ESTER AKUTWA NA SHATI LA DUDE
![](http://api.ning.com:80/files/vMQ5RJcyKDAksE5nNe8yrQO012lHIiprvpnj9l02cABH-S669CZ1lYgK*dBPJW1Z5G0HhNmZ1ApYDUPxnWC8orXgPf-now-o/HJYIFFIFI.jpg?width=650)
Imelda Mtema Msanii anayekuja juu kwa kasi kwenye gemu la filamu Bongo, Ester Kihama amenaswa akiwa ametinga shati linalodaiwa kuwa la staa wa kiume wa filamu, Kulwa Kikumba ‘Dude’. Msanii anayekuja juu kwa kasi kwenye gemu la filamu Bongo, Ester Kihama. Mpashaji wetu alisema alimnasa mwanadada huyo akiwa anakatiza mitaani na shati hilo ambalo mara nyingi analivaa Dude akamfotoa picha za kutosha kwani kitendo...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bGawF3RRkae6HIaKvzz1ewGDmAhY7UlHPvPo4J8DVSSmSlWFIjYcZeeHd9SOvhhcPsR5ototg94fQ-2TfYDL58EqbHN6*WYt/Dude.gif?width=650)
ESTER, MKE WA DUDE WAPATANISHWA
Imelda Mtema
Bifu kwishnei! Wasanii wa filamu Bongo, Eva Dude na Ester Kihama, mapema wiki hii walikutana uso kwa uso katika Hoteli ya Double Tree iliyopo Masaki jijini Dar ambapo mmoja wa watu wao wa karibu aliwakutanisha ili kuwapatanisha. Â ....soma zidi===> http://bit.ly/1E7TU82
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/poNlDA9JoO3dO-IitY7qI*EvID3ixIAxeRwa4EI1dHqm8c8TXLUPc4nlRP*ldh8EDzO9MnmE*32XeW11V*o626ErFgjmdPJo/Esta.gif)
ESTER KIAMA: NIMEMMISS DUDE
Gladness Mallya MSANII anayekuja kwa kasi katika anga la filamu Bongo, Ester Kiama ambaye amekuwa akikana kuwa hana uhusiano wa kimapenzi na Kulwa Kikumba ‘Dude’, amesema hivi sasa anajisikia kum-miss staa huyo anayezunguka katika kampeni za CCM mikoani. Msanii anayekuja kwa kasi katika anga la filamu Bongo, Ester Kiama. Akipiga stori na gazeti hili, Ester alisema Dude alikuwa akimsaidia mambo mengi ikiwa ni pamoja na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/640cdJ4qjLRHnJwyxc8xpNAYwhv5BsKpI5tIVo-C6n3Jdrghz7kR2Rkpnv*nfVIERFu25KeK147cbx7NIDNPYcboW6tr1Dos/3.jpg)
DUDE, ESTER KIAMA KUNA KITU!
Hamida Hassan/mchanganyiko
UKARIBU wa mastaa wa filamu za Kibongo, Kulwa Kikumba maarufu kama Dude na msanii mwenzake Ester Kiama unaonyesha kama kuna kitu kati yao baada ya kuonekana kuwa karibu kwa muda mwingi kiasi kinachotia shaka! Staa wa filamu za Kibongo, Kulwa Kikumba maarufu kama Dude. Chanzo kilicho karibu na wawili hao kimesema mara kwa mara wanaonekana kuwa karibu kila wanapokwenda na kuonyesha dalili zote za...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pwNUcGVK-dVfU-IS-sxaEnhDiiM17JrFXAiNyvL7XfO2GYf1Z5AMD2csRyKgdqPbu68VKg1m4es*8aekGld1K3qvGC94vv*f/Dude.gif?width=650)
DUDE, ESTER WALAZIMISHWA KUPIMA NGOMA
Deogratius Mongela na Chande Abdallah NOMA! Waigizaji wa filamu za Kibongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ na Ester Kiama ambao wanaripotiwa kama wapenzi, hivi karibuni walilazimishwa kwenda kupima afya, ikiwa ni sharti lililotolewa na mke wa muigizaji huyo ili aweze kurejea nyumbani baada ya kuondoka kwa wazazi wake.  ...Soma zaidi===>http://goo.gl/gBMm2q ...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UQSvRDwuxJKUZle6qQigMjSqQvvu20N73RbbnrXxOzaNRNqyvSDnSIxKQ8u7usSAgu7DCMdsdX-McD3751mHI1cQyK-HuuU3/11.jpg?width=650)
ESTER: DUDE NI MZIBA PANCHA WANGU
Imelda mtema
Msanii wa sinema za Kibongo, Ester Kiama ametoa kioja cha aina yake baada ya kufunguka kuwa mwigizaji Kulwa Kikumba ‘Dude’ ni mziba pancha wa magari yake ya kutembelea. Msanii wa sinema za Kibongo, Ester Kiama. Akizungumza hivi karibuni na Global TV Online, Ester ambaye amekuwa akiandamwa kuwa huenda ana uhusiano wa kimapenzi na Dude ambaye ana mkewe, alisema hakuna chochote kinachoendelea kati yao...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qB*eEYpVu7N7GEWlWcZsUjBvHVcgjdaiBPlXKm0QGfP9gbFiQjoTTW9-g8jhvGPWymIp1T4MfM58gfguGRVMXhFNnwGE*wSe/Dude.jpg)
DUDE, ESTER WAWAPANDISHA MORI LA SABA
Imelda mtema/Uwazi
STAA aliyewahi kuvuma na kundi lake la Bongo Dar es Salaam, Kulwa Kikumba ‘Dude’ juzikati aliambatana na msanii mwenzake wa filamu, Ester Kihama katika Shule ya Msingi Mgulani kwa ajili ya kuwahamasisha wanafunzi wa darasa la saba kufaulu katika mitihani yao. Staa aliyewahi kuvuma na kundi lake la Bongo Dar es Salaam, Kulwa Kikumba ‘Dude. po waliwapandisha mizuka wanafunzi hao baada ya kuwapa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3QgTREgG9e*p6CNe22FkqLM-*xcxOB74QlbXH8L2DUi0wx1SP69dnJH08A*T*Jm4DX2yDJl70sm3-qMdtYo-LGeig3eGyD9J/BACKIJUMAA.jpg)
DUDE ANASWA NYUMBANI KWA ESTER
Gladness Mallya na Hamida Hassan
BAADA ya kukataa sana, hatimaye mwigizaji Kulwa Kikumba ‘Dude’ amenaswa nyumbani kwa mwigizaji Ester Kiama ambaye inadaiwa kuwa ni mpenzi wake. Mwigizaji Kulwa Kikumba ‘Dude’ akiwa nyumbani kwa mwigizaji mwenzake Ester Kiama. Tukio hilo lililofuatiliwa na makachero wetu wa Oparesheni Fichua Maovu (OFM), lilijiri juzikati nyumbani kwa mtoto huyo mzuri mwenye mvuto wa...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/dude2.gif?width=650)
DUDE ACHOMOA ISHU YA KUMBADILI DINI ESTER
Shani Ramadhani STAA wa filamu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’, ameweka wazi kuwa kubadili dini kwa msanii anayetajwa kuwa mpenzi wake, Ester Kiama hakuhusiani na yeye kama watu wanavyodai.....Soma zaidi===>http://goo.gl/IDw0y4
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uFCQvH3jdgC8-rU-qZjjpgdQvxPI4gVTChCHR80R*JyDXXWh6btfGTHQJNcI0wIs8w-aDlnJsWHZezpHLJgl4tHheM-uOVzx/ester.jpg)
ESTER: NINA ‘PROJECT’ NA DUDE!
Stori:Imelda Mtema/Ijumaa Wikienda
MSANII wa filamu anayechipukia Bongo, Ester Kiama, amefunguka kuwa ukaribu wake na mwigizaji Kulwa Kikumba ‘Dude’ ni kwa sababu ana ‘project’ ya kazi anafanya na staa huyo. Msanii wa filamu anayechipukia Bongo, Ester Kiama akipozi. Akizungumza na mwandishi wetu, Ester alisema ameshangaa kusikia watu wakieneza habari kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na Dude wakati...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania