ESTER KIAMA: NIMEMMISS DUDE

Gladness Mallya MSANII anayekuja kwa kasi katika anga la filamu Bongo, Ester Kiama ambaye amekuwa akikana kuwa hana uhusiano wa kimapenzi na Kulwa Kikumba ‘Dude’, amesema hivi sasa anajisikia kum-miss staa huyo anayezunguka katika kampeni za CCM mikoani. Msanii anayekuja kwa kasi katika anga la filamu Bongo, Ester Kiama. Akipiga stori na gazeti hili, Ester alisema Dude alikuwa akimsaidia mambo mengi ikiwa ni pamoja na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
DUDE, ESTER KIAMA KUNA KITU!
10 years ago
Bongo Movies08 Apr
Ester Kiama: Nammeneji Tu Dude Wala Si Mchepuko Wake
Baada minong’ono kuzagaa kila kona kuwa kuna uhusiano wa kimapenzi kati ya mwigizaji wa kike Ester Kiama na muongozaji na mwigizaji Kulwa Kikumba, mwanadada huyo amekanusha na kudai kuwa yeye ni meneja tu wa msanii huyo na anamsimamia kurudisha Bongo Dar es salaam.
Kweli nipo karibu sana na Dude kikazi na si kimapenzi kama wengine wanavyofikiria, nammeneji tu katika uwezeshaji wa kurudisha kipindi chake cha Bongo Dar es Salaam na masuala ya filamu, tumerekodi sinema yangu ya Ngoma...
9 years ago
Global Publishers23 Dec
Ester Kiama kutolewa kizazi
Msanii wa filamu Bongo, Ester Kiama
Na Imelda Mtema
MASKINI! Msanii wa filamu Bongo, Ester Kiama, huenda akatolewa kizazi baada ya madaktari kugundua uvimbe mkubwa unaosababisha kupatwa na maumivu ya mara kwa mara.
Akizungumza na mwandishi wa habari hizi huku mwili wake ukionekana kupungua, Ester alisema amekuwa akipata maumivu makali ya tumbo kiasi ambacho wakati mwingine hupoteza fahamu kabisa kabla ya kuamua kwenda Hospitali ya Aga Khan kutibiwa.
“Jamani nilikuwa naumwa sana tumbo,...
10 years ago
GPL
ESTER KIAMA: BILA MILIONI 5 SIJAOELEWA
10 years ago
GPL01 Jun
10 years ago
GPL
ESTER KIAMA ‘KULA BETHIDEI’ MIKUMI
10 years ago
GPL
ESTER, MKE WA DUDE WAPATANISHWA
10 years ago
GPL
ESTER AKUTWA NA SHATI LA DUDE
10 years ago
GPL
ESTER: DUDE NI MZIBA PANCHA WANGU