Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda asema kauli yake ya wapigeni ilimaanisha amani

>Neno “piga” lina maana ya “fanya kitendo cha kukutanisha vitu kwa nguvu, fumua, ezeka, zaba, shambulia, chapa na tandika” kwa mujibu wa Kamusi ya Kiswahili Sanifu, Oxford, lakini kwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda neno “wapigeni” lilimaanisha “kuendelea kulinda amani”.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mbatia asema kauli ya Werema imejaa unafiki

Siku moja baada Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema kueleza kuwa hakuna mwenye mamlaka kisheria kuvunja au kusitiza Bunge la Katiba, mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi amesema kauli hiyo imejaa unafiki na kwamba upo uwezekano wa kuahirisha vikao kwa muda mpaka mwafaka wa kitaifa utakapopatikana.

 

9 years ago

Mwananchi

Kikwete atahadharisha kauli za uvunjifu wa amani

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete amesema baadhi ya kauli zinazotolewa na Umoja wa Vyama vya Upinzani (Ukawa), zinaashiria uvunjifu wa amani pindi matokeo ya kura yatakapoanishwa baada ya zoezi la upigaji kura Oktoba 25 mwaka huu.

 

10 years ago

Habarileo

Kauli ya Pinda yawazindua Takukuru

SIKU chache baada ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kukiri bungeni kuwapo baadhi ya watendaji serikali wanaotumia migogoro kati ya wakulima na wafugaji kujinufaisha, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imesema inaanza kufuatilia.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Kauli ya Pinda yaonyesha udhaifu’

Baadhi ya wanasiasa na wanaharakati wamemkosoa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kutokana na kutamani kung’olewa kwenye nafasi, wakidai kuwa kauli yake inaonyesha jinsi alivyo mpole na dhaifu kiutendaji .

 

10 years ago

Mwananchi

Kauli ya ‘Zanzibar siyo nchi’ yamponza Waziri Mkuu Pinda

Madai ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kuingia katika kinyang’anyiro cha urais yameibua mjadala mkali kutoka kwa baadhi ya wanasiasa, wasomi na wananchi wa Zanzibar ambao wamesema hafai kutokana na kauli yake kuwa ‘Zanzibar si nchi’.

 

10 years ago

Mtanzania

Msuya akumbuka machungu ya kauli yake

msuyaElias Msuya na Elizabeth Hombo
WAZIRI Mkuu mstaafu, Cleopa Msuya, amekumbusha machungu ya kauli yake ya zamani ya “kila Mtanzania ataubeba msalaba wake”, huku akiwataka Watanzania kuacha kuwa walalamikaji kwa kila jambo.
Msuya aliyewahi kuwa waziri mkuu mara mbili (Novemba 7, 1980 hadi Februari 1983 na Desemba 7, 1994 hadi Novemba 28, 1995), alitoa kauli hiyo bungeni akiwa waziri wa fedha mwaka 1989.
Akizungumza jana katika uzinduzi wa Kavazi la Mwalimu Nyerere lililoandaliwa na Kituo cha...

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa asema kulinda amani jukumu la wote

>Waziri mkuu mstaafu, Edward Lowassa  amesema hakuna mtu yeyote mwenye hatimiliki ya  Tanzania hivyo Watanzania wote wanao wajibu wa  kuilinda na kudumisha amani na utulivu uliopo.

 

10 years ago

Habarileo

Sala, maombi kudumisha amani asema Mama Maria Nyerere

Mama Maria NyerereMJANE wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere, amepokea nishani ya kudumisha na kuhamasisha amani nchini, huku akimtaka kila mwananchi kwa nafasi yake kuombea taifa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani