Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mzungu wa Ghana kocha mpya Yanga

Hans Van der Pluijm. Na Mwandishi Wetu
KOCHA mzungu anayefundisha soka nchini Ghana ndiye atakuwa kocha mpya wa Yanga.Hadi jana usiku Yanga ilikuwa ikifanya mazungumzo na makocha wawili yule wa Berekum Chelsea ambaye anajulikana kwa jina la Hans Van der Pluijm na mwingine wa Berekum Arsenal na hukohuko Ghana ambaye hakutajwa jina.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Yanga wamtega kocha mpya

KLABU ya Yanga imetangaza rasmi kumpatia mkataba wa miezi sita Kocha wake mpya, Hans Van Der Pluijm, ambaye tayari ameungana na timu hiyo iliyopo nchini Uturuki kujipanga kwa raundi ya...

 

11 years ago

GPL

KOCHA MPYA YANGA APEWA MASHARTI

Kocha mkuu wa Yanga  SC, Hans van Der Pluijm. Na Amisa Mmbaga UONGOZI wa Klabu ya Yanga umempa masharti kocha mpya wa timu yao, Hans Van Der Pluijm kuhusu kudhibiti nidhamu ya wachezaji pindi wanapokuwa kambini na uwanjani ili kuweza kukifikisha mbali kikosi hicho. Yanga waliondoka nchini hivi karibuni kuelekea Uturuki kwa ajili ya maandalizi ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara na Ligi ya Mabingwa Afrika. Makamu Mwenyekiti...

 

10 years ago

Mwananchi

Kaburu ampinga kocha Mzungu

Kinyume na vitisho vya kocha mpya wa Simba, Goran Kopunovic aliyemtaka mshambuliaji wake Emmanuel Okwi awe amewasili kwenye mazoezi ya klabu hiyo saa 24 vinginevyo ataadhibiwa, uongozi wa klabu hiyo umemkingia kifua.

 

10 years ago

Mwananchi

Kocha Mzungu atua Majimaji

Dar es Salaam. Klabu ya Majimaji ya Songea imejiunga na klabu nyingine za Ligi Kuu kuajiri kocha kutoka nje ya Afrika.

 

10 years ago

Vijimambo

KOCHA WA YANGA AGOMA KUMPA MKONO KOCHA MWENZIE

Kocha simba akimpa mkono kocha wa YangaHans ameshindwa kupeana mkono wa pongezi na kocha mwenzake kutokana na kikosi chake kukubali kupokea kichapo kutoka kwa wekundu wa msimbazi lakini katika hali ya kawaida mchezo ukimalizika makocha upeana mkono kama ishara ya kukubali matokeo (fair play) na kocha msaidizi wa yanga Boniface Mkwasa ametoa mkono huku akiwa ameangalia pembeni.Goran akimwambia basi samahani kwa kukufunga wewe nipe mkono tuBaada ya mchezo kocha aliwashukuru wachezaji wake kwa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Kocha wa zamani wa Ghana afariki

Mchezaji maarufu wa kandanda wa Ghana aliyekuwa mchezaji na kocha Charles Kumi Gyamfi amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85

 

11 years ago

Mwananchi

Mzungu wa Yanga amlilia Okwi

>Wakati kikosi cha Yanga kikiingia kambini kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mbeya City Jumapili ya wiki hii, kocha Hans Van Pluijm amezidi kuumizwa kichwa kwa kumkosa mshambuliaji wake Emmanuel Okwi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ghana kukosa kocha dhidi ya Guinea

Ghana haitakuwa na mkufunzi wa taifa timu ya Black Stars itakapokwaruzana na Guinea.

 

10 years ago

BBCSwahili

Aliyekuwa kocha Chelsea, kuifunza Ghana

Mkufunzi wa zamani wa Chelsea Avram Grant ameteuliwa kuwa kocha mpya wa Ghana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani