Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ester Kiama kutolewa kizazi

DSC_3444Msanii wa filamu Bongo, Ester Kiama

Na Imelda Mtema
MASKINI! Msanii wa filamu Bongo, Ester Kiama, huenda akatolewa kizazi baada ya madaktari kugundua uvimbe mkubwa unaosababisha kupatwa na maumivu ya mara kwa mara.

Akizungumza na mwandishi wa habari hizi huku mwili wake ukionekana kupungua, Ester alisema amekuwa akipata maumivu makali ya tumbo kiasi ambacho wakati mwingine hupoteza fahamu kabisa kabla ya kuamua kwenda Hospitali ya Aga Khan kutibiwa.

“Jamani nilikuwa naumwa sana tumbo,...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

ESTER KIAMA: NIMEMMISS DUDE

Gladness Mallya MSANII anayekuja kwa kasi katika anga la filamu Bongo, Ester Kiama ambaye amekuwa akikana kuwa hana uhusiano wa kimapenzi na Kulwa Kikumba ‘Dude’, amesema hivi sasa anajisikia kum-miss staa huyo anayezunguka katika kampeni za CCM mikoani. Msanii anayekuja kwa kasi katika anga la filamu Bongo, Ester Kiama. Akipiga stori na gazeti hili, Ester alisema Dude alikuwa akimsaidia mambo mengi ikiwa ni pamoja na...

 

10 years ago

GPL

ESTER KIAMA: BILA MILIONI 5 SIJAOELEWA

Kwenye kiwanda cha filamu Bongo sasa kuna warembo wakali wanaotishia amani wakongwe. Waswahili wanasema, hawavumi sana lakini ni moto wa kuotea mbali kwa uigizaji na muonekano pia.
Safu hii wiki hii imebahatika kumnasa mwanadada anayekwenda kwa jina la Ester Kiama. Amebanwa kwa maswali 10 ambapo bila hiyana alitoa ushirikiano. Ungana na mwandishi wetu Imelda Mtema aliyefanya naye mahojiano. Muigizaji wa filamu Bongo, Ester...

 

10 years ago

GPL

DUDE, ESTER KIAMA KUNA KITU!

Hamida Hassan/mchanganyiko
UKARIBU wa mastaa wa filamu za Kibongo, Kulwa Kikumba maarufu kama Dude na msanii mwenzake Ester Kiama unaonyesha kama kuna kitu kati yao baada ya kuonekana kuwa karibu kwa muda mwingi kiasi kinachotia shaka! Staa wa filamu za Kibongo, Kulwa Kikumba maarufu kama Dude. Chanzo kilicho karibu na wawili hao kimesema mara kwa mara wanaonekana kuwa karibu kila wanapokwenda na kuonyesha dalili zote za...

 

10 years ago

GPL

MWIGIZAJI ESTER KIAMA AFUNGUKA GLOBAL TV ONLINE

BONYEZA HAPA ===>GLOBAL TV ONLINE

 

9 years ago

GPL

ESTER KIAMA ‘KULA BETHIDEI’ MIKUMI

Hamida Hassan MWANADADA anayekuja kwa kasi katika filamu Bongo, Ester Kiama leo atafanya sherehe ya kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa katika Mbuga ya Wanyama ya Mikumi, hafla inayodaiwa kuandaliwa kifahari na tajiri wa madini wenye makazi yake mkoani Mwanza. Mwanadada anayekuja kwa kasi katika filamu Bongo, Ester Kiama. Sosi aliye karibu na staa huyo, ambaye sasa ana umri wa miaka 28, aliliambia Risasi Mchanganyiko kuwa Ester...

 

10 years ago

Bongo Movies

Ester Kiama: Nammeneji Tu Dude Wala Si Mchepuko Wake

Baada minong’ono kuzagaa kila kona kuwa kuna uhusiano wa kimapenzi kati ya mwigizaji wa kike Ester Kiama na muongozaji na mwigizaji Kulwa Kikumba, mwanadada huyo amekanusha na kudai kuwa yeye ni meneja tu wa msanii huyo na anamsimamia kurudisha Bongo Dar es salaam.

Kweli nipo karibu sana na Dude kikazi na si kimapenzi kama wengine wanavyofikiria, nammeneji tu katika uwezeshaji wa kurudisha kipindi chake cha Bongo Dar es Salaam na masuala ya filamu, tumerekodi sinema yangu ya Ngoma...

 

11 years ago

Dewji Blog

Msanii wa Bongo Movie Ester Kiama afuturisha wasanii wenzake jijini Dar

Msanii chupukizi wa Bongo Movie, Ester Kiama leo alifuturisha wasanii, ndugu,jamaa na marafiki zake ikiwa ni ishara ya kumkumbuka marehemu mama yake mzazi ambaye alishatangulia mbele ya haki. Akitoa shukrani zake kwa waalikwa, alisema ameona vyema kuandaa chakula cha pamoja ili waweze kumuenzi mama yao mzazi kwa vile alipenda sana watu hasa kukutana na kupata chakula pamoja.

Msanii chupukizi wa Bongo Movie, Ester Kiama akiendelea kutoa shukrani zake za pekee.

IMG_2930

 Mjomba wa Msanii...

 

9 years ago

Vijimambo

Magufuli atangaza kiama.

Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, amesema akichaguliwa kuwa rais atakomesha tabia ya kuhamisha watendaji wabovu walioharibu sehemu moja kwenda nyingine na badala yake atawafukuza kazi moja kwa moja.

Aliyasema hayo jana kwa nayakati tofauti wakati akiwahutubia wananchi wa Nyamongo na Tarime Mjini wilayani Tarime mkoani Mara ikiwa ni siku yake ya pili ya ziara ya kampeni mkoani hapa.

Alisema tabia hiyo imekuwa ikichangia kwa kiwango kikubwa kuchelewesha maendeleo ya wananchi na...

 

11 years ago

GPL

KIAMA CHA WAARABU

Na Saleh Ally, Cairo
MABINGWA wa Tanzania Bara, Yanga,  wanaondoka leo kwenda mjini Alexandria kwa ajili ya mechi ya kesho dhidi ya Al Ahly ambao wana mbinu nyingi za nje na ndani ya uwanja. Hakuna ubishi mechi ni ngumu, lakini Yanga wakijipanga, wakatulia na kufanya wanachotaka kukifanya, huenda kikawa ni kiama cha Waarabu hao wanaoongoza kwa kuchukua makombe ya kimataifa kuliko klabu yoyote duniani. Mechi ya kwanza,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani