RAIS MSTAAFU AFAFANUA KAULI YAKE KUHUSU KUCHINJA
![](http://img.youtube.com/vi/7gM0e-yDnw4/default.jpg)
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-zOTWqsPeBOo/VngUBz5wg5I/AAAAAAAINt4/dqLwJ23ORN4/s72-c/ms14.jpg)
RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI MAZISHI YA DADA YAKE RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE KIJIJINI MSOGA LEO
![](http://4.bp.blogspot.com/-zOTWqsPeBOo/VngUBz5wg5I/AAAAAAAINt4/dqLwJ23ORN4/s640/ms14.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-IMLXm88YdEA/VngUBqCqKdI/AAAAAAAINt0/OAfg7daVnz8/s640/ms15.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-cMLjGldeRQI/VngUCPMcpoI/AAAAAAAINuA/vYzlQoMJjKk/s640/ms16.jpg)
9 years ago
Dewji Blog22 Dec
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan ashiriki mazishi ya dada yake Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Kijijini Msoga
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokelewana Mke wa Rais Mstaafu Mama Salma Kikwete,wakati alipowasili kwenye msiba wa Dada yake na Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Kikwete, jana kijini Msoga Mkoa wa Pwani. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwafariji baadhi ya wanafamilia wa Marehemu Tausi Khalfani Kikwete, aliyekuwa Dada yake na Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete, kijijini...
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/HlyKQC6Okzw/default.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-zu7WdtmGvVY/VbfadpdLFoI/AAAAAAAHsU8/6rqWbSsDmx8/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-07-28%2Bat%2B10.37.52%2BPM.png)
RAIS MSTAAFU ALHAJ DKT MWINYI AMALIZA ZIARA YAKE NCHINI CHINA
Katika ziara hiyo, Rais Mwinyi pia alipata fursa ya kutembelea Ubalozi wetu na kupata chakula kilichoandaliwa na Balozi wa Tanzania nchini China, Jenerali (Mstaafu) AbdulRahman Shimbo pamoja na Mama Shimbo.
![](http://4.bp.blogspot.com/-zu7WdtmGvVY/VbfadpdLFoI/AAAAAAAHsU8/6rqWbSsDmx8/s640/Screen%2BShot%2B2015-07-28%2Bat%2B10.37.52%2BPM.png)
9 years ago
Dewji Blog20 Dec
Waziri Mkuu Majaliwa ahani msiba wa dada yake Rais Mstaafu, Tausi Kikwete
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Mama Salma Kikwete wakati alipokwenda kuwapa pole wanafamilia kutokana na kifo cha dada yake Rais Mstaafu, Tausi Kikwete, Mikocheni jijini Dar es salaam Desemba 19, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wanafamilia wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete wakati alipokwenda kuwapa pole wanafamilia kutokana na kifo cha dada yake Rais Mstaafu, Tausi...
10 years ago
Habarileo10 Nov
Daktari afafanua kuhusu ulaji wa supu ya pweza
ULAJI wa supu ya pweza, karanga mbichi, muhogo mbichi, mbata kwa dai kwamba vinaongeza urijali kwa wanaume, kumeelezwa kuwa ni dhana potofu inayostahili kupigwa vita, kwa kuwa haina uhusiano kati ya urijali wa mwanamume na virutubisho vinavyotolewa na vyakula hivyo.
9 years ago
Dewji Blog25 Dec
Mbunge wa jimbo la Chalinze, Mh. Ridhiwan Kikwete avunja ukimya, afafanua ‘figisufigisu’ dhidi yake!!
![Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete akizungumza alipokuwa akifanyiwa mahojiano maalumu na gazeti la Mwananchi, mjini Dodoma hivi karibuni. Picha na Edwin Mjwahuzi](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/12/Kikwete-pc.jpg)
Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete. Picha ya Maktaba.
Ndugu zangu waandishi wa habari, nimeamua kuwaita ili kuzungumza nanyi kuhusu baadhi ya mambo yaliyokuwa yanasemwa katika vyombo vya habari kuhusu mimi.
Awali ya yote napenda kusema kuwa habari hizo ni UONGO mtupu, ni mambo yanayozushwa na waandishi wa habari hizo kwa nia ya kuchafua jina langu kwa sababu wanazozijua wanaoandika. UKWELI ni kwamba haya ni mambo yenye kufanywa kwa nia na dhamira mbaya dhidi yangu na hata familia...
10 years ago
BBCSwahili17 Mar
Rais Putin apuuza uvumi kuhusu afya yake
5 years ago
CCM BlogRAIS MAGUFULI ATAKA WATANZANIA WASITISHANE KUHUSU CORONA NA BADALA YAKE WACHUKUE TAHADHARI
Mhe. Rais Magufuli amesema hayo leo tarehe 22 Machi, 2020 alipohudhuria Ibada ya Jumapili katika Kanisa la Mtakatifu Paulo wa Msalaba, Jimbo Kuu...