Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Muhongo awatangazia kiama wazee

WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, ametangaza kiama kwa watumishi wazee na kukaribisha vijana wenye elimu kushika nyadhifa za juu katika wizara hiyo. Waziri huyo alisema elimu ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Magufuli awatangazia kiama wafanyabiashara

Rais John Magufuli ametoa siku saba kwa wafanyabiashara waliopitisha makontena yao kinyemela na kuyaficha kulipa kodi lasivyo yatakamatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria.

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais Obama awatangazia neema wahamiaji

Mabadiliko ya mfumo wa uhamiaji nchini Marekani unawapa nafuu mamilioni ya wahamiaji wanaoishi kinyume sheria kutambuliwa.

 

10 years ago

Vijimambo

MATUKIO KATIKA PICHA YA MTANANGE WA WAZEE WA KUNDUCHI YANGA 0 NA WAZEE WA SAUZI SIMBA 0

Beki wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ (kulia), akiondosha mpira wa hatari katika eneo la langoni kwake huku mshambuliaji wa Simba, Elius Maguri (katikati) akijaribu kunyoosha guu ili kupiga mpira huo bila mafanikio wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliomaliziki jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, bila timu hizo kufungana. Kushoto ni Kelvin Yondan, akijiandaa kutoa msaada.

MATOKEO KAMILI YA MECHI ZA LIGI KUU KATIKA VIWANJA SITA HII LEO:-

YANGA 0- SIMBA 0
NDANDA...

 

5 years ago

Michuzi

WAZEE WAIPONGEZA SERIKALI SHINYANGA KUPUNGUZA MAUAJI YA WAZEE

Baraza la Wazee mkoa wa Shinyanga limeipongeza Serikali ya mkoa huo, kupunguza tatizo la mauaji ya wazee pamoja na watu wenye ualbino, ambao walikuwa akiuawa kwa sababu ya imani potofu za kishirikina.


Wazee wametoa pongezi hizo leo Machi 11,2020 kwenye kikao cha Baraza la Wazee Mkoa wa Shinyanga, kilichofanyika kwenye hospitali ya rufani ya mkoa wa Shinyanga, kilichokuwa na lengo la kujadili changamoto mbalimbali zinazowakabili na kuzitafutia ufumbuzi likiwamo suala la matibabu.  Akisoma...

 

11 years ago

Michuzi

Wachina waonesha nia kuwekeza sekta ya madini, wakutana na Muhongo, Maswi, muhongo asisitiza hakuna kusafirisha madini ghafi

Nuru Mwasampeta na Veronica Simba, Dar es Salaam Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema Wizara yake imejipanga kuhakikisha inajengwa mitambo ya uchakataji madini (Mineral Processing Plants) hapa nchini ili kuondokana na utaratibu wa kusafirisha madini ghafi nje ya nchi na badala yake zisafirishwe bidhaa zitokanazo na madini husika ili kuongeza thamani na hivyo kukuza pato la nchi.  Aliyasema hayo  alipokutana na kuzungumza na Wawekezaji wa Kampuni ya Chinalco ya nchini...

 

9 years ago

Dewji Blog

Msindai awatangazia neema mama ntilie, machinga, waendesha boda boda

msindai

Mgombe Ubunge wa Jimbo la Singida Mjini (CHADEMA) Mgana Msindai, akizungumza na wafanyabiashara wa soko kuu mjini Singida wakati wa Mkutano wa kampeni kuomba ridhaa ya wananchi kumchagua kuwa Mbunge ili kuondoa kero ndogo ndogo za kutozwa ushuru kwa wamachinga na mama ntilie (PICHA NA HILLARY SHOO).

Na Hillary Shoo, Singida

MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Singida Mjini (CHADEMA ) Mgana Msindai ameahidi kuondoa kero na kodi ndogondogo wanazotozwa wafanyabiashara wadogo wakiwemo mama...

 

9 years ago

Vijimambo

Magufuli atangaza kiama.

Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, amesema akichaguliwa kuwa rais atakomesha tabia ya kuhamisha watendaji wabovu walioharibu sehemu moja kwenda nyingine na badala yake atawafukuza kazi moja kwa moja.

Aliyasema hayo jana kwa nayakati tofauti wakati akiwahutubia wananchi wa Nyamongo na Tarime Mjini wilayani Tarime mkoani Mara ikiwa ni siku yake ya pili ya ziara ya kampeni mkoani hapa.

Alisema tabia hiyo imekuwa ikichangia kwa kiwango kikubwa kuchelewesha maendeleo ya wananchi na...

 

11 years ago

GPL

KIAMA CHA WAARABU

Na Saleh Ally, Cairo
MABINGWA wa Tanzania Bara, Yanga,  wanaondoka leo kwenda mjini Alexandria kwa ajili ya mechi ya kesho dhidi ya Al Ahly ambao wana mbinu nyingi za nje na ndani ya uwanja. Hakuna ubishi mechi ni ngumu, lakini Yanga wakijipanga, wakatulia na kufanya wanachotaka kukifanya, huenda kikawa ni kiama cha Waarabu hao wanaoongoza kwa kuchukua makombe ya kimataifa kuliko klabu yoyote duniani. Mechi ya kwanza,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani