Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hujuma nzito



Mashine Elektroniki zatumika kuibia serikaliMwigulu aendesha msako, aagiza uchunguziKampuni kubwa zahusishwa, wawili mbaroni
NA MWANDISHI WETU
SERIKALI inahofiwa kupoteza mabilioni ya shilingi kutokana na baadhi ya wafanyabiashara kuanza kufanya hujuma kwa kutumia mashine za kielektroniki (EFD) zinazotumika kukusanya kodi.
Hatua hiyo inatokana na kubainika kuingizwa sokoni kwa mashine zinazotoa risiti feki, ambapo kodi inayokatwa kwa mnunuzi imekuwa haiwasilishwi Mamlaka ya Mapato Tanzania...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Hujuma nzito ndani ya kambi ya Dk. Magufuli

Hatimaye mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, ameibuka hadharani na kuzungumzia tatizo la kuwapo kwa baadhi ya wafuasi wa chama chake kumhujumu kwa kuunga mkono harakati za upinzani. Akizungumza kwenye […]

The post Hujuma nzito ndani ya kambi ya Dk. Magufuli appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Hujuma uzalishaji sukari

TANI 158 za sukari zimeozea kwenye ghala la kiwanda cha sukari Kilombero mkoani Morogoro mwaka jana huku tani 40,000 zikishindwa kuuzika kutokana na kuendelea kuingizwa kwa sukari kutoka nje ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Hujuma Bandari ya Tanga

Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Magalula Said Magalula amedai kuwa kuna wafanyabiashara ambao wameanza tena kuhujumu mpango wa Serikali wa kutumia Bandari ya Tanga kupitishia mafuta.

 

10 years ago

Mwananchi

Lundenga alia hujuma

Siku moja baada ya Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), kuifungia Kampuni ya Lino International kuendesha mashindano ya Miss Tanzania kwa miaka miwili, Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Hashim Lundenga amesema hatua hiyo imefikiwa kutokana na shinikizo kutoka kwa baadhi ya watu wenye dhamira ya kuitoa kwenye mstari wa mafanikio sanaa ya urembo nchini.

 

11 years ago

Habarileo

Kanisa Zanzibar lalia hujuma

Father Emmanuel MasoudWAKATI Jeshi la Polisi likisema milipuko ya mabomu karibu na Kanisa la Mkunazini si hujuma, uongozi wa Kanisa hilo umepinga na kusema ni sehemu ya mikakati ya kuzusha taharuki na hofu kwa waumini wake ili washindwe kuendelea na ibada.

 

9 years ago

Mwananchi

Wasira, Bulaya walalamikia hujuma

Wagombea ubunge Jimbo la Bunda Mjini, Stephen Wasira (CCM) na Ester Bulaya (Chadema), wameomba vyombo vya ulinzi kusimamia amani kipindi hiki cha kampeni inayoonekana kuvurugwa na baadhi ya wafuasi wa vyama hivyo.

 

10 years ago

Mtanzania

Azam kukabiliana na hujuma za Merreikh

azamNA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Azam FC wamejipanga kukabiliana na hujuma zozote kutoka kwa El Merreikh katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika.

Azam juzi iliwafunga miamba hiyo ya Sudan mabao 2-0 katika mchezo wa kwanza uliofanyika Uwanja wa Azam Complex, mchezo wa marudiano utafanyika jijini Khartoum, Sudan.

Akizungumza na MTANZANIA jana, Katibu Mkuu wa Azam, Nassor Idrissa, alisema wanajua mbinu chafu za nje ya...

 

9 years ago

Mtanzania

Simba yakwepa hujuma Mbeya

Simba-vs-Yanga-2NA PENDO FUNDISHA, MBEYA

TIMU ya soka ya Simba imebuni mbinu mpya ya kufanya mazoezi ndani ya Uwanja wa Jeshi wa JKT mkoani Mbeya, ili kukwepa vitendo vya hujuma wanavyoweza kufanyiwa kwa kuruhusu mashabiki kuingia kienyeji na kuwasoma wakati wakijiandaa na mchezo dhidi ya Tanzania Prisons.

Kitendo cha Simba kuingia mafichoni na kuutumia uwanja huo ambao awali waliugomea kabla ya kucheza na Mbeya City, kimetafsiriwa kama moja ya mipango na mikakati ya timu hiyo iliyoandaliwa ili kuimarisha...

 

11 years ago

Mwananchi

Wahadzabe walia na hujuma za wanaume

Katika jamii nyingi, hasa za mijini, ni kawaida wanawake na wanaume kushirikiana katika shughuli mbalimbali za kiuchumi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani