Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIAMA CHA WAARABU

Na Saleh Ally, Cairo
MABINGWA wa Tanzania Bara, Yanga,  wanaondoka leo kwenda mjini Alexandria kwa ajili ya mechi ya kesho dhidi ya Al Ahly ambao wana mbinu nyingi za nje na ndani ya uwanja. Hakuna ubishi mechi ni ngumu, lakini Yanga wakijipanga, wakatulia na kufanya wanachotaka kukifanya, huenda kikawa ni kiama cha Waarabu hao wanaoongoza kwa kuchukua makombe ya kimataifa kuliko klabu yoyote duniani. Mechi ya kwanza,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

JK atangaza kiama cha majangili

Rais Jakaya Kikwete amesema Serikali imenuia kumaliza kabisa ujangili nchini, ikiwa ni hatua ya kunusuru wanyama walio hatarini kutoweka katika hifadhi za taifa.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Kiama cha wafanyakazi wa mizani chaja



 Watendaji TANROAD, madereva wa malori wawekwa kikaangoni
MOHAMMED ISSA NA 
MWAMVUA MWINYI
SERIKALI imesema itaingia mkataba maalumu na wafanyakazi wa mizani ya Vigwaza, Kibaha mkoani Pwani kwa lengo la kuwadhibiti ili wasiuchakachue na kupitisha magari yaliyozidisha mizigo.
Pia imewaonya baadhi ya watendaji wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROAD), wanaojihusisha na vitendo vya rushwa, kuacha mara moja vinginevyo watachukuliwa hatua kali za kisheria.
Mbali na hilo, imewatangazia kiama madereva...

 

10 years ago

Habarileo

Mabadiliko ya sheria kiama cha wachakachuaji mbolea, mbegu

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick WeremaWACHAKACHUAJI wa mbolea na mbegu nchini, sasa watakabiliwa adhabu kubwa zaidi zikiwamo za faini ya Sh milioni 500 na kifungo kisichozidi miaka saba gerezani endapo Bunge litaridhia mabadiliko ya sheria.

 

11 years ago

GPL

KIAMA CHA ELIMU SAHIHI YA KUTIBU GONJWA LINALOITWA WIVU-3

Kwa kuendelea na mada yetu, nianze na swali: Una wasiwasi na mahali ambako mwenzi wako yupo? Huna amani na unahisi anakusaliti. Moyo wako umefunikwa na jakamoyo na kila hatua mapigo yanaongezeka kasi au yanashuka. Kimsingi huna sababu ya kuwa hivyo. Usiishi kwa dhana, ila simamia vitu vinavyoonekana. Mawasiliano ni njia bora kabisa ya kudhibiti wivu. Mnapozungumza mara kwa mara au ‘kuchati’ kwa SMS, Facebook au...

 

5 years ago

Bongo5

Kiama cha wazalishaji wa CD ‘feki’ chawadia, 13 kuripoti Polisi Central Ijumaa

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda akishirikiana na Wizara ya Habari pamoja na wasanii wa filamu wameendesha operesheni maalum katika mitaa ya Kariakoo Jijini Dar es salaam kwa dhumuni la kupambana na wazalishaji wa CD ‘feki’ za filamu kutoka nje ya nchi.


Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda akiwa katika operesheni hiyo Kariakoo Jijini Dar es salaam.

Hatua hiyo imekuja baada ya wasanii wa filamu nchini kumtembelea RC Makonda na kulalamika juu ya filamu hizo za nje kwa madai...

 

9 years ago

Vijimambo

KIAMA CHA MAJANGILI CHAJA, BATHAWK YAZINDUA NDEGE MAALUM KUPAMBANA NAO

Ndege aina ya Super Bat DA-50
Na Daniel Mbega, Mkomazi

NI majira ya saa tatu asubuhi Jumatano, Septemba 16, 2015 wakati tunawasili kwenye uwanja mdogo wa ndege (air strip) katika eneo la Kisima ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi inayotenganisha mikoa ya Kilimanjaro na Tanga.

Uwanja unaonekana mweupe, hakuna ndege! Nikashangaa kwa sababu wenyeji wetu kampuni ya Bathawk Recon wametuambia tunakuja kushuhudia uzinduzi wa ndege maalum zinazopambana na ujangili.Kilichoonekana mbele yetu ni hema...

 

9 years ago

GPL

KIAMA CHA MAJANGILI CHAJA, BATHAWK YAZINDUA NDEGE MAALUM KUPAMBANA NAO‏

Ndege aina ya Super Bat DA-50 Ndege zilizojaribiwa, DT-18 ilijaribiwa Tarangire   Hii ilitengenezwa Ufaransa. Ni ndogo sana, inaweza kuruka kwa saa mbili tu katika nusu kipenyo cha kilometa 15 kutoka ilipo mitambo. DT-26 ilijaribiwa Selous…

 

10 years ago

GPL

Yanga SC yawaotea Waarabu

Wachezaji wa Yanga wakishangilia goli. KOCHA wa Yanga, Hans van Der Pluijm, jeuri sana, kwani amefanya mazoezi mara mbili na kikosi chake kisha akawasisitizia wachezaji wake kwamba, wote lazima wakabe kisawasawa kuanzia mwanzo hadi mwisho katika mchezo wao dhidi ya Etoile du Sahel leo Jumamosi usiku. Yanga ipo jijini hapa tangu juzi kujiandaa na mchezo wake wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Etoile du Sahel...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani