RAIS MAGUFULI ATAKA WATANZANIA WASITISHANE KUHUSU CORONA NA BADALA YAKE WACHUKUE TAHADHARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewataka Watanzania kutotishwa na janga la ugonjwa wa homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona (Covid-19) na badala yake waendelee kuchapa kazi na kujenga uchumi huku wakizingatia tahadhari zote za kujikinga kuambukizwa ugonjwa huo kama zilivyotolewa na wataalamu.
Mhe. Rais Magufuli amesema hayo leo tarehe 22 Machi, 2020 alipohudhuria Ibada ya Jumapili katika Kanisa la Mtakatifu Paulo wa Msalaba, Jimbo Kuu...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziRais Magufuli ataka Watanzania wasitishane na badala yake wachukue tahadhari dhidi ya Corona
Mhe. Rais Magufuli amesema hayo leo tarehe 22 Machi, 2020 alipohudhuria Ibada ya Jumapili katika Kanisa la Mtakatifu Paulo wa Msalaba, Jimbo Kuu...
5 years ago
CCM BlogRAIS DK. MAGUFULI AWATAKA WATANZANIA WASITISHWE NA JANGA LA CORONA, WAENDELEE KUCHAPA KAZI HUKU WAKIZINGATIA TU TAHADHARI ZOTE ZA KUJIKINGA NA UGONJWA HUO
DODOMA, Tanzania
Rais Dk. John Magufuli amewataka Watanzania kutotishwa na janga la ugonjwa wa homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona, badala yake waendelee kufanya kazi kwa bidii na kujenga uchumi huku wakizingatia tahadhari zote za kujikinga kuambukizwa ugonjwa huo kama zilivyotolewa na...
5 years ago
MichuziRAIS MAGUFULI:WATANZANIA OONDOENI HOFU KUHUSU CORONA, ENDELEENI KUCHAPA KAZI
*Awahakikishia watumishi wote wa umma kuendelea kulipwa mishahara yao
RAIS Dk.John Magufuli tangu tanga la Coroa limeibuka kila nchi inao utaratibu wake wa kushughulika na tatizo hilo na kwa Watanzania hakuna sababu ya kuwa na hofu yoyote na waendelee kuchapa kazi.
Ametumia nafasi hiyo kuwahakikisha watumishi wote wa umma wakiwemo walimu ambao ndio wengi zaidi kuwa Serikali itaendelea kuwalipa mshahara hadi shule zitakapofunguliwa ingawa kuna nchi nyingine zimeshindwa kulipa mishahara...
5 years ago
CCM BlogRAIS MAGUFULI ATOA UJUMBE MZITO KWA WATANZANIA KUHUSU VIRUSI VYA CORONA
Ametoa tahadhari hiyo leo Ijumaa Machi 13,2020 wakati akizindua karakana ya kisasa ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) iliyojengwa kwa Sh8.5 bilioni kwa ufadhili wa Serikali ya Ujerumani.
Rais Magufuli amesema ingawa ugonjwa huo umesambaa katika maeneo mbalimbali dunia bado Tanzania...
9 years ago
MichuziASKOFU DR MDEGELLA ATAKA WATANZANIA KUMWOMBEA RAIS DR MAGUFULI KWA KAZI NZURI
Askofu wa kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT( Dayosisi ya Iringa Dr OwdenBurg Mdegella akimpa baraka ya Christmas mtoto Monica Kasesela huku babake mkuu wa wilaya ya Iringa Bw Richard Kasesela na binti yake Cathelin Kasesela wakishuhudia baada ya kumalizika kwa ibada ya pili katika usharika wa kanisa kuu
Askofu Dr Mdegela akitoa baraka
Mwalimu wa kwaya ya vijana katika kanisa kuu Bw Lupyana Samweli akipokea baraka za Christmas kutoka kwa askofu wa kanisa...
5 years ago
CCM Blog5 years ago
Michuzi5 years ago
MichuziRais Magufuli awashukuru Viongozi wa Dini na Watanzania wote kwa kuomba dhidi ya Corona
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt....
5 years ago
MichuziDAWA YA CORONA KUMBE ALIKUWA NAYO RAIS MAGUFULI...AHSANTE KWA KUTUPONYA WATANZANIA
RAIS Dk.John Magufuli naomba nianze kwa kukusalimia mzee wangu.Shikamoo,natumai unaendelea vema na jukumu la kuwatumikia Watanzania na hasa ya kuleta maendeleo yao.
Baada ya salamu iliyoambatana na unyenyekevu mkubwa kwako naomba sasa nieleze jambo japo kidogo tu.Ndio kuna kitu nataka kueleza na linahusu janga la virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa Covid- 19.
Kama mnavyofahamu ugonjwa huo bado umeendelea kuwa tishio duniani kote.Mataifa madogo na makubwa...