote ambavyo...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Mambo ya Ndani awaambia madereva chonde chonde zingatieni sheria za usalama barabarani

 Waziri wa Mambo ya Ndani  Mh.Mathias Chikawe (kushoto)  akishuhudia  dereva wa pikipiki  akivalishwa  pete zenye ujumbe wa “Wait to Send” wakati  wa  uzinduzi wa kampeni ya usalama barabarani uliofanyika eneo la Mwenge makutano ya barabara ya Sam Nujoma na Ali Hassan Mwinyi jijini  Dar es Salaam, uzinduzi huo uliambatana na  upimaji wa kiwango cha pombe mwilini kwa madereva na ugawaji wa pete maalumu za kuwakumbusha madereva kuacha kutumia simu za mkononi wanapokuwa wanaendesha vyombo vya...

 

10 years ago

GPL

WAZIRI WA MAMBO YA NDANI AWAAMBIA MADEREVA CHONDE CHONDE ZINGATIENI SHERIA ZA USALAMA BARABARANI‏

Waziri wa Mambo ya Ndani  Mh.Mathias Chikawe (watatu kutoka kulia) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kampeni ya usalama barabarani uliofanyika eneo la Mwenge makutano ya barabara ya Sam Nujoma na Ali Hassan Mwinyi jijini  Dar es Salaam, uzinduzi huo uliambatana na upimaji wa kiwango cha pombe mwilini kwa madereva na ugawaji wa pete maalumu za kuwakumbusha madereva kuacha kutumia simu za mkononi wanapokuwa wanaendesha...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ali Kiba adhihirisha ubora wake ndani ya tamasha la Sauti za Busara 2015

Ali Kiba jukwani sauti za busara 2015

Ali Kiba jukwaani Sauti za Busara 2015.

Na Andrew Chale wa modewjiblog, Zanzibar

Msanii nyota  Nchini, Ali Kiba  usiku wa Februari 12, ameweza kukonga nyoyo za mashabiki waliofurika kwenye tamasha kubwa la muziki la Kimataifa linaloaendelea kwenye viunga vya Ngome Kongwe, Unguja Zanzibar.

Katika shoo hiyo Ali Kiba alipanda jukwaani majira ya saa sita usiku  na kuendelea kwa zaidi ya masaa mawili, alikonga nyoyo umati wa mashabiki waliofurika ndani ya ukumbi huo huku akishangiliwa wakati...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wazalishaji wa matanki wapewa somo

WAZALISHAJI  wa bidhaa za kuhifadhia maji nchini wametakiwa kupanua wigo wa soko na kuenea hadi maeneo ya vijijini ili kuwakomboa wananchi wanaotaabika kutokana na kero ya maji. Rai hiyo ilitolewa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wazalishaji chumvi watengewa mil 62/-

HALMASHAURI ya Wilaya ya Ikungi imetenga sh. milioni 62.8 kwa ajili ya kuwakopesha kinamama na vijana wanaozalisha chumvi kwa mwaka wa fedha 2014/15. Taarifa hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu...

 

5 years ago

Michuzi

Wazalishaji watakiwa kuzingatia viwango

Na Mwandishi  Wetu, Singida

WAZALISHAJI wa bidhaa mbalimbali mkoani Singida wametakiwa kutambua kuwa suala la viwango ni la kisheria hivyo ni lazima kuthibitisha ubora wa bidhaa ili kumlinda mlaji na kupata uhakika wa soko la bidhaa wanazozizalisha.

Kauli hiyo ilitolewa mwishoni mwa wiki na Mkuu  wa Mkoa wa Singida Mhe. Dkt Rehema Nchimbi alipokuwa akifungua mafunzo ya wazalishaji wa bidhaa za vyakula yakiwemo mafuta ya alizeti na wauzaji wa vipodozi na vyakula yaliyofanyika katika ukumbi wa...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Ubepari unawakandamiza wazalishaji wadogo’

Ingawa takwimu zinaonyesha uchumi wa Tanzania unakua kwa zaidi ya asilimia 7, maisha ya Watanzania wengi hayalingani na hali ilivyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani