ESTER KIAMA: BILA MILIONI 5 SIJAOELEWA
![](http://api.ning.com:80/files/TARUKDkBK7rlPsS8SsNMmqoMdc0p0RP9BcYDyYnJUe6piBbR357EDl1-2AhKtCb5twRpPcdtRBBgPCSoICAH-tKycFpQRArG/ester.jpg)
Kwenye kiwanda cha filamu Bongo sasa kuna warembo wakali wanaotishia amani wakongwe. Waswahili wanasema, hawavumi sana lakini ni moto wa kuotea mbali kwa uigizaji na muonekano pia. Safu hii wiki hii imebahatika kumnasa mwanadada anayekwenda kwa jina la Ester Kiama. Amebanwa kwa maswali 10 ambapo bila hiyana alitoa ushirikiano. Ungana na mwandishi wetu Imelda Mtema aliyefanya naye mahojiano. Muigizaji wa filamu Bongo, Ester...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/poNlDA9JoO3dO-IitY7qI*EvID3ixIAxeRwa4EI1dHqm8c8TXLUPc4nlRP*ldh8EDzO9MnmE*32XeW11V*o626ErFgjmdPJo/Esta.gif)
ESTER KIAMA: NIMEMMISS DUDE
9 years ago
Global Publishers23 Dec
Ester Kiama kutolewa kizazi
Msanii wa filamu Bongo, Ester Kiama
Na Imelda Mtema
MASKINI! Msanii wa filamu Bongo, Ester Kiama, huenda akatolewa kizazi baada ya madaktari kugundua uvimbe mkubwa unaosababisha kupatwa na maumivu ya mara kwa mara.
Akizungumza na mwandishi wa habari hizi huku mwili wake ukionekana kupungua, Ester alisema amekuwa akipata maumivu makali ya tumbo kiasi ambacho wakati mwingine hupoteza fahamu kabisa kabla ya kuamua kwenda Hospitali ya Aga Khan kutibiwa.
“Jamani nilikuwa naumwa sana tumbo,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/640cdJ4qjLRHnJwyxc8xpNAYwhv5BsKpI5tIVo-C6n3Jdrghz7kR2Rkpnv*nfVIERFu25KeK147cbx7NIDNPYcboW6tr1Dos/3.jpg)
DUDE, ESTER KIAMA KUNA KITU!
10 years ago
GPL01 Jun
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/e94-*Sv1fqqUHPGBp8YpJOLwDSIR-xtGFM2CuLbCBCocxv7igN9xxRUsoeHkmGCOCZh0EikIR9Zcgrgfg1ekVLPV-28nMZys/Esta.gif)
ESTER KIAMA ‘KULA BETHIDEI’ MIKUMI
10 years ago
Bongo Movies08 Apr
Ester Kiama: Nammeneji Tu Dude Wala Si Mchepuko Wake
Baada minong’ono kuzagaa kila kona kuwa kuna uhusiano wa kimapenzi kati ya mwigizaji wa kike Ester Kiama na muongozaji na mwigizaji Kulwa Kikumba, mwanadada huyo amekanusha na kudai kuwa yeye ni meneja tu wa msanii huyo na anamsimamia kurudisha Bongo Dar es salaam.
Kweli nipo karibu sana na Dude kikazi na si kimapenzi kama wengine wanavyofikiria, nammeneji tu katika uwezeshaji wa kurudisha kipindi chake cha Bongo Dar es Salaam na masuala ya filamu, tumerekodi sinema yangu ya Ngoma...
11 years ago
Dewji Blog29 Jul
Msanii wa Bongo Movie Ester Kiama afuturisha wasanii wenzake jijini Dar
![](http://2.bp.blogspot.com/-q1HH4vkWT4U/U9ZNcUvbU0I/AAAAAAAA-No/7fkpptgDKos/s1600/IMG_2932.jpg)
Msanii chupukizi wa Bongo Movie, Ester Kiama leo alifuturisha wasanii, ndugu,jamaa na marafiki zake ikiwa ni ishara ya kumkumbuka marehemu mama yake mzazi ambaye alishatangulia mbele ya haki. Akitoa shukrani zake kwa waalikwa, alisema ameona vyema kuandaa chakula cha pamoja ili waweze kumuenzi mama yao mzazi kwa vile alipenda sana watu hasa kukutana na kupata chakula pamoja.
![](http://4.bp.blogspot.com/-siRZUwT185A/U9ZNfzoILhI/AAAAAAAA-N4/fQ7ALu1IESw/s1600/IMG_2936.jpg)
Msanii chupukizi wa Bongo Movie, Ester Kiama akiendelea kutoa shukrani zake za pekee.
Mjomba wa Msanii...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*9fn6zx1i0KkZWYRO4X6gvsCtVbt-XWa0IhUuCm*HGOJ44V8lWGvEsKs6NlwzFGOkMQdm2CbvHPe2-wwLZELQ7jRVkqyRKbJ/Kiama.jpg?width=650)
ESTA KIAMA ANASWA BILA MAKE UP
5 years ago
MichuziMwandishi wa habari ahukumiwa jela mwaka mmoja au faini ya shilingi milioni tano kwa kosa la kutoa maudhui kwenye mtandao wa youtube bila leseni
Mahakama ya Hakimu Mkazi Njombe imemtia hatiani na kumhukumu kulipa faini ya Shilingi Milioni 5 au kifungo Cha Mwaka mmoja jela Mwandishi wa habari Prosper Mfugale baada ya mwandishi huyo kukiri kutoa maudhui Katika Mtandao wa YouTube bila ya kuwa na leseni kutoka mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA), hata hivyo Mfugale amelipa faini hiyo na kuachiwa huru.
Mfugale alikamatwa mnamo Februari 29 Mwaka huu na kushikiliwa kwa siku nne kituo cha polisi Njombe na tarehe 4 Machi alifunguliwa...