Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli atangaza kiama kwa wakandarasi

WAZIRI wa Ujenzi Dk. John Magufuli ametangaza kiama kwa wakandarasi wa barabara watakaochelewa kukamilisha miradi ya barabara waliyopewa ikiwa ni pamoja na wale watakaojenga chini ya kiwango. Dk. Magufuli alitoa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

Magufuli atangaza kiama.

Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, amesema akichaguliwa kuwa rais atakomesha tabia ya kuhamisha watendaji wabovu walioharibu sehemu moja kwenda nyingine na badala yake atawafukuza kazi moja kwa moja.

Aliyasema hayo jana kwa nayakati tofauti wakati akiwahutubia wananchi wa Nyamongo na Tarime Mjini wilayani Tarime mkoani Mara ikiwa ni siku yake ya pili ya ziara ya kampeni mkoani hapa.

Alisema tabia hiyo imekuwa ikichangia kwa kiwango kikubwa kuchelewesha maendeleo ya wananchi na...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Ngeleja atangaza kiama kwa watendaji


NA PETER KATUANDA, SENGEREMA  
MBUNGE wa Sengerema (CCM), William Ngeleja, amecharuka na kutishia kuwang’oa baadhi ya watendaji watakaokwamisha na kuchakachua miradi ya maji wilayani Sengerema.
Alisema hayo juzi alipowahutubia wananchi wa kijiji cha Busisi wilayani hapa, wakati wa ziara ya kukagua miradi ya maendeleo iliyotekelezwa na halmashauri, pamoja na kusikiliza hoja za wananchi katika maeneo mbalimbali ya jimbo hilo.
Alisema hatakubali CCM ikose kura katika uchaguzi ujao kwa sababu ya...

 

11 years ago

Mwananchi

JK atangaza kiama cha majangili

Rais Jakaya Kikwete amesema Serikali imenuia kumaliza kabisa ujangili nchini, ikiwa ni hatua ya kunusuru wanyama walio hatarini kutoweka katika hifadhi za taifa.

 

9 years ago

Mwananchi

Lukuvi atangaza kiama wamiliki mashamba

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amesema watu wanaomiliki mashamba bila kuyaendeleza huku wakiyatumia kama dhamana ya kukopea fedha benki watanyang’anywa.

 

10 years ago

Vijimambo

BALAA, NABII JEREMIAH ATANGAZA KIAMA,AWATAKA WAGANGA WA KIENYEJI WAJISALIMISHA.. ATOA SIKU 14

Dokta Manyaunyau ambae ameombwa kuwa wa kwanza kujisalimisha kwake kutokana na matatizo makubwa aliyokuwa nayo.
Na Mwandishi wa MaskanibongotzKatika hali isiyokuwa ya kawaida Nabii Jerry wa kanisa la Holly Ghost Fire lilipo Mbezi Juu kwa Temba Jijini Dar ametoa mpya baada ya kuwatangazia kiama waganga wote wanaotumika kwa ushirikina pamoja na wachawi kujisalimisha kanisani kwake mara moja kabla moto wake haujatua kwenye vichwa vyao.Akiongea na waandishi wa habari mbalimbali Kanisani kwake...

 

5 years ago

Michuzi

RC MAKONDA ATANGAZA DAWA KWA WAKANDARASI WANAOKIUKA TARATIBU ZA MIKATABA * RC Makonda asema hakuna mgonjwa wa Covid 19, awataka wananchi kufuata maelekezo Na Leandra Gabriel, Michuzi TV MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametangaza kamati ya w

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda akizungumza na waandishi wa habari juu ya  kamati ya watu 13 kutoka Serikali na sekta binafsi ambao watapitia mikataba yote ya miradi mbalimbali iliyosainiwa mkoa wa Dar es salaam.(Picha na Emmanuel Massaka wa globu ya jamii)
* RC Makonda asema hakuna mgonjwa wa Covid 19, awataka wananchi kufuata maelekezo
Na Leandra Gabriel, Michuzi TVMKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametangaza kamati ya watu 13 kutoka Serikali na sekta binafsi ambao...

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli awatangazia kiama wafanyabiashara

Rais John Magufuli ametoa siku saba kwa wafanyabiashara waliopitisha makontena yao kinyemela na kuyaficha kulipa kodi lasivyo yatakamatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria.

 

10 years ago

GPL

WAZIRI MAGUFULI ATANGAZA KUKAMILIKA KWA BARABARA YA NDUNDU-SOMANGA (KM 60)

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Musa Iyombe akiteremka kukagua tuta la barabara ya Ndundu –Somanga (KM 60) iliyokamilika kwa kiwango cha lami.
Sehemu ya barabara ya Ndundu –Somanga (KM 60) iliyokamilika kwa kiwango cha lami.…

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Magufuli atangaza kukamilika kwa barabara ya Ndundu-Somanga(Km 60)

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli ametangaza kukamilika kwa barabara ya Ndundu- Somanga (Km 60) na kuwataka wakazi wa mikoa ya kusini kuitumia vizuri barabara hiyo kuibua fursa za kiuchumi na hivyo kujiletea maendeleo. Dkt. Magufuli alitoa kauli hiyo jana jijini Dar es Salaam mara baada ya kukamilika kwa ukaguzi wa barabara hiyo uliofanywa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Musa Iyombe. “ Wito wangu kwenu wakazi wa mikoa ya kusini ni kuitunza barabara hii ili idumu kwa muda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani