Wahadzabe walia na hujuma za wanaume
Katika jamii nyingi, hasa za mijini, ni kawaida wanawake na wanaume kushirikiana katika shughuli mbalimbali za kiuchumi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi07 Feb
Chadema walia hujuma kukamatwa wabunge
10 years ago
Dewji Blog10 Nov
Nyumba ya asili ya kabila la WAHADZABE!
Jamii ya Kihadzabe wakiwa nje ya nyumba yao katika kijiji cha Kipamba kata ya Mwangeza wilaya ya Mkalama mkoa wa Singida. (Picha na Nathaniel Limu).
10 years ago
Habarileo18 Jan
RC alilia shule ya Wahadzabe isiingiliwe
MKUU wa mkoa wa Singida, Dk Parseko Kone ameiomba Wizara ya Elimu na Ufundi kuitambua shule ya msingi ya bweni katika kijiji cha Munguli, wilayani Mkalama mkoani Singida kuwa ni shule maalumu kwa watoto wa jamii ya Wahadzabe tu.
10 years ago
Dewji Blog11 Nov
Serikali kuwalinda Wahadzabe — Waziri Mkuu
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia wakati alipofungua Kongamano la Ufugaji Nyuki Barani Afrika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Novemba 11, 2014.
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema Serikali itaendelea kuyalinda makabila madogo nchini yakiwemo ya Wahdazabe na Wasandawe ambayo yanategemea rasilmali misitu kwa maisha yao na ustawi wao.
“Tutakuwa tunafanya makosa kama tutawanyang’anya rasilmali misitu makabila madogo hapa nchini kama vile Wahadzabe, Wandorobo na...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-2KkTt2k9xcM/VGInT7gF2-I/AAAAAAAGwmA/gP2_Rv-gVC4/s72-c/PG4A1532.jpg)
SERIKALI KUWALINDA WAHADZABE - WAZIRI MKUU
![](http://4.bp.blogspot.com/-2KkTt2k9xcM/VGInT7gF2-I/AAAAAAAGwmA/gP2_Rv-gVC4/s1600/PG4A1532.jpg)
“Tutakuwa tunafanya makosa kama tutawanyang’anya rasilmali misitu makabila madogo hapa nchini kama vile Wahadzabe, Wandorobo na Wasandawe kwani ndiyo rasilami pekee inayowawezesha wapate chakula cha kutosha,” alisema.
Ametoa kauli hiyo leo mchana (Jumanne, Novemba 11, 2014) wakati akifungua Kongamano la...
10 years ago
Dewji Blog18 Jan
RC Singida ataka jamii ya Wahadzabe itambuliwe
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Mkalama mkoa wa Singida, Bravo Lyapembile (wa kwanza kushoto) akisoma taarifa yake mbele ya Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk. Parseko Kone juu ya ujenzi wa mabweni mawili na nyumba ya matroni ambayo iligharimu zaidi ya shilingi 59 milioni.
Na Nathaniel Limu, Mkalama
MKUU wa Mkoa wa Singida Dr. Parseko Vicent Kone, ameiomba serikali kupitia Wizara ya elimu na Ufundi, kuitambua Shule ya msingi ya bweni ya kijiji cha Munguli kuwa ni shule maalum tu, kwa...
10 years ago
Habarileo12 Nov
Wahadzabe, Wasandawe wataendelea kulindwa, asema Pinda
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali itaendelea kuyalinda makabila madogo nchini, yakiwemo ya Wahdazabe na Wasandawe ambayo yanategemea rasilimali misitu kwa maisha yao na ustawi wao.
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-gl49bYfuLRU/VV4Ef12encI/AAAAAAAAuI4/VXWFgPJinb8/s72-c/07dcmbege.jpg)
Story ya wanawake wa Rombo kukodi wanaume Kenya kuwaridhisha kimapenzi yatinga bungeni, wanaume wataka waombwe radhi
![](http://4.bp.blogspot.com/-gl49bYfuLRU/VV4Ef12encI/AAAAAAAAuI4/VXWFgPJinb8/s640/07dcmbege.jpg)
Habari iliyoandikwa kwenye gazeti la Mwananchi juzi yenye kichwa cha habari ‘Wanawake wa Rombo wakodi wanaume kutoka Kenya’ imeibukia bungeni leo.Habari hiyo iliandikwa kutokana na kauli aliyoitoa mkuu wa wilaya ya Rombo, Lembris Kipuyo, aliyedai kuwa kutokana na wanaume wa wilaya hiyo kuwa walevi wa kutupa, wake zao wamekuwa wakikodi wanaume kutoka Kenya ili kuwaridhisha kimapenzi.
“Tatizo la ulevi wilayani Rombo na matumizi ya pombe zisizokuwa na viwango ni kubwa sana na linahitaji nguvu...
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://4.bp.blogspot.com/-HdwYkRXyX1Y/U-x4kFZ2i9I/AAAAAAAABfA/dz3KfQhMB3w/s72-c/Unknown-4.jpeg)
Hujuma nzito
Mashine Elektroniki zatumika kuibia serikaliMwigulu aendesha msako, aagiza uchunguziKampuni kubwa zahusishwa, wawili mbaroni
NA MWANDISHI WETU
SERIKALI inahofiwa kupoteza mabilioni ya shilingi kutokana na baadhi ya wafanyabiashara kuanza kufanya hujuma kwa kutumia mashine za kielektroniki (EFD) zinazotumika kukusanya kodi.
Hatua hiyo inatokana na kubainika kuingizwa sokoni kwa mashine zinazotoa risiti feki, ambapo kodi inayokatwa kwa mnunuzi imekuwa haiwasilishwi Mamlaka ya Mapato Tanzania...