Magufuli awatangazia kiama wafanyabiashara
Rais John Magufuli ametoa siku saba kwa wafanyabiashara waliopitisha makontena yao kinyemela na kuyaficha kulipa kodi lasivyo yatakamatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima24 Apr
Muhongo awatangazia kiama wazee
WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, ametangaza kiama kwa watumishi wazee na kukaribisha vijana wenye elimu kushika nyadhifa za juu katika wizara hiyo. Waziri huyo alisema elimu ya...
9 years ago
Vijimambo12 Sep
Magufuli atangaza kiama.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/magu-12Sept2015.jpg)
Aliyasema hayo jana kwa nayakati tofauti wakati akiwahutubia wananchi wa Nyamongo na Tarime Mjini wilayani Tarime mkoani Mara ikiwa ni siku yake ya pili ya ziara ya kampeni mkoani hapa.
Alisema tabia hiyo imekuwa ikichangia kwa kiwango kikubwa kuchelewesha maendeleo ya wananchi na...
10 years ago
Tanzania Daima06 Sep
Magufuli atangaza kiama kwa wakandarasi
WAZIRI wa Ujenzi Dk. John Magufuli ametangaza kiama kwa wakandarasi wa barabara watakaochelewa kukamilisha miradi ya barabara waliyopewa ikiwa ni pamoja na wale watakaojenga chini ya kiwango. Dk. Magufuli alitoa...
10 years ago
BBCSwahili21 Nov
Rais Obama awatangazia neema wahamiaji
9 years ago
CCM Blog03 Dec
9 years ago
Bongo503 Dec
Breaking: Magufuli awapa siku 7 wafanyabiashara wakwepa kodi kujisalimisha
![jpm2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/jpm2-300x194.jpg)
Mkutano wa leo kati ya Rais Dkt John Magufuli na wafanyabiashara nchini kwenye ikulu ya Dar es Salaam haukuwa wa kunywa chai na cocktail bali wenye maelekezo muhimu na mazito.
Dkt John Magufuli akiongea na wafanyabiashara kwenye mkutano uliofanyika Alhamis hii ikulu jijini Dar es Salaam (Picha: Michuzi)
Katika mkutano huo, Magufuli ametoa siku saba, kuanzia leo kwa wafanyabiashara wote walioingiza bidhaa nchini bila kulipa ushuru wakajisalimishe na kulipa.
Mkutano huo umehudhuriwa na...
9 years ago
StarTV14 Nov
Rais Magufuli aombwa kuteua Mbunge atakayewakilisha wafanyabiashara wadogowadogo
Wamachinga mkoani Mbeya wamuomba Rais John Magufuli kutenga nafasi moja kati ya viti kumi vya wabunge wa kuteuliwa vilivyo chini ya mamlaka yake kwa ajili ya mwakilishi mmoja wa kundi la vijana wanaofanya biashara ndogondogo kote nchini.
Wamachinga hao wamemuomba Rais Magufuli kumteua Mbunge wa kundi hilo maalum nchini ili kuwapa fursa ya kufikisha kero na mapendekezo yao serikalini kwa lengo la kuondoa changamoto zinazowakabili katika shughuli zao na misuguano iliyopo baina yao na...
9 years ago
StarTV04 Dec
Rais Magufuli atoa siku saba kwa wafanyabiashara wakwepaji kodi
Rais John Magufuli ametoa siku saba kwa wafanyabiashara waliokuwa wamekwepa kulipa kodi kwa namna yoyote ile kuhakikisha wamelipa malimbikizo yao ndani ya siku hizo badala ya kuendelea kuficha makontena.
Amesema baada ya siku hizo saba kuisha, wafanyabiashara watakaokamatwa hawajalipa kodi kwa mujibu wa taratibu watachukuliwa hatua za kisheria ili kukomesha vitendo hivyo kwa manufaa ya Taifa.
Rais wa awamu ya Tano, Dkt John Magufuli ametoa wito kwa wafanyabiashara kutoka sekta binafsi na...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/6vDRYvWfTrw/default.jpg)