Magufuli atangaza kiama.
Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, amesema akichaguliwa kuwa rais atakomesha tabia ya kuhamisha watendaji wabovu walioharibu sehemu moja kwenda nyingine na badala yake atawafukuza kazi moja kwa moja.
Aliyasema hayo jana kwa nayakati tofauti wakati akiwahutubia wananchi wa Nyamongo na Tarime Mjini wilayani Tarime mkoani Mara ikiwa ni siku yake ya pili ya ziara ya kampeni mkoani hapa.
Alisema tabia hiyo imekuwa ikichangia kwa kiwango kikubwa kuchelewesha maendeleo ya wananchi na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima06 Sep
Magufuli atangaza kiama kwa wakandarasi
WAZIRI wa Ujenzi Dk. John Magufuli ametangaza kiama kwa wakandarasi wa barabara watakaochelewa kukamilisha miradi ya barabara waliyopewa ikiwa ni pamoja na wale watakaojenga chini ya kiwango. Dk. Magufuli alitoa...
11 years ago
Mwananchi12 Mar
JK atangaza kiama cha majangili
9 years ago
Mwananchi15 Dec
Lukuvi atangaza kiama wamiliki mashamba
11 years ago
Uhuru Newspaper
Ngeleja atangaza kiama kwa watendaji
NA PETER KATUANDA, SENGEREMA
MBUNGE wa Sengerema (CCM), William Ngeleja, amecharuka na kutishia kuwang’oa baadhi ya watendaji watakaokwamisha na kuchakachua miradi ya maji wilayani Sengerema.

Alisema hatakubali CCM ikose kura katika uchaguzi ujao kwa sababu ya...
11 years ago
Vijimambo
BALAA, NABII JEREMIAH ATANGAZA KIAMA,AWATAKA WAGANGA WA KIENYEJI WAJISALIMISHA.. ATOA SIKU 14

Na Mwandishi wa MaskanibongotzKatika hali isiyokuwa ya kawaida Nabii Jerry wa kanisa la Holly Ghost Fire lilipo Mbezi Juu kwa Temba Jijini Dar ametoa mpya baada ya kuwatangazia kiama waganga wote wanaotumika kwa ushirikina pamoja na wachawi kujisalimisha kanisani kwake mara moja kabla moto wake haujatua kwenye vichwa vyao.Akiongea na waandishi wa habari mbalimbali Kanisani kwake...
9 years ago
Mwananchi04 Dec
Magufuli awatangazia kiama wafanyabiashara
10 years ago
Habarileo02 Sep
Magufuli atangaza neema
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli amesema Serikali atakayoiongoza baada ya kuchaguliwa, itapandisha mishahara ya watumishi wote wa umma ilingane na ile ya Wakala wa Taifa wa Barabara (Tanroads), ambayo aliianzisha na kuwapa wafanyakazi wake mishahara minono.
9 years ago
BBCSwahili10 Dec
Magufuli atangaza baraza la mawaziri
10 years ago
Mtanzania29 May
Magufuli atangaza kugombea urais
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, ametangaza rasmi kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Amesema kwa kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza rasmi kwa wanachama wake wenye sifa kujitokeza kuwania nafasi hiyo kubwa ya uongozi nchini, ameona hana budi kutangaza rasmi azma yake.
Dk. Magufuli, mmoja wa mawaziri ambao kwa muda mrefu wamehusishwa kwenye kinyang’anyiro cha nafasi hiyo, alisema anaingia kwenye mchuano huo akiwa na sifa zote stahiki za...