Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wahadzabe, Wasandawe wataendelea kulindwa, asema Pinda

Waziri Mkuu, Mizengo PindaWAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali itaendelea kuyalinda makabila madogo nchini, yakiwemo ya Wahdazabe na Wasandawe ambayo yanategemea rasilimali misitu kwa maisha yao na ustawi wao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mama Pinda asema Vicoba inakua kwa kasi

MKE wa Waziri Mkuu, Tunu Pinda amesema miongoni mwa mifumo ya fedha inayokuwa kwa kasi nchini ni Benki za Vijijini (Vicoba). Alisema hayo juzi Kimanga, Dar es Salaam alipokuwa akizindua rasmi muungano wa Vicoba wenye vikundi 71 vyenye wanachama 600, ambao ndio waliopo katika mchakato wa Muungano huo.

 

10 years ago

Mwananchi

Pinda asema kauli yake ya wapigeni ilimaanisha amani

>Neno “piga” lina maana ya “fanya kitendo cha kukutanisha vitu kwa nguvu, fumua, ezeka, zaba, shambulia, chapa na tandika” kwa mujibu wa Kamusi ya Kiswahili Sanifu, Oxford, lakini kwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda neno “wapigeni” lilimaanisha “kuendelea kulinda amani”.

 

10 years ago

Mwananchi

Ndesamburo: CCM wataendelea kunisindikiza Moshi Mjini

Mbunge wa Moshi mjini, Philemon Ndesamburo ameapa kufanya kampeni angani na ardhini, kuhakikisha kuwa CCM inashindwa vibaya uchaguzi mkuu wa 2015.

 

10 years ago

Vijimambo

Ndesamburo: CCM wataendelea kunisindikiza Moshi Mjini

Moshi. Mbunge wa Moshi mjini, Philemon Ndesamburo ameapa kufanya kampeni angani na ardhini, kuhakikisha kuwa CCM inashindwa vibaya uchaguzi mkuu wa 2015.Katika mahojiano maalumu na gazeti hili jana mjini Moshi, Ndesamburo aliahidi kutoa helikopta yake na kukodi nyingine kutoka nje ya nchi kuendesha kampeni hiyo ya nguvu.Hata hivyo, Ndesamburo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema Mkoa Kilimanjaro, alikataa kutaja idadi ya helikopta zitakazokodishwa akisema kufanya hivyo ni kuwapa faida maadui...

 

9 years ago

Mwananchi

Toto wataendelea kuwa watoto wa Yanga au vinginevyo?

Pengine majiji matatu makubwa yanayopendwa na kuheshimika zaidi Tanzania ni Dar es Salaam, Mwanza na Arusha. Ni kama ambavyo Waingereza wanathamini majiji ya London, Manchester na Birmingham. Katika soka, majiji hayo yote yana timu za Ligi Kuu na zimekuwa sehemu ya alama ya majiji hayo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kobane yatakiwa kulindwa dhidi IS

Mjumbe wa umoja wa mataifa nchini Syria Staffan de Mistura amesema kuwa dunia inapaswa kuilinda Kabone dhidi ya IS.

 

10 years ago

Habarileo

Kinana akerwa mafisadi kulindwa

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman KinanaCHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimekemea watu wanaotumia siasa kama kichaka cha kuficha dhambi zao kwa kufanya ufisadi, lakini wanapobainika, hujitetea kwa kusema wanafanyiwa hivyo kutokana na siasa.

 

10 years ago

Habarileo

Watafiti madini nchini kuendelea kulindwa

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles KitwangaSERIKALI imesema kuwa itaendelea kuwalinda wawekezaji wenye leseni wanaofanya utafiti wa madini wa hapa nchini ili waanze uzalishaji mara moja.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani